MGANGA WA KIENYEJI
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 521
- 170
mganga wa kienyeji,
wewe jamaaa, umejifunzia wapi kutisha mtu? Unadhani nyie ndo wenye mikono tu? Unadhani wakristo hawapo wenye miguu? Unataka sema whole tanzania is for u guys? Mbona kwetu musoma idadi yenu hata haiwezi tambulika? Usitutishe maaana hatuogopi na usipo kaa sawa maafa yakitokea usijikute we wa kwanza kulala horizontal...maana we wont keep quite bt we gonna start resisting....ila kwa usalama wa taifa tume pozi tu...ila ponda lazima hatiwe hatiani...kwanza nani mkuu ponda ama simba? Mbona hana nidhamu huyu mtu? Halafu nackia sio mbongo? Ila kwakweli inabidi tupeleke vijana wetu katika elimu dunia ili wasitumiwe katika kuiangusha nchi yao kama wajinga..
kwanza kabisa napenda kukuhakishia, uislamu na waislamu hawana chuki na ukristo na wakristo. Wala hatufundishwi kufanya hivyo. Napenda nikuahidi, mimi nataka kuanza mafunzo maalum kusisitizia kutokua na uhasama na wasio kua waislamu.
Baadhi ya viongozi wa makanisa, huwafundisha kwa siri sana waumini wao kuuchukia uislamu. Ndio maana vijana wengi wa kikristo hua na chuki kisirisiri dhidi ya uislamu.
Hufundishwa kuutakana na kuukashifu uislamu wakati sisi tunafundishwa kuto kumtakana nabii issa (yesu kristo), wala vitabu vya mwenyezi mungu zaburi, taurati na injili.
Hua sisi tunasisitiza kuwaambia majirani zetu kua, yesu sio mungu, mungu sio watatu na wala yesu sio mwana wa mungu (ki-biolojia).
Hua tunalithibitisha hilo kwa maandiko yale yale yalioko ndani ya biblia.
Waislamu wote wanajua utukufu wa qur-an tukufu. Kwa hiyo yoyote atake ifanyia kitendo cha dharau, hata watoto wanaweza kumhukumu.