Sheikh Khalifa: Serikali iwapeleke mahakamani masheikh wa Zanzibar au iwaachie huru

Waislamu walikuwa bega kwa bega na CCM wakati wa uchaguzi mkuu? Nilikuwa siyajui haya.

Sasa huyu Sheikh Khalif ilimpasa aende pale Lumumba kutoa haya malalamiko yake na sio kwa waandishi wa habari.
 
Ukabila... udin.. katika karne hii?
Hapa hapana udini wala ukabila, lakini hapa kuna utaifa.

Hakuna sababu ya watuhumiwa wa makosa yaliofanywa Zanzibar nchi mshirika wa muungano wasihukumiwe Zanzibar na kuletwa kwa sababu ya unyonge wao. Kutuonea tu.

Sasa imekuwa wimbo wa taifa mzanzibari akifanya kosa Zanzibar mara anasafirishwa bara kuja kupata mateso. Katiba inavunjwa hakuna taasisi za haki binadamu za bara inayothubutu kukemea kama vile wazanzibari wako utumwani.

Msheikh wa Dar ndio wanafiki wakubwa
.

Mhe. Raza aliwahi kusema kwa hali tunayo kwenda itafika wakati hata ukitaka kuoa basi kibali upate bara. Hayo sasa yananukia
 
Kwa kuwa mmekili kushirikiana na madhurumati CCM wakati wa uchaguzi, kwa hiyo mmepata laana ya waTanzania. Sasa hivi mnachopata ni matokeo tu ya hiyo laana.

Nyinyi mliamini CCM ndiye atawasaidia. Imeandikwa, na alaaniwe yule amtegemeaye mwanadamu.

Sasa nyie kina Sheikh Khalifa mna laana mbili (laana ya Mungu na laana ya waTanzania).

Acha laana iwatafune sasa.
 
Nipo neutral sana Mr Hero, binafsi sioni kama dini au chama au kabila kama kigezo cha kumchagua mtendaji, nachopenda na kukiamini siku zote ni output yenye manufaa kwa watanzania
Kwann maneno haya hayasemwi kipindi cha utawala wa wavaa njiwa,,anyway maneno kuntu kbs japo yapo kwenye level ya juu ya unafiki
 
Wakati wa Jk watu walitokwa na povu la udini japo alikuwa anabalance sana,
Sasa huyu wa sasa toka kaingia 90% kaegemea upande mmoja wale wapiga firimbi wamezitia kwapani huwasikii kabisa, japo nilikuwa shabiki wake magufuli mpaka sasa namuunga mkono sana tu,Lakini teuzi zake ni za mrengo mmoja tu,zinaishara za udini na ukabila tu
Tupe mfano wa kila aliyeteuliwa na Dini & Kabila lake?Mimi nakushauri kama unaipenda Tanzania wacha uchochezi,Ningependa kama ungesema JPM kafanya teuzi za upendeleo kwa wenye phD ama madaktari na maprofesa ,full stop,na maana yake ni kwamba anataka wasomi na si wababaishaji
 
Sina sababu ya kuleta majina hapa,mwenyewe nenda katazame teuzi zote kuanzia mawaziri, naibu waziri, makatibu wakuu,naibu katibu, wakurugenzi wa mashirika ya umma, viongozi wa vikosi vya usalama nchini, 85% ni wakristo, kama suala PhD au maprofesa aweke 50/50 hakuna zaidi ya udini hapa,
 
maslahi yake yameguswa ndiyo maana analalamika. Anatumia dini kama mwavuli wa kulinda madudu yake. Acha aisome namba nyuma ya gari
 
maslahi yake yameguswa ndiyo maana analalamika. Anatumia dini kama mwavuli wa kulinda madudu yake. Acha aisome namba nyuma ya gari
Katika Nchi zetu changa inabidi tuwe makini sana na mambo ya dini au kabila yana nguvu sana na huleta hisia Kali na hayawezi kuondoka kirahisi mioyoni mwa watu, kwa Hiyo yameshakuwa ni factors, tusiwe kwenye state of denial.
 
Uko sahihi and the ruling class is capitalising on it. Nadhani umemuona ambavyo anajitapa jinsi alivyotumika na ruling class. Jamaa analia, they have used him as a ladder to reach the top and throw him away. Kibaya zaidi halipi kodi, TRA wamefika katika nyumba yake, badala ya kulipa anatumia dini kujificha. Tatizo ni kutumika
 
Rais wa awamu ya tano, usipoteze kabisa muda kwenye kutafuta compromise na upuuzi unaokuja mezani kwako kwa mtindo wa haki za dini na kidini. Piga kazi, endelea kusisitizia kazi tu, hizi taasisi na malengo ambayo zinawakilisha, hupotezea watu muda mwingi wakutafuta maendeleo ya kweli. Rais Magufuli wala usihangaishwe na ubinafsi wa vikundi vingi ambavyo vinaona kama vile vinammiliki Mungu, ambaye ameumba kila kitu kuanzia maua yanayoota pembeni ya nyumba mpaka barafu iliyo juu ya mlima kilimanjaro.
Chapa kazi Rais, watu wa aina hii huwa hawabebeki, huwa hawaishiwi na sababu za maandamano na mikwaruzano ya kila aina. Wakati wa uongozi wa awamu ya nne, waliweza kuanzisha chokochoko sembuse awamu yako wewe, kiongozi ambaye unaheshimu kila mtu hata uteuzi wako wa baraza lako la mawaziri unathibitisha ni kwa jinsi gani unavyotanguliza kutazama uwezo wa mtu na sio kama anasali jumapili au anaswali ijumaa. Piga kazi rais, walio wengi hawana muda na hizi siasa za vikundi vinavyowakilisha imani za watu ambao ni sehemu ya watanzania zaidi ya milioni 46.
 
Hapa hapana udini wala ukabila, lakini hapa kuna utaifa.

Hakuna sababu ya watuhumiwa wa makosa yaliofanywa Zanzibar nchi mshirika wa muungano wasihukumiwe Zanzibar na kuletwa kwa sababu ya unyonge wao. Kutuonea tu.

Sasa imekuwa wimbo wa taifa mzanzibari akifanya kosa Zanzibar mara anasafirishwa bara kuja kupata mateso. Katiba inavunjwa hakuna taasisi za haki binadamu za bara inayothubutu kukemea kama vile wazanzibari wako utumwani.

Msheikh wa Dar ndio wanafiki wakubwa
.

Mhe. Raza aliwahi kusema kwa hali tunayo kwenda itafika wakati hata ukitaka kuoa basi kibali upate bara. Hayo sasa yananukia

Hayo mambo ya Masheikh hapa yanatuhusu nini????
 
Ramadhani Dau mlidhani NSSF ni mali yake? tulieni mkamuliwe, aliyewaweka hao masheikh ndani ni muislamu mwenzenu Mkwele, mumuache Magufuli msilete fyokofyoko vyombo vya dola vipo imara.
Huyo Khalifa na akina Ritz ndio walikua mstari wa mbele kuwatetea na kuwabeba CCM wakati wa uchaguzi... Ni hao hao huilalamikia CCM then ukifika uchaguzi huikumbatia!!!

Huwa nashindwa niwaweke ktk daraja gani la ubinadamu hivi viumbe dhalili na vyenye Lana....
 
Mimi ni mkristo lakini hili suala la kuwaweka kizuizini masheikh bila kesi kusikilizwa siliafiki. Kuna malalamishi walitoa kweli inatia huzunisha jinsi walivyotendewa. Katika hili haki inatakiwa itendeke.
 
Kwa sababu ya kuwa Sheikh hakuwafutii haki yakuwa si watanzania. Hivyo yanatuhusu na uwache udini huo usiokuwa na maana! kuwa na aibu

Mimi na udini tena vimetoka wapi? Wewe ndiye unayetuvuta kujadili mambo yako ya dini humu; na mimi najua tukianza kujadili mambo hayo tunapoteza "objectivity". Hamia Misikitini au Kanisani utafanya mijadala ya kidini kwa tija zaidi. Hiyo ndiyo rai yangu.
 
Back
Top Bottom