Shemeji yangu mchokozi

Kama ni natural love basi ataendelea kuwa karibu yako sana tu hata ukienda mbali atatafuta namna tu! Kama ni tamaa za mwili basi usipomtimizia haja yake huo ukaribu utageuka kuwa CHUKI yake kwako! Kama unaweza hama hapo basi do so! Lakini akiendelea sana ongea nae ujue anataka nini hasa! Usije hukumu bila kujua atakacho! Asipokuelewa basi play it safe!
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, sijaoa kwasababu bado nipo shule,ninaisha kwa kakaanga. Kila ninapopiga stori na shem hupenda kunisogelea nakufanya jitihada za angalau kunigusa, pia huja kochi jirani na nilipokaa. Hii ikoje jfs? Kawaida au?

ha ha ha ha mkemee huyo ipo siku akakufanyia kitu mbaya
 
Shemeji amekuchoka kwa kukaa kwako hapo, sasa nataka kukutengenezea BOMU; anajua likilipuka kaka atakutimua kama JAMBAZI na huo utakuwa mwisho wa mahusiano yako na kaka yako.
 
Kweli nakubaliana na wazo kwamba uhame tafuta hata msela wa kushea naye ghetto. Maana yawezekana shemegiyo anakutamani na ukinasa tu siri itafichuka na mwisho wako utakuwa umefika. Kaka hatakaa akupe msaada na ndoa yake inaweza kukomea hapo na jamii yako itakutenga kwa kuvunja ndoa ya bro. Tafakari, chukua hatua bila kuchelewa!
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, sijaoa kwasababu bado nipo shule,ninaisha kwa kakaanga. Kila ninapopiga stori na shem hupenda kunisogelea nakufanya jitihada za angalau kunigusa, pia huja kochi jirani na nilipokaa. Hii ikoje jfs? Kawaida au?

Jamani hili jambo si la kubeza, nimelisikia kwa baadhi ya watu na si mara moja!
Kwanza: Inaweza kuwa ni kweli hicho unachofikiria na kama ni hivyo cha msingi MPEPE jaribu kujiondoa kwenye mazingira yanayokuweka wewe na shemeji yako pekee yenu. Jaribu kukwepa kubaki naye na kuwa siriaz na masomo yako ya chuo. Ukiona mambo yanazidi tafuta ustaarabu mwingine kwa kuhama hapo usije ukajikuta unakuwa sababu ya kuvunjika kwa ndoa ya kaka yako.

Pili: Inawezekana umemuelewa vibaya shemejiyo. Huenda ni mchangamfu na anapenda ukaribu wa kawaida ili usijione mpweke nyumbani kwake.
Jaribu kutumia busara zako kupambanua aina ya ukaribu huu ili usije ukajikuta unamhukumu au kumtafsiri mtu ndivyo sivyo.
 
Last edited by a moderator:
This is nine sense! Ulichoandika hakiendani na umri wako!! Pole kama mawazo yako ndo ya kipopo namna hii
 
Usiseme mchokozi sema ana pepo baya sana...maana uchokozi maana yake angekuwa ni mdada tu mtaani anakutega hapo sawa huo ni uchokozi,lakini ni shemeji yako (kama mama yako mlezi) hapa mjini inatakiwa umuheshimu sana sana na yeye akuheshimu na akusaidie ufike unakotaka kufika!akianza mapenzi ujue ni pepo mbaya sana na utatengeneza uadui usioisha na kaka yako,na huyo dada hutamuona tena kukusaidia nyote mkifukuzwa hapo!!
 
Wewe unasumbuliwa na nye.. kwani ukisogelewa tuu tayari ushawaza ngono, au akikaa karibu yako kuna shida gani?
 
Utakuwa unamtamani shem wako kingono wewe,how comes mtu kakulea leo akuumizi kihisia mkisogeleana? Dogo nenda katafute vibinti nje kama unaona ushabalee.
 
wewe umeshaanza kummezea mate shemejio, hayo ya kukukaribia n.k. ndio hisia zenyewe zimeanza kujijenga, ukiona hivyo ujue pepo wa ngono yu juu yako, kimbia hadi kisigino kiguse kisogo, hapo si unatafuta laana tu bali hata ugomvi mkubwa katika familia yako utakusumbua wewe, kakako wazazi na utabadilisha kabisa maisha ya kakako, think about ndoa ya kakako, watoto wake!
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, sijaoa kwasababu bado nipo shule,ninaisha kwa kakaanga. Kila ninapopiga stori na shem hupenda kunisogelea nakufanya jitihada za angalau kunigusa, pia huja kochi jirani na nilipokaa. Hii ikoje jfs? Kawaida au?
Siyo kama naleta madharau ila umri huo mimi nilishasepa SUA nikajianzishia maisha yangu mwenyewe ughaibuni na nikajisomesha mwenyewe na mdogo wangu akafanya hivyo hivyo. Alikaa na mimi semester moja ikabidi aanze, alikasirika lakini leo ameoa na yupo anafanya kazi bongo fresh tu. Demu wangu wa kitasha alishaanza kumsogelea, na huyo ni demu tu... nikamwambia asepe!!!

Huo umri mkubwa aisee, get ur own crib. Sex is animalistic. Just boredom or quietness au hata mvua ikjinyesha nje mnaweza mkaangaliana, next step chupi ipo kwenye floor.
 
ushamtamani huyo hatukupi hiyo ruksa!Huna shukrani wewe!Mie umri huo nilikuwa nishaoa wewe unatamani mke wa kaka yako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom