Shemeji yangu mchokozi

Mwombe ushauri kaka yako. Yeye atakua na jibu zuri zaidi kama hiyo ni kawaida au la!
 
Miaka 27 bila shaka unasoma chuo. Sasa unatafuta nini kwa kakako kama siyo uchokozi huo? Kakae chuoni, kuna ndugu wengine ni wasumbufu kwelikweli, kwa kuwa tu kakako yupo karibu basi unataka vya dezo. Nenda kapange chumba karibu na chuoni kwako acheni kuwasumbua ndugu zenu na ninyi. Kakako anahitaji faragha na familia yake na si usumbufu wako hapo nyumbani kwake.

Ondoka kwa kakio na ukaanze maisha kivyako. 27 years old bado unakaa na mtu? Shame on you!!
 
Huna adabu, jitu kubwa kama wewe bado uko kwa shemeji kakaako watafuta nini,,,watu wanaanza maisha na miaka20,hebu acha uzembe wewe toka katafuta kazi,,unamuweka shemeji yako majaribuni bure kwa kukaa hapo kwake,,,miaka yote hiyo kubwa dede,,,,kapange si una boom wewe...tumia akili
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, sijaoa kwasababu bado nipo shule,ninaisha kwa kakaanga. Kila ninapopiga stori na shem hupenda kunisogelea nakufanya jitihada za angalau kunigusa, pia huja kochi jirani na nilipokaa. Hii ikoje jfs? Kawaida au?
asante kwa taarifa.kumbe mke wangu kaanza tabia hiyo ee! sasa ntamshughulikia na wewe utatafuta chumba ya kupanga au nikurudishe kijijini.umejileta mwenyewe
 
wewe ndo unamtamani shemeji yako. Shinda tamaa yako. Unataka kusema watu mnaishi nyumba moja msikae kochi moja? Wala msigusane?

Badili tabia yako....
Chunga tamaa yako
 
at 27? Kwa kaka? Sasa unaanza kujidai una haki hadi unataka kumgusa mkewe?

Ukitoka kwa mke utalawiti au kubaka watoto wa hapo.
 
Na we si umchokoze? Nini kinachokuogopesha,vijana bhana hujui kusoma hata picha hutambui
 
Mwekee ule kile kibao maarufu cha zilipendwa "Shemeji shemeji huku wazima taa" halafu mwangalie reaction yake. All in all you are playing with fire. Ondoka kwa kakio. 27 years old bado unakaa kwa watu?
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, sijaoa kwasababu bado nipo shule,ninaisha kwa kakaanga. Kila ninapopiga stori na shem hupenda kunisogelea nakufanya jitihada za angalau kunigusa, pia huja kochi jirani na nilipokaa. Hii ikoje jfs? Kawaida au?

Wewe unatuchokoza unataka tu tukuambie mle!!!! We kula tu hiyo nyama ya hamu na kaka yako akifahamu uwe tayari umeshachimba kaburi lako!! Atakuzika mzima!!!
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, sijaoa kwasababu bado nipo shule,ninaisha kwa kakaanga. Kila ninapopiga stori na shem hupenda kunisogelea nakufanya jitihada za angalau kunigusa, pia huja kochi jirani na nilipokaa. Hii ikoje jfs? Kawaida au?

Miaka 27 bado kupe ?
 
omba gemu ndio utajua alikuwa anamaanisha nini kweli au kawaida tu!
 
Huna adabu, jitu kubwa kama wewe bado uko kwa shemeji kakaako watafuta nini,,,watu wanaanza maisha na miaka20,hebu acha uzembe wewe toka katafuta kazi,,unamuweka shemeji yako majaribuni bure kwa kukaa hapo kwake,,,miaka yote hiyo kubwa dede,,,,kapange si una boom wewe...tumia akili
shemu anamtafutia kisa chakumuondoa subiria muvie atakutegea uko bafuni anakuja na kanga mja then unasikia uuuuuuuwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiianataka kunibaka eeeeeeeeeeeeeee uone kama kaka yako hakufukuzi kuliko ueke pilipili kwenye asaali yake ! chezea wanawake wewe!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom