Sheikh Khalifa: Serikali iwapeleke mahakamani masheikh wa Zanzibar au iwaachie huru

Hawa ndio niliosema kuwa wanasumbuliwa na maradhi ya uelewa mgando ulioambatana na akili za kukamatiwa/kushikiwa.

Anasema Waislamu WANATUCHUKIA WAKRISTU WAKATI HATUNA HATA SHIDA NAO.ETI WANATUITA MAKAFIRI WAKATI SISI HATUWATUKANI. Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atabaini tu. Unapowaita Waislamu
1.elimu ndogo
2.hawafai uongozi
3.wana roho mbaya
4.wana udini
5.hakuna mwislamu atakaepata nafasi
Haya yote ni nini?Mahubiri ya Yesu kristo?Ama kweli mtu hakuchagulii tusi.Kukubali wewe ni kafiri huo ni utashi wako na uelewa wako.Katika uislamu kuna maneno ya Kafiri(mtu asieamini-Unbeliever)na Nasara(Mkristo).Sasa wewe mwenyewe ukaamua kuwa Kafir na sio Nasara kosa ni la nani?

Hivi ETI SUBHANA WATAALA,maana yake waislamu kupendana? Neno hili lina asili ya kiarabu na lina maana "mtukufu alietukuka".“Subhanahu Wa Ta'ala,”means “The most glorified,the most high.”

Kwa hapa ni nani elimu yake ndogo?
Kwa hapa ni nani ni Mdini?
Kwa hapa ni nani anaetukana?

kaka we muislamuee ... tusibishane katika hili nitakushinda
 
Majibu yako haya apa:
1. Hakuna kipengele cha article of the union kinachosema mpaka hii leo zanzibar bado ni nchi, sawa Zanzibar ilishawahi kuwa nchi ila ilikoma kuwa nchi tarehe 26/04/1964 baada ya kuungana na Tanganyika. Kukazaliwa nchi mpya iliyojulikana kama Jamuhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, baadae jina likabadilishwa na kuwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (ukipenda kwa kifupi unataja Tanzania).

2. Katiba ya Zanzibar ni batili, na kwenye hili jambo ndo umuhimu wa kuwepo kwa mahakama ya kikatiba kunaonekana.

3. Miye sijasema kama Tanzania bara ni nchi, karudie kusoma post yangu ya mwanzo kama utaona kuna maneno niliyo yaandika yakisema Tanzania bara ni nchi. Shida naiona iko kwako kwamba mtu akitaja Tanzania unakurupuka na ku refer kuwa ni Tanzania bara yenyewe. Mtu akitaja Tanzania anamaanisha Zanzibar + Tanzania mainland.

4. Hicho kipengele cha katiba ya Zanzibar kinacho itaja Zanzibar kuwa ni nchi ni batili, na nimeshaelezea hapo juu, hakuna nchi ndani ya nchi ya Tanzania.
1. Nimekwambia soma kwanza "articles of the " union" na uzielewe na usikombe mawazo ya maskani,hukusikia! Ungezisoma hizo "articles" ungejua kuwa Katiba unayoita ya "Tanzania" ni katiba ya Tanganyika ilioazimwa kwa muda tu ambao muda huo pia umeelezwa mahsusi,na baada ya muda huo kwisha Katiba hiyo ya Tanganyika isite kufanya kazi na bunge la Katiba likae kuunda Katiba mpya.Hilo halikufanyika badala yake Serikali ya Tanganyika ilitoa amri tu kuwa kila linapotajwa neno Tanganyika liwekwe neno Jamhuri ya Muungano. Mambo ya sheria hayaendi hivyo

Aidha kabla ya kuundwa kwa Katiba hiyo mpya ya Tanzania, Nchi mbili kupitia mabunge/ BLM yao zilitakiwa kuridhia Muungano wenyewe kwanza. Tanganyika walifanya hivyo,lakini Zanzibar mpaka hii leo hakikufanyika kikao cha kuridhia Muungano. Ndio maana ukasikia kuna Wazanzibari 40,000 wmefungua kesi mahakamani kuhoji uhalali wa muungano wenyewe.
2.Ni ujinga na wehu kusema Katiba ya Zanzibar ni batili.Nani ana mamlaka ya kuibatilisha Katiba ya Zanzibar zaidi ya wazanzibari wenyewe? Na kwa katiba gani-ya Tanganyika? Pengine hujui sababu ya Rais Jumbe kuvuliwa madaraka yote kule Dodoma.Rais Jumbe alihoji uhalali wa Muungano na aliajiri Mwanasheria mashuhuri wa Ghana na kumfanya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dr.Swanzi,na kuanza kuandaa waraka wa kesi kupeleka Mahakama ya Katiba ya Kimataifa. Akina Maalim Seif ndio waliouiba waraka huo kumpelekea waliomtuma Rais Nyerere kuwa Jumbe anataka kuvunja Muungano.
3. Kwanza ukubali kuwa neno "Tanzania bara" uliltaja kwenye post yako,vizuri. Nini maana ya neno Tanzania Bara.Kama sio nchi ni kitu gani? Mkoa,Wilaya,Kitongoji,Nguruwe au Kanisa?Pili umesema na nukuu "Mtu akitaja Tanzania anamaanisha Zanzibar + Tanzania mainland". Tumia akili kidogo, unamaanisha kuwa Zanzibar imeungana na Tanzania Mainland. Tafsiri ya Tanzania Mainland = Tanzania bara = Tanganyika, kwa hivyo Tanzania bara ni nchi, kwa fikira za Watanganyika. Sasa unakaidi nini?
4. kipengele cha katiba ya Zanzibar kinachoitaja Zanzibar kuwa ni nchi ni batili-Kipengele hicho kakibatilisha nani? Wenye Katiba yao? Wao ndio pekee wenye Mamlaka ya kufanya hivyo kikatiba. Au unazungumzia mafisi walowezi?
 
Hoja ziko wazi ila unaleta ligi, nimeshakuchoka sultan, kwa heri nina issues nyingine za kuafanya
 
Haya wala hayanisumbui kichwa mimi,nawasema hawa wapiga zumari waliokuwa wakituimbisha wimbo wa udini utawala wa Jk, nawashangaa sasa hawaoni tena udini upande wa pili leo,

Uzuri wa Allah huwadharirisha wanafikh hapa hapa Dunian. Hupenda kujipamba kwa mema feki na mazuri ya ovyo, Ila Allah ni Mjuzi huwadharirisha tu. Hujisifiaga kuwa wao ni bora kwenye usimamizi na uadilifu, matokeo yake ndio hao hao wanaoongoza kupelekwa mahakamani na kuswekwa ndani. Wabora kwenye kusimamia uchumi, matokeo yake uchumi hudorora kwa kasi ya ajabu.

Kwenye Udini uko ndio usiseme. Wao huwa very sensitive kukosoa wakati wengine wakiwa watawala, ila wanapotawala wao hawauoni udini wao.

Allah yupo, atawadharirisha kwa kila baya walipangalo dhihi ya umma wa iman zingine. Ishaallah
 
CH2wg31UMAAdQAL.jpg
 
Nipo neutral sana Mr Hero, binafsi sioni kama dini au chama au kabila kama kigezo cha kumchagua mtendaji, nachopenda na kukiamini siku zote ni output yenye manufaa kwa watanzania

Output mpaka uwepo ndani ya game akikuweka bench utaonyesha wapi. Wengi wanazo records of accomplishment mkubwa anafunika!
 
Back
Top Bottom