Alfred
JF-Expert Member
- Apr 13, 2008
- 1,641
- 1,894
kaka we muislamuee ... tusibishane katika hili nitakushindaHawa ndio niliosema kuwa wanasumbuliwa na maradhi ya uelewa mgando ulioambatana na akili za kukamatiwa/kushikiwa.
Anasema Waislamu WANATUCHUKIA WAKRISTU WAKATI HATUNA HATA SHIDA NAO.ETI WANATUITA MAKAFIRI WAKATI SISI HATUWATUKANI. Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atabaini tu. Unapowaita Waislamu
1.elimu ndogo
2.hawafai uongozi
3.wana roho mbaya
4.wana udini
5.hakuna mwislamu atakaepata nafasi
Haya yote ni nini?Mahubiri ya Yesu kristo?Ama kweli mtu hakuchagulii tusi.Kukubali wewe ni kafiri huo ni utashi wako na uelewa wako.Katika uislamu kuna maneno ya Kafiri(mtu asieamini-Unbeliever)na Nasara(Mkristo).Sasa wewe mwenyewe ukaamua kuwa Kafir na sio Nasara kosa ni la nani?
Hivi ETI SUBHANA WATAALA,maana yake waislamu kupendana? Neno hili lina asili ya kiarabu na lina maana "mtukufu alietukuka".“Subhanahu Wa Ta'ala,”means “The most glorified,the most high.”
Kwa hapa ni nani elimu yake ndogo?
Kwa hapa ni nani ni Mdini?
Kwa hapa ni nani anaetukana?