Sheikh Khalifa: Serikali iwapeleke mahakamani masheikh wa Zanzibar au iwaachie huru

Wakati wa Jk watu walitokwa na povu la udini japo alikuwa anabalance sana,
Sasa huyu wa sasa toka kaingia 90% kaegemea upande mmoja wale wapiga firimbi wamezitia kwapani huwasikii kabisa, japo nilikuwa shabiki wake magufuli mpaka sasa namuunga mkono sana tu,Lakini teuzi zake ni za mrengo mmoja tu,zinaishara za udini na ukabila tu
 
Juhudi na uadilifu ndiyo msingi wa maendeleo
 
Just thinking loud, kuna watu wanataka kugeuza dini zao utaratibu wa maisha wa watanzania kwa lazima, hata kama wapo wachache...... mambo ya kuteuna kwenye dini zenu yanahusiana vip na siasa za taifa??? i got highly frustrated when i see people treat others or want others to be treated on the side of their religion.. similar to racism....... ..
 
Ukabila... udin.. katika karne hii?
 
Anasema Waislamu waliibeba CCM, ilikuwa ICU - Kumbe Waislamu ni wadini.

Anasema sasa serikali watakuja kuchukua hadi wake zetu.

Mbona haongelei suala la Uchaguzi Zanzibar?
 
Mbona hamkuyasema wakati wa kikwete!? Hii ni double standard

Nipo neutral sana Mr Hero, binafsi sioni kama dini au chama au kabila kama kigezo cha kumchagua mtendaji, nachopenda na kukiamini siku zote ni output yenye manufaa kwa watanzania
 
Wakati wa Jk watu walitokwa na povu la udini japo alikuwa anabalance sana,
Sasa huyu wa sasa toka kaingia 90% kaegemea upande mmoja wale wapiga firimbi wamezitia kwapani huwasikii kabisa, japo nilikuwa shabiki wake magufuli mpaka sasa namuunga mkono sana tu,Lakini teuzi zake ni za mrengo mmoja tu,zinaishara za udini na ukabila tu
Sheikh wangu usihangaishwe na mambo na kero za dunia ambazo hazikupi thawabu yoyoye. Nakushauri uangaike na kero za kidunia ambazo zinakupa thawabu na malipo mema. Sote tu wasafiri hapa Duniani, tutaacha kila kitu na Kwake tutarejea.
 
Haya wala hayanisumbui kichwa mimi,nawasema hawa wapiga zumari waliokuwa wakituimbisha wimbo wa udini utawala wa Jk, nawashangaa sasa hawaoni tena udini upande wa pili leo,
 
Teehehehehe ngoja waipige tu hii ngoma, ila wakumbuke wao ndio watakao kuwa wa kwanza kuicheza.
Katika yote aliyoyasema nimevutiwa zaidi aliponena wanawatoa wao kwakua ni "waswahili"
 
Hawa bakwata wameshikwa pabaya sasa wameamua kuspin na kutafuta sympath kwa waislamu kwa staili ya kuamsha hisia za watu. Hawa bakwata hawaaminiki, kama vipi watoe hizo rekodi maana katika sehemu ambayo kuna uwezekano mkubwa wa ufisadi kuwepo ni hapo bakwata. Watoe rekodi hizo tudili na wakwepa kodi. Yeye anasema waislamu walisimama na CCM kwa ushahidi gani?! Yaani yeye na kikundi chake cha watu wachache ndiyo imekuwa waislamu wote??!! Kuna mahali inafika mtu unawaza kama wanadhani kila mtu ni mpumbavu. Walitumika kivyao sasa wacha waisome namba, na bado....
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom