Aeronautical
Senior Member
- Jun 19, 2019
- 140
- 140
Majina yalitolewa wapi kiongozi?Majina yalitolewa tarehe 21 tarehe 23 mtu unakata mshahara wake muda huo huo changamoto bado ni kubwa.
Watu zaidi ya laki wengi mnoooooooo.
Majina yalitolewa wapi kiongozi?Majina yalitolewa tarehe 21 tarehe 23 mtu unakata mshahara wake muda huo huo changamoto bado ni kubwa.
Watu zaidi ya laki wengi mnoooooooo.
Ujazaji wa taarifa ni majukumu ya HR wao walikuwa wanahakikisha watu wanajaza, HR department ndio ilikuwa inafanya enforcement kupitia wakuu wa vitengo .umeibua changamoto muhimu sana,
hata hivyo lack of seriousness kwa baadhi ya hao watumishi na huenda pia lack of awareness inaweza kuchangia pakubwa wengi wao kuzama au kutumbukia kwenye changamoto hiyo. Watapitia changamoto, lakini jasho lao haliwezi potea ispokua watachelewa kulifurahia
Lakini pamoja na hayo yote, bado haki inakwenda sambamba na wajibu. Ni muhimu kutekeleza wajibu wetu vema ili kupata stahiki na haki zetu kwa usahihi 🐒
Ni suala la ustahimilivu na subra tu, bilashaka iko namna inafanyika kitatua changamoto hiyo mpya na hizo nyingine ulizozitaja kwa wakati muafaka 🐒Mkuu, reply zako zinaonesha wewe ni spoilt brat, umeishishwa mjini tu.
Ni wazi, watumishi wa serikali ni wavuvi, wezi na wakwamishaji wa maendeleo ya wengine kwa 100%.
Kaulize waungwana, wakuambie jinsi watu wanavyopoteza muda na nguvu kufuata mishahara yao.
Huu mfumo ni mzuri, kuzuia mchwa na wafanyakazi hewa kuendelea kula mshahara,Serikali ya awamu ya Sita iliachana na mfumo wa kujaza OPRASS kwenye makaratasi (nakala ngumu) badala yake ikatambulisha PEPMIS kupitia mfumo Employee Self Service kwa kifupi ESS.
I think, respective institutions which are responsible on the matter are learning very closely, from these public opinions, constructive and deconstructive criticisms so that to avoid confusions like this one next timeUjazaji wa taarifa ni majukumu ya HR wao walikuwa wanahakikisha watu wanajaza, HR department ndio ilikuwa inafanya enforcement kupitia wakuu wa vitengo .
Wakuu za vitengo ,managers wanahakikisha watu wanajaza na kutoa maelekezo kwa sababu wao ndio masupervisors hata account zao ni special...Hao ndio wazembe kwa kwanza mpaka kufika trh ya ukomo walitakiwa kujua watu waliopo chini yao kama wametekeleza zoezi.
Kama zoezi dogo la mara moja unashindwa ,je wataweza ku'manage watu kila siku kweny majukumu yao.
Ukishajisajili unapewa section na Afisa Utumishi ili Mkuu wako akuoe Role (Activity) then wewe utaweka Sub ActivityKabisa tuelimishane kiongozi. Kumbe sasa sio kujaza tasks and subtasks ndo unapata mshahara ila kujisajili tu. Na je waliopo masomoni wanajazaje tasks and subtasks?.
Kingine kwenye load repayment and topup naona wengi wanalalamika haifanyi kazi vizuri yani ipo lakini haifiki mwisho.
Tumekopa si siku nyingi, bado zipo.Who knows Hali ya kwenye kibubu ipoje!!?
Naunga Mkono Hoja!!!Huko kwenye loan sijaingia ila nakushauru usije ukafanya top up jibane bane hadi mkopo wako uishi, kwenye top up upigaji ni mkubwa sana kuliko kawaida
Ni machawa wa mamaSasa hao wazee ambao hawawezi hata kutumia smartphone wapo ofisini wanafanya nini?
Hapo kama hawakuambiwa kinachofuata baada ya kujisajili ni shida,inatakiwa waanze kutolipwa hiyo mishahara hao walioshindwa kulisimamia hilo zoezi kikamilifu.Kuna uzembe wa mtu mmoja mmoja , boss na taasis kwa ujumla.
Mfano ukishajili hujui km kunapewa Role, anayetakiwa kukupa Role ni Mkuu wa Idara au Kitengo , Sasa watumishi wengi waliambiwa TU wajisajili basi.
Wagonjwa wa muda mrefu,walio masomoni kuna utaratibu unafanywa,hawanyimwi mishahara yaoKabisa tuelimishane kiongozi. Kumbe sasa sio kujaza tasks and subtasks ndo unapata mshahara ila kujisajili tu. Na je waliopo masomoni wanajazaje tasks and subtasks?.
Kingine kwenye load repayment and topup naona wengi wanalalamika haifanyi kazi vizuri yani ipo lakini haifiki mwisho.
For sureNi machawa wa mama
Namaanisha kwamba kama unaona kuna jambo la msingi na la lazima unatakiwa kulifanya kwann usubir mpaka Point ya kukatwa mshahara ndipo uchukue hatua.! Yn upo sehemu hakuna internet, kwann Siku ya off yako usiende mjini kwa ajili ya jambo moja tuu kwamba naenda kuweka mambo yangu sawa huko kwenye system.?Mkuu, reply zako zinaonesha wewe ni spoilt brat, umeishishwa mjini tu.
Ni wazi, watumishi wa serikali ni wavuvi, wezi na wakwamishaji wa maendeleo ya wengine kwa 100%.
Kaulize waungwana, wakuambie jinsi watu wanavyopoteza muda na nguvu kufuata mishahara yao.
Mzee, unajisikia lakini au uko kukaza fuvu tu?Namaanisha kwamba kama unaona kuna jambo la msingi na la lazima unatakiwa kulifanya kwann usubir mpaka Point ya kukatwa mshahara ndipo uchukue hatua.! Yn upo sehemu hakuna internet, kwann Siku ya off yako usiende mjini kwa ajili ya jambo moja tuu kwamba naenda kuweka mambo yangu sawa huko kwenye system.?
Nimekaza fuvuMzee, unajisikia lakini au uko kukaza fuvu tu?
Kuna watu wanafanya utumishi wa umma, wako mazingira bora kabisa ya kazi, marupurupu yao ni zaidi ya mishahara ya wengi kwenye utumishi huo huo wa umma; anapewa nyumba nzuri, anapewa usafiri, anapewa mawasiliano, n.k ili aweze kutimiza majukumu yake....
Wapo wanaokaa bungeni kule, tangu nchi iundwe hakuna la maana walilowahi kufanya, bado kutimiza majukumu yao, wanalipwa kwa siku nje ya mshahara na marupurupu yote.
Unataka afisa kilimo aliyeko Nanjilinji huko, anayelipwa mshahara wa 700,000 tu kabla ya kodi, anayetumia siku 3 kuufuata mshahara mjini kwa gharama zake mwenyewe, akitumia nauli chungu tele, aende kutafuta internet kwa gharama zake? Kwa upuuzi usio na tija?
- Mkongo wenu wa taifa umeishia wapi?
- Kutengeneza madawati tu mmeshindwa, unataka mtumishi aitafute internet isipokuwepo?
- Mnaanzisha mifumo, mmetoa vitendea kazi?
Hakuna asiyelipwa na serikali kama ni mtumishi wa umma, unaweza thibitisha kuwa kuanzia namba 1 mpaka messenger wa Halmashauri kule, wote wanapaswa kujaza hizo mambo?
- Na kama sio, kwanini?
- Na kama ndio, wote wana abide kiasi cha kusema, wakurugenzi na makatibu wakuu waliokosa kufanya hivyo wamenyimwa mishahara?
Natumia nguvu kubwa kukusanya upepo nadhani....si ajabu najadili na sisiemu!
Baba yako au mama yako ni kijana???Sasa hao wazee ambao hawawezi hata kutumia smartphone wapo ofisini wanafanya nini?