Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

polokwane

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
3,362
5,809
Naona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo

Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali

Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa dini gani , majibu yanatakiwa yatoke kwa serikali tu, kwa masheikh kuijibia serikali au maaskofu kuijibia serikali si sawa kabisa.

Serikali iwe makini itazalisha tatizo ambao haitaweza kulitatua kirahisi maana ikiwa masheikh wameanza kutoa maneno ya kuwasema wakristo moja kwa moja maana yake ikiwa wakristo maaskofu nao watakosa busara na wakataka kujibu tutaelekea kwenye jambo baya kuwahi kutokea nchi hii.

Serikali isiwaamini viongozi wa dini kujipa usemaji au utetezi wa serikali, majibu ya kujibiwa na serikali yajibiwe na serikali na sio sheikh au askofu kuijibia serikali.

Ikumbukwe sheikh au askofu kuihoji serikali kwa jambo ambalo wana hofu nalo sio dhambi lakini ni kosa sana viongozi wa dini kujivika utetezi wa serikali kwa namna yeyote ile.

Serikali ikemee hii hali inahatarisha usalama wa nchi mambo huwa yanaanza hivi hivi yanaanzia kwenye majibizano na baadae yakua na yanahamia kushikana mwilini ugomvi wowote huanzia kwenye maneno kwanza.

NAWASILISHA
 
Sasa DPW akija, atasaidia vipi Uislam? Kwa nini masheikh wetu wanadanganyika hivi kwa mgongo wa dini? Wafanyakazi wa DPW ni Waarabu? Au ni Waislam tu?

Au kisa wamesikia ni kampuni ya Dubai? Hivi mbona Magufuli alisemwa weee, ilikuwa anasemwa kisa ni Mkristo? Kwa nini Samia asiguswe anapokosea? Maswali ni mengi inabidi hawa masheikh waulizwe /wajiulize.
 
Hilo kwako umeliona ni baya, lkn viongoz hao hao wa dini wa upande wa pili kuongelea mamb ya serikali umeona ni sahihi ? Ila wanaojibu nd sio sahihi! Jitafakari
Soma uelewe wewe maamuma kuna kiongozi wa kikristo umeona kausema uislamu kama sheikh wa mwanza alivyo usema ukristo?

Hoja za serikali zijibiwe na serikali nansio viongozi wa dini ndio hoja yangu.

Au ndio maana mnafundisha karate watoto huko kwenye shule zenu kwa vile mnaitafuta vita na wakristo?
 
Sasa DPW akija, atasaidia vipi Uislam? Kwa nini masheikh wetu wanadanganyika hivi kwa mgongo wa dini? Wafanyakazi wa DPW ni Waarabu? Au ni Waislam tu? Au kisa wamesikia ni kampuni ya Dubai? Hivi mbona Magufuli alisemwa weee, ilikuwa anasemwa kisa ni Mkristo? Kwa nini Samia asiguswe anapokosea? Maswali ni mengi inabidi hawa masheikh waulizwe /wajiulize.
Mbona viongozi wa dini ya upande wa pili ndio wanapinga zaidi hii issue? Jiulize hilo hilo swali ulilojiuliza,au kwa vile ni kampuni ya Dubai? Au kwa vile ni wa dini ingine?
 
Soma uelewe wewe maamuma kuna kiongozi wa kikristo umeona kausema uislamu kama sheikh wa mwanza alivyo usema ukristo?

Hoja za serikali zijibiwe na serikali nansio viongozi wa dini ndio hoja yangu.

Au ndio maana mnafundisha karate watoto huko kwenye shule zenu kwa vile mnaitafuta vita na wakristo?
Nd ulivofundishwa hivo sikulaum. Wala siwez bishana na nyie
 
Back
Top Bottom