Sheikh Ponda akamatwa Dar!

suala si kukamatwa kwa sababu ni sheikh,bali mchochezi.sheria si tu ifanye kazi si kwake bali kwa wote wanaotumika kugawa watz kwa misingi ya udini,ukabila,ukanda,umri,ujinsia n.k,lazima tujenge nidhamu.sheikh ponda achukuliwe hatua zinazostahili kwa mujibu wa sheria pasi kumuonea,na vyombo vya habari vinavyotumika kusambaza chuki vichukuliwe hatua zinazofaa.
 
Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..
shekhe ponda anatoa kauli za uchochezi kati ya waislam wakristo na serikali.kwa mfano jana nilikuwa namsikiliza redio ya umoja wa mataifa akihojiwa anasema eti serikali iwaombe radhi waislam kwa mtoto w mbagala kukojolea qur'an.sasa inashangaza kwani mtoto alitumwa na serikali! na serikali imemkamata mtoto na imempeleka mahakamani yeye alitaka serikali imuue!halafu anaiamuru serikali iwaache watu wote iliowakamata wanaodai kuwa ni waislam japo wameharibu mali za watu!mtu wa ajabu sana huyu.
 
Asante Yesu,kwa kuwa umeanza kusikia maombi ya watoto wako,tunaomba amani ya kweli haliyo iacha Baba wa Taifa,GLORY TO GOD
 
yes kama ni kwel itakuwa kheri kwani jaman ni bonge la kirusi.kwani ukiacha usheke anafanya shughuli gani zingine?



Kama walivyo mashekhe wote. Yeye anapokea tende, mchele, mafuta, mbuzi, unga wa ngano na vitu vingine toka uarabuni kama msaada wa msikiti wake ila yeye anabinafsisha kuwa mali yake huku akirubuni waumini juu ya unafki wa wakristo na kuanza kufanya vurugu bila sababu.
 
Waislam kesho mkiamka tukutane wote kwa msikiti wa mtoro...safari hii maandamano kumtoa nchimbi...mpaka kieleweke

akitoka utawafanya makristu wakachome misikiti 50... watu wanasubiri hukumu ya haki au walipize kama wao walivyofanya
 
Ponda haitoshi funga Radio Iman ndio wanaopandikiza mbegu mbaya haina tofauti na ile radio iliyowachochea wanyarwanda kupigana, watawala amkeni!
 
suala si kukamatwa kwa sababu ni sheikh,bali mchochezi.sheria si tu ifanye kazi si kwake bali kwa wote wanaotumika kugawa watz kwa misingi ya udini,ukabila,ukanda,umri,ujinsia n.k,lazima tujenge nidhamu.sheikh ponda achukuliwe hatua zinazostahili kwa mujibu wa sheria pasi kumuonea,na vyombo vya habari vinavyotumika kusambaza chuki vichukuliwe hatua zinazofaa.
swadakta shekhe wangu
 
Huyu jamaa amekuwa janga la kitaifa! Hongera polisi kwa kazi nzuri.


NOT GOOD ENOUgH.
Usalama wa nchi yetu ni kufunja kabisa uhusiano wa kibalozi ya Serikali ya Iran.
Kushughulikia kina Ponda ni kutreat symptoms wakati tatizo lipo pale pale.
 
Jana Sheikh Ponda analalamika JK hakwenda kuwajulia hali kwenye msikiti kwani hata wao pia walidhurika na vipigo vya askari sasa kwa nini JK aende kanisani tu na hakuenda Msikitini kukagua? hapo ndo sheik ponda akasema hizi vurugu zinaanzishwa na viongozi wenyewe!
 
Kwa nini hakuwahamasisha wakasome albadil (sijui ndo inavyoandikwa) kimya kimya kuliko vurugu?

albadir inasomwa na watu safi wachfu hawana uwezo wa kuisoma itawarejea wao.... so wameona bora wafanye fujo kama dini yao ilivyowatuma
 
Kukamatwa kwa Ponda ni kazi rahisi.
Swali ni je kwa hali ya mfumo wetu wa utoaji haki ilivyo sasa Ponda atawajibika kwa matendo yake ya kuhatarisha amani ya nchi hii iliyodumu kwa takribani miaka 50 tangu Taifa hili lipate Uhuru wake.
 
Kwa kweli shehe ponda mie binafsi ninampenda sana ila tabia zake za chuki ndiyo ninazichukia.
Unajua watu wengine sijui ni uhuru umewazidi maaana wao siku zote utakuta kazi zao ni kueneza chuki na uchochezi,watu hawa wachukuliwe hatua kali za kisheria.

Nawakumbusha kuwa kuna sheria ya chuki na uchochezi na ni hai ila basi tu.Hata hii Redio Imani itambue kuwa imeanzishwa kisheria na ni lazima iiheshimu sheria na taratibu za nchi hii kuliko kufyatuka kwa kupandikiza chuki na uchochezi.

Wakina ponda kazi yao ni kutaka kuona nchi hii haitawaliki, ila wajue kuwa wanaachwa tu kwa sababu tz tumezidisha siasa lakini tungekuwa kama URUSSI,USA na nhi nyingine za JUMUIA YA KIARABU ambazo hazitaki ujinga ujinga wa akina ponda.
kanywe naye chai
 
Ila kuachia kirusi ka Sheik ponda na Radio imaam ni kujimaliza wenyewe! Mwalimu katika hotuba zake aliwai kusema Kiongozi hatakiwi tu kusema anapinga ukabila au udini "ni lazima aonyeshe kwa ukweli kabisa kua anapinga" kwa maana kuna watu hata ukiwakata leo wana chuki za ukabila au udini kwa hiyo watu kama hao hutakiwi kuwapa muda wa kupumua ni kira mara lazima ukeeemee sasa Viongozi wetu ndio hivyo wameishia kukemea majukwaani na humu mbegu yaudini ikizidi kukua
 
albadir inasomwa na watu safi wachfu hawana uwezo wa kuisoma itawarejea wao.... so wameona bora wafanye fujo kama dini yao ilivyowatuma


SIYO dini iliyowatuma hawa. Ni wehu ndio uliowatuna hawa kule Mbagala. Muislam safi hayupo ivyo, Tuseme mara ngap?.
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom