Sheikh Khalifa: Serikali iwapeleke mahakamani masheikh wa Zanzibar au iwaachie huru

Wakati wa Jk watu walitokwa na povu la udini japo alikuwa anabalance sana,
Sasa huyu wa sasa toka kaingia 90% kaegemea upande mmoja wale wapiga firimbi wamezitia kwapani huwasikii kabisa, japo nilikuwa shabiki wake magufuli mpaka sasa namuunga mkono sana tu,Lakini teuzi zake ni za mrengo mmoja tu,zinaishara za udini na ukabila tu
Hawa ndio waliahidiwa viroba vya mchele magu akiingia madarakani sasa mumeona mfano wake., Masheikh wa kiisalmu wameteswa sana jela na kufanyia kila unyama lakini hukuinua mdomo wako sasa unalalamika ufanyiwe uteuzi na rais., endelea kumuunga mkono.
 
Just thinking loud, kuna watu wanataka kugeuza dini zao utaratibu wa maisha wa watanzania kwa lazima, hata kama wapo wachache...... mambo ya kuteuna kwenye dini zenu yanahusiana vip na siasa za taifa??? i got highly frustrated when i see people treat others or want others to be treated on the side of their religion.. similar to racism....... ..

Nice comment, I liked it!.
 
Sheikh khalifa, huna mamlaka ya kuiamrisha serikali ifanye unavyotaka wewe! Bakia msikitini na waumini wako. Kazi ya siasa waachie wengine ambao ni wanasiasa!
 
WAISLAMU ELIMU YAO NDOGO HAWAFAI KUWA VIONGOZI HALAFU WANA UDINI SAANAA...SIKU NIKIWA RAISI HAKUNA MWISLAMU ATAPATA NAFASI...WANA ROHO MBAYAA SAANAA...WANATUCHUKIA WAKRISTU WAKATI HATUNA HATA SHIDA NAO..ETI WANATUITA MAKAFIRI WAKATI SISI HATUWATUKANII...KIUJUMLA UONGOZI WA WAISLAMU UNA BASE SAANAA KATIKA DINI...KWA MAANA HIYO NAWAAMBIA NYIE WAISLAMU HAMFAI KUWA VIONGOZI HATA UMONITOR WA DARASA HAMFAIIII.......

ROHOO MBAYAAA...MNAPENDANA TU WENYEWE....!!

ETI SUBHANA WATAALA...WAISLAMU KUPENDANA....WAKATI INATAKIWA WOTE TUPENDANE KWA SABABU SOTE TU VIUMBE VYA MUNGU...!!
 
Hakuna sababu ya watuhumiwa wa makosa yaliofanywa Zanzibar nchi mshirika wa muungano wasihukumiwe Zanzibar na kuletwa kwa sababu ya unyonge wao.

Aisee umepotosha vya kutosha, Zanzibar sio nchi, nchi ni Tanzania. Zanzibar na Tanganyika zilikoma kuwa nchi tarehe 26/04/1964.

We sema tu makosa wameyafanya Zanzibar ila wanafikishwa kweye mahakama za Tanzania bara, acha kupachika vijineno nchi nchi.
 
Samahani wako si ujinga,si udubu,si ujuha wala si wendawazimu.Wako ni mchanganyiko maalum ya yote, uliokubuhu na kulidumaza bufuru la akili na nafsi yako kushindwa hata wa kutambua mashariki wala magharibi.

Hata hivyo sitachoka kuwaelimisha watu wa aina hii wenye kusumbuliwa na maradhi ya uelewa mgando ulioambatana na akili za kukamatiwa/kushikiwa.
1.soma "artcles of the union" na uzielewe mwenyewe, usichanganye na mawazo ya maskani.
2.soma Katiba ya Zanzibar, utapata jibu.
3.hakuna nchi duniani,inayoitwa Tanzania bara, kuna Tanganyika(iliojivisha koti la Muungno)
4. Katiba ya Zanzibar(kwa maana ya Katiba ya nchi) 1984,Sura ya kwanza inasema:-
(a)Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
(b)Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(kwa lugha fasaha ni kuwa Zanzibar ni mshirika-ufafanuzi ni wangu)
 
WAISLAMU ELIMU YAO NDOGO HAWAFAI KUWA VIONGOZI HALAFU WANA UDINI SAANAA...SIKU NIKIWA RAISI HAKUNA MWISLAMU ATAPATA NAFASI...WANA ROHO MBAYAA SAANAA...WANATUCHUKIA WAKRISTU WAKATI HATUNA HATA SHIDA NAO..ETI WANATUITA MAKAFIRI WAKATI SISI HATUWATUKANII...KIUJUMLA UONGOZI WA WAISLAMU UNA BASE SAANAA KATIKA DINI...KWA MAANA HIYO NAWAAMBIA NYIE WAISLAMU HAMFAI KUWA VIONGOZI HATA UMONITOR WA DARASA HAMFAIIII.......

ROHOO MBAYAAA...MNAPENDANA TU WENYEWE....!!
ETI SUBHANA WATAALA...WAISLAMU KUPENDANA....WAKATI INATAKIWA WOTE TUPENDANE KWA SABABU SOTE TU VIUMBE VYA MUNGU...!!
Hawa ndio niliosema kuwa wanasumbuliwa na maradhi ya uelewa mgando ulioambatana na akili za kukamatiwa/kushikiwa.

Anasema Waislamu WANATUCHUKIA WAKRISTU WAKATI HATUNA HATA SHIDA NAO.ETI WANATUITA MAKAFIRI WAKATI SISI HATUWATUKANI. Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atabaini tu. Unapowaita Waislamu
1.elimu ndogo
2.hawafai uongozi
3.wana roho mbaya
4.wana udini
5.hakuna mwislamu atakaepata nafasi
Haya yote ni nini?Mahubiri ya Yesu kristo?Ama kweli mtu hakuchagulii tusi.Kukubali wewe ni kafiri huo ni utashi wako na uelewa wako.Katika uislamu kuna maneno ya Kafiri(mtu asieamini-Unbeliever)na Nasara(Mkristo).Sasa wewe mwenyewe ukaamua kuwa Kafir na sio Nasara kosa ni la nani?

Hivi ETI SUBHANA WATAALA,maana yake waislamu kupendana? Neno hili lina asili ya kiarabu na lina maana "mtukufu alietukuka".“Subhanahu Wa Ta'ala,”means “The most glorified,the most high.”

Kwa hapa ni nani elimu yake ndogo?
Kwa hapa ni nani ni Mdini?
Kwa hapa ni nani anaetukana?

Just thinking loud, kuna watu wanataka kugeuza dini zao utaratibu wa maisha wa watanzania kwa lazima, hata kama wapo wachache...... mambo ya kuteuna kwenye dini zenu yanahusiana vip na siasa za taifa??? i got highly frustrated when i see people treat others or want others to be treated on the side of their religion.. similar to racism....... ..

If you will say so when a non co-religionist president does exactly what MAGU is doing, then I will believe you are a fair, a non-biased man. Otherwise, your talk here is as meaningless as a bucketful of a morning cold pee! The fact is that Muslim presidents have always been accused of being religionists based on their appointments, even those who were somehow fair, like Kikwete. So, what do you expect from the Muslims when a president appoints 90% co-religionists onto high ranks? Kikwete, who only appointed 45% Muslims in similar positions was sorely criticized by your brethren. I am not a religionist when it comes to national politics, but we have to recognize the established realty of the Tanzanian politics. If there will be a rationality in this, Christians should be the ones to change, not the marginalized Muslims.
 
Samahani wako si ujinga,si udubu,si ujuha wala si wendawazimu.Wako ni mchanganyiko maalum ya yote, uliokubuhu na kulidumaza bufuru la akili na nafsi yako kushindwa hata wa kutambua mashariki wala magharibi.

Hata hivyo sitachoka kuwaelimisha watu wa aina hii wenye kusumbuliwa na maradhi ya uelewa mgando ulioambatana na akili za kukamatiwa/kushikiwa.
1.soma "artcles of the union" na uzielewe mwenyewe, usichanganye na mawazo ya maskani.
2.soma Katiba ya Zanzibar, utapata jibu.
3.hakuna nchi duniani,inayoitwa Tanzania bara, kuna Tanganyika(iliojivisha koti la Muungno)
4. Katiba ya Zanzibar(kwa maana ya Katiba ya nchi) 1984,Sura ya kwanza inasema:-
(a)Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
(b)Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(kwa lugha fasaha ni kuwa Zanzibar ni mshirika-ufafanuzi ni wangu)

Majibu yako haya apa:
1. Hakuna kipengele cha article of the union kinachosema mpaka hii leo zanzibar bado ni nchi, sawa Zanzibar ilishawahi kuwa nchi ila ilikoma kuwa nchi tarehe 26/04/1964 baada ya kuungana na Tanganyika. Kukazaliwa nchi mpya iliyojulikana kama Jamuhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, baadae jina likabadilishwa na kuwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (ukipenda kwa kifupi unataja Tanzania).

2. Katiba ya Zanzibar ni batili, na kwenye hili jambo ndo umuhimu wa kuwepo kwa mahakama ya kikatiba kunaonekana.

3. Miye sijasema kama Tanzania bara ni nchi, karudie kusoma post yangu ya mwanzo kama utaona kuna maneno niliyo yaandika yakisema Tanzania bara ni nchi. Shida naiona iko kwako kwamba mtu akitaja Tanzania unakurupuka na ku refer kuwa ni Tanzania bara yenyewe. Mtu akitaja Tanzania anamaanisha Zanzibar + Tanzania mainland.

4. Hicho kipengele cha katiba ya Zanzibar kinacho itaja Zanzibar kuwa ni nchi ni batili, na nimeshaelezea hapo juu, hakuna nchi ndani ya nchi ya Tanzania.
 
Anavumiliwaje huyu kumkashifu na kumsingizia Rais wa nchi uzushi huu?Huwa anafikiri nini kuhusu teuzi za muheshimiwa? Hajui kama madhara ya kuchochea udini yanawagharimu watu mpaka leo?
 
Back
Top Bottom