Hapa hapana udini wala ukabila, lakini hapa kuna utaifa.Ukabila... udin.. katika karne hii?
Kwann maneno haya hayasemwi kipindi cha utawala wa wavaa njiwa,,anyway maneno kuntu kbs japo yapo kwenye level ya juu ya unafikiNipo neutral sana Mr Hero, binafsi sioni kama dini au chama au kabila kama kigezo cha kumchagua mtendaji, nachopenda na kukiamini siku zote ni output yenye manufaa kwa watanzania
Tupe mfano wa kila aliyeteuliwa na Dini & Kabila lake?Mimi nakushauri kama unaipenda Tanzania wacha uchochezi,Ningependa kama ungesema JPM kafanya teuzi za upendeleo kwa wenye phD ama madaktari na maprofesa ,full stop,na maana yake ni kwamba anataka wasomi na si wababaishajiWakati wa Jk watu walitokwa na povu la udini japo alikuwa anabalance sana,
Sasa huyu wa sasa toka kaingia 90% kaegemea upande mmoja wale wapiga firimbi wamezitia kwapani huwasikii kabisa, japo nilikuwa shabiki wake magufuli mpaka sasa namuunga mkono sana tu,Lakini teuzi zake ni za mrengo mmoja tu,zinaishara za udini na ukabila tu
Sina sababu ya kuleta majina hapa,mwenyewe nenda katazame teuzi zote kuanzia mawaziri, naibu waziri, makatibu wakuu,naibu katibu, wakurugenzi wa mashirika ya umma, viongozi wa vikosi vya usalama nchini, 85% ni wakristo, kama suala PhD au maprofesa aweke 50/50 hakuna zaidi ya udini hapa,Tupe mfano wa kila aliyeteuliwa na Dini & Kabila lake?Mimi nakushauri kama unaipenda Tanzania wacha uchochezi,Ningependa kama ungesema JPM kafanya teuzi za upendeleo kwa wenye phD ama madaktari na maprofesa ,full stop,na maana yake ni kwamba anataka wasomi na si wababaishaji
Katika Nchi zetu changa inabidi tuwe makini sana na mambo ya dini au kabila yana nguvu sana na huleta hisia Kali na hayawezi kuondoka kirahisi mioyoni mwa watu, kwa Hiyo yameshakuwa ni factors, tusiwe kwenye state of denial.maslahi yake yameguswa ndiyo maana analalamika. Anatumia dini kama mwavuli wa kulinda madudu yake. Acha aisome namba nyuma ya gari
Uko sahihi and the ruling class is capitalising on it. Nadhani umemuona ambavyo anajitapa jinsi alivyotumika na ruling class. Jamaa analia, they have used him as a ladder to reach the top and throw him away. Kibaya zaidi halipi kodi, TRA wamefika katika nyumba yake, badala ya kulipa anatumia dini kujificha. Tatizo ni kutumikaKatika Nchi zetu changa inabidi tuwe makini sana na mambo ya dini au kabila yana nguvu sana na huleta hisia Kali na hayawezi kuondoka kirahisi mioyoni mwa watu, kwa Hiyo yameshakuwa ni factors, tusiwe kwenye state of denial.
Hapa hapana udini wala ukabila, lakini hapa kuna utaifa.
Hakuna sababu ya watuhumiwa wa makosa yaliofanywa Zanzibar nchi mshirika wa muungano wasihukumiwe Zanzibar na kuletwa kwa sababu ya unyonge wao. Kutuonea tu.
Sasa imekuwa wimbo wa taifa mzanzibari akifanya kosa Zanzibar mara anasafirishwa bara kuja kupata mateso. Katiba inavunjwa hakuna taasisi za haki binadamu za bara inayothubutu kukemea kama vile wazanzibari wako utumwani.
Msheikh wa Dar ndio wanafiki wakubwa.
Mhe. Raza aliwahi kusema kwa hali tunayo kwenda itafika wakati hata ukitaka kuoa basi kibali upate bara. Hayo sasa yananukia
Kwann maneno haya hayasemwi kipindi cha utawala wa wavaa njiwa,,anyway maneno kuntu kbs japo yapo kwenye level ya juu ya unafiki
Kwa sababu ya kuwa Sheikh hakuwafutii haki yakuwa si watanzania. Hivyo yanatuhusu na uwache udini huo usiokuwa na maana! kuwa na aibuHayo mambo ya Masheikh hapa yanatuhusu nini????
Huyo Khalifa na akina Ritz ndio walikua mstari wa mbele kuwatetea na kuwabeba CCM wakati wa uchaguzi... Ni hao hao huilalamikia CCM then ukifika uchaguzi huikumbatia!!!Ramadhani Dau mlidhani NSSF ni mali yake? tulieni mkamuliwe, aliyewaweka hao masheikh ndani ni muislamu mwenzenu Mkwele, mumuache Magufuli msilete fyokofyoko vyombo vya dola vipo imara.
Ni viumbe dhaifu.... Viumbe ubwabwa!!!sisi kina gogo la shamba tulishasema huko nyuma kwamba,waislamu wengi ni wachumia tumbo wanatumiwa kama karai nyumba ikimalizika linatupwa kule, ushahidi mahakama ya kadhi
Kwa sababu ya kuwa Sheikh hakuwafutii haki yakuwa si watanzania. Hivyo yanatuhusu na uwache udini huo usiokuwa na maana! kuwa na aibu
lukuvi nae ana shule? vp kuhusu mhagama yule wa peramiho kuliko na jimbo kuu la rc?Huyu anateua mtu kulingana na shule na sifa yake na si kwa dini yake kama alivyokuwa anafanya Jipu.