Sheikh Khalifa: Serikali iwapeleke mahakamani masheikh wa Zanzibar au iwaachie huru

Tusubiri huyu raisi amalizie uteuzi wake wote hLafu tutafanya tathmini .na baadae watu wataona kila kitu
 
Nipo neutral sana Mr Hero, binafsi sioni kama dini au chama au kabila kama kigezo cha kumchagua mtendaji, nachopenda na kukiamini siku zote ni output yenye manufaa kwa watanzania
Upo sahihi mkuu,
Tatizo linakuja pale teuzi 99% zinapokuwa za dhehebu moja
Ni makusudi au bahati mbaya?
 
Upo sahihi mkuu,
Tatizo linakuja pale teuzi 99% zinapokuwa za dhehebu moja
Ni makusudi au bahati mbaya?

Hapo sasa inategemeana na anayeteua yupo biased kiasi gani, ila inapendesa sana kutojifunga kwenye upande fulani kama wenye sifa kiutendaji wapo ili kuondokana na dhana za kiimani hata kama lengo halikuwa hilo...
 
Nimeipenda hiyo ya waislam wa bakwata kila miaka kutumika kipindi cha uchaguzi kama toilet paper na ccm,kumbe ccm ilikua ICU

FaizaFoxy Ritz @khaatan Lizaboni big show MwanaDiwani

Kama mtu anazo data za matokeo ki mkoa yanaweza kuleta picha kama kweli waislam ndio waliokoa jahazi...mwenye nayo ayarushe yale ya Nec...
Si vibaya kugonga vichwa kwa utafiti kidogo
 
Suala la dini hapa halipo lakini nashangaa waislam kuwa mahabusu bila hatua stahiki kuchukuliwa, wale ma Shekh mpaka leo wapo mahabusu? Je wameua?
 
Wakati wa Jk watu walitokwa na povu la udini japo alikuwa anabalance sana,
Sasa huyu wa sasa toka kaingia 90% kaegemea upande mmoja wale wapiga firimbi wamezitia kwapani huwasikii kabisa, japo nilikuwa shabiki wake magufuli mpaka sasa namuunga mkono sana tu,Lakini teuzi zake ni za mrengo mmoja tu,zinaishara za udini na ukabila tu
hawa jamaa ni waajabu sana. tena hawana hata aibu. sasa hivi utafikiri hawaoni.
 
Wakati wa Jk watu walitokwa na povu la udini japo alikuwa anabalance sana,
Sasa huyu wa sasa toka kaingia 90% kaegemea upande mmoja wale wapiga firimbi wamezitia kwapani huwasikii kabisa, japo nilikuwa shabiki wake magufuli mpaka sasa namuunga mkono sana tu,Lakini teuzi zake ni za mrengo mmoja tu,zinaishara za udini na ukabila tu
Huyu anateua mtu kulingana na shule na sifa yake na si kwa dini yake kama alivyokuwa anafanya Jipu.
 
Suala hili liangaliwe, si rahisi kwa wa upande mwingine kulipa mtazamo chanya....au kuliunga mkono......uwiano muhimu na ndo umetufikisha hapa
 
mbona makamu wa rais , waziri mkuu ni waisl....... udini upo wapi hapo? jamaani mimi tukianza kuzungumzia mambo ya udini mpaka mwili huwa unasisimka, tuache kuzungumzia udini tujenge nchi na majipu yaendelee kutumbuliwa.
 
Serekali yetu haina dini, msiingize kwenye mizozo ya dini zenyu. Mmeambiwa mtoe document zenu tu ziangaliwe, kwani kama ni safi, hofu ya nini?? Zitoe photo copy kama waogopa kufutika au kupotea.
Ukisema tu atii; Hapa kwangu sitoi, hapo ni kwako?? Hapo upo kama kiongozi sio kwako hapo. Ukiisha shindwa kutenganisha taasisi na mtu baasi.
Vya kitaasisi viende kitaasisi. Na taaasisi zipo kwa misingi ya sheria za nchi. Kama mtatishia serekali kwa dini zenu naona hatutafika. Kama mlikuwa kwenye njia ya haki, hamtaogopa kuwaonesha documents.
 
katumwa ku bip serikali ila mimi ninavyoijuwa serikali watampigia tena wakati asio ujuwa
 
Kwa mujibu wa katiba ya Nchi mahakama ndio chombo kilochopewa mamlaka ya kutafsiri sheria za nchi na kutoa haki kwa waliodhulumiwa vilevile kuwaadhibu wakosaji kwa mujibu wa sheria zilizoko
Inauma sana ikiwa siasa zitaingilia kazi za mahakama kwa njia yoyote
 
Wakati wa Jk watu walitokwa na povu la udini japo alikuwa anabalance sana,
Sasa huyu wa sasa toka kaingia 90% kaegemea upande mmoja wale wapiga firimbi wamezitia kwapani huwasikii kabisa, japo nilikuwa shabiki wake magufuli mpaka sasa namuunga mkono sana tu,Lakini teuzi zake ni za mrengo mmoja tu,zinaishara za udini na ukabila tu
HATA BADO - MAJI MTAITA MMA
 
Back
Top Bottom