Sheikh Ponda akamatwa Dar!

suala si kukamatwa kwa sababu ni sheikh,bali mchochezi.sheria si tu ifanye kazi si kwake bali kwa wote wanaotumika kugawa watz kwa misingi ya udini,ukabila,ukanda,umri,ujinsia n.k,lazima tujenge nidhamu.sheikh ponda achukuliwe hatua zinazostahili kwa mujibu wa sheria pasi kumuonea,na vyombo vya habari vinavyotumika kusambaza chuki vichukuliwe hatua zinazofaa.

na hao wachochezi wengine wanaosababisha hadi watu wanapoteza maisha inatakiwa wanyee mtondoo bila kujali kuwa yeye aliwahi kuwa kiongozi wa dini ama nini.
Hapo ndo tutajua haki inatendeka vinginevyo ni kiinimacho.
 
Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..

Mimi nadhani waliomkamata ndio wanajua zaidi kwa hiyo tusubiri ripoti yao!
 
C nasukiaga huyu sheik anakuwaga na mikutano na nanihii? Au ndio maana safari imezuka? Kweli TZ ni zaidi ya tuijuavyo!
 
hivi ni kwanini KIKWETE ameiachia muda wote huu??? i hate it!
kikwete hana mamlaka ya kuifungia redio yetu,
inaonesha huna uvumilivu,sio kila usichokipenda wewe na wenzio hawakipendi,,,,na unachokipenda wewe na wenzio wakipende,,,,,u show how fool ur,,,,,hata kuongoza nyumba yako utshindwa,,,,
wewe hupendi mavi yako,laki nzi wanayapenda,,,,,comeon
 
Asante Yesu,kwa kuwa umeanza kusikia maombi ya watoto wako,tunaomba amani ya kweli haliyo iacha Baba wa Taifa,GLORY TO GOD

Amani ya kweli ni ile inayowapa wananchi wote haki sawa. Na kufanya jitihada wale waliokuwa nyuma, nao kuwakaribia wenzao. Pasipo na hivyo wale waliokuwa nyuma ni rahisi kuona wanadhulumiwa
 
Ila kuachia kirusi ka Sheik ponda na Radio imaam ni kujimaliza wenyewe! Mwalimu katika hotuba zake aliwai kusema Kiongozi hatakiwi tu kusema anapinga ukabila au udini "ni lazima aonyeshe kwa ukweli kabisa kua anapinga" kwa maana kuna watu hata ukiwakata leo wana chuki za ukabila au udini kwa hiyo watu kama hao hutakiwi kuwapa muda wa kupumua ni kira mara lazima ukeeemee sasa Viongozi wetu ndio hivyo wameishia kukemea majukwaani na humu mbegu yaudini ikizidi kukua
Kirusi kibaya zaidi ni padre Slaa na jopo lake la wahuni.
Kesho tunaanza maandamano nchi nzima ili kuhakikisha kamanda PONDA anaachiwa bila masharti.
 
Huwa nashindwa kutofautisha shekh ponda na baba ritz nikimwona huyu nafikiri ni yule
 
kikwete hana mamlaka ya kuifungia redio yetu,
inaonesha huna uvumilivu,sio kila usichokipenda wewe na wenzio hawakipendi,,,,na unachokipenda wewe na wenzio wakipende,,,,,u show how fool ur,,,,,hata kuongoza nyumba yako utshindwa,,,,
wewe hupendi mavi yako,laki nzi wanayapenda,,,,,comeon

Ss ww tuipende kwa kueneza uchochezi?au hujui km kinachofanyika kwny hyo redio si kitu kizuri?acha ujinga ww
 
Ponda haitoshi funga Radio Iman ndio wanaopandikiza mbegu mbaya haina tofauti na ile radio iliyowachochea wanyarwanda kupigana, watawala amkeni!

yaan redio imaan inatupasha habar leo inapandikiza UDINI????,we ombea ifungwe na haitafungwa,,,,,,tutaipata hata kupitia mtandao,,,,,kwakua huipendi baaaasi,,,shwain weeeee
 
Jana startv alisema serikali ndio chanzo cha machafuko mbagala.huenda ndio ikawa chanzo cha kukamatwa kwa alionesha dhahiri kumtuhumu jk
 
Huyu ni mpiganaji wa ukweli subiri moto wake

DSC_0297.jpg
 
Wakristu wote, kuanzia saa tatu Jumapili kufanya maandamano ya amani kuelekea Jangwani. Taifa na serikali lazima lifahamu kuna watu wanaumia kwa upuuzi unaoendelea. Redio, magazeti na watu wanaoeneza chuki hawana budi kuchukuliwa hatua.
 
Yule mwanaharakati maarufu wa dini ya kiislamu sheikh ponda issa ponda amekamatwa na polisi usiku huu akiwa katika msikiti wa Temeke Tungi
Ahimidiwe Mungu alie juu sana na duniani iwepo amani kwa wale aliowaridhia.

Sheria za nchi zichukue mkondo wake, haki ithibitike maana sidhani kama kuna haki ya mmoja inayozifuta za walio wengi. Sheria za nchi ni za wote, basi tutakuwa wenda wazimu kama kijogoo mmoja atajinadi kuwa juu ya sheria na kutangaza kutokuzitambua.

Angalia kauli yake ya kuwahamasisha watu wasifuate sheria ilivyosababisha madhara. Kila mahala sasa katika nchi yetu nyumba za ibaada zinachomwa moto. Kisababishi kikuu ni huyu mastermind Ponda.
 
Ss ww tuipende kwa kueneza uchochezi?au hujui km kinachofanyika kwny hyo redio si kitu kizuri?acha ujinga ww

wala si ujinga Ibrahim,,,,sijaona hata punje ya CHUKI ILOPANDIKIZWA,,,,je imewah kusema waislam wavunje makanisa???,imewah kusema waislam wasiishi na MAKAFIRI??,JE imewah kusemwa waislam wasichague viongoz wasio waislam???,,,sasa uchochez upi???au na wewe unakurupuka tu,ushawah kuiskiliza??na kama umewah mara ngapi???isije ikawa unabwabwaja hapa wakat hata hujui frequency zake
 
Back
Top Bottom