Said Mohamed Saad - Mmiliki wa Home shopping Centre, amwagiwa tindikali!

Yaani hakuna usalama kabisa nchi hii, mara kung'oana meno na kucha na kumwagiana tindikali, ajabu wahusika hawakamatwi.
 
What is the moral of the story wanangu?
1. Muke ya mutu sumu
2. Jeuri na dharau hailipi
3.when justice system fails,people resort to instant justice or technically speaking acid justice.
 
Nadhani inatakiwa kuwepo sheria kali za kudhibiti ununuzi wa acid. Kwa sasa inakuwa kama fasheni watu kumwagiwa acid. Mtu au taasisi ikitaka kununua acid hasa hizi acid kali afuate masharti kama ya anayenunua bastola au silaha yeyote kubwa. Kisha matumizi ya hiyo acid pia yafuatiliwe kwa umakini. Itasaidia kupunguza tatizo kama si kumaliza. Get well soon mgonjwa.
 
Kweli ndugu zangu Watanzania mmechoka kweli; ndio maana WM Dhaifu alisema "wapigwe tu" maana na serikali nayo imechoka; kila mtu amechoka... miye nasubiri watakapofanyiziwa mawaziri na viongozi wa serikali... tukikubali upuuzi tusilie upuuzi ukitukuta!
 
Rai yangu; huyu bwana Said ilipaswa apigwe risasi eneo ambalo lingempoteza kabisa maisha, ila kwa kuwa akijafanyika hicho, basi jitihada zifanywe za kumuondoa tu duniani ili tuepushe madhara makubwa huku uraiani.

Jungle law at its best!

Mambo ya ovyo kabisa haya kuwahi kutamkwa in public...
 
Aliposhambuliwa Kubenea na Ndimara, nilisema, "Taifa limeingia katika utamaduni mpya na ya hatari na sasa hakuna aliye salama tena, si waandishi, si polisi, si madaktari, si wanasiasa, si wanafunzi,si wakulima, si madereva, si wafanyabiashara, si raia wema na si wahalifu nao; Binadamu wote hatuko salama tena hapa Tanzania.

Sote tusikubali huu upuuzi hata kama anayefanyiwa Ana makosa yake." Bahati mbaya sana mmoja wa rafiki niliyemwambia maneno haya na yakamuingia naye amepatwa na janga la kushambuliwa. Nasema kama Taifa tumeharibikiwa na lazima sote tuseme HAPANA. Kama mtu Ana makosa Dola ifanye kazi kurudisha imani.

Nitaandika mahali maalumu kwa undani.

Sawa sawa mkuu..hii Quotation niliiona kwenye Mwana Halisi kipindi hicho
 
Nchi yetu pendwa ina amani, tunailinda na kuitukuza kw njia mbalmbal.
Next to the police station!

Hivi ulisikia jana kuna kituo cha polisi kilivamiwa na majambazi wakawateka polisi na kuwacage? Ukicheka na dog....
 
Ukweli ni kuwa jinsi Said Mahonda alivyo na kibri na dharau, amejijengea maadui wengi sana katika maisha yake.

Kuna malalamiko mengi kutoka wafanya kazi wake, wafanya biashara wenzake na hata wateja wake. Tatizo lake kubwa ni kuwa kaweka pesa mbele, na hudhani kuwa pesa ndio kila kitu.
Hadhani bali amethibitisha dada. Nadhani alichokosea ni kutojua kuwa wanyonge anaowaonea wamethibitisha hilo pia na hivyo wametafuta option wanayoiamini itatenda haki kuliko akina Said Mwema.
 
Leo nimegundua watanzania wengi wameingiwa na roho ya kikatili sana,tuna hatari ya kuwa na society ambayo ni fragile.

Huu ufedhuli wa Conc. H2SO4 umekua so popular.

Watu wanashangilia na kuhalalisha kwa kumjengea victim taswira hasi
 
mkuu upo juu kama mzee wa upako.. pole yake said
Ukicheka sana ipo siku utalia sana

Ukilia sana ipo siku utakuja cheka sana

Ukiwa mgovi sana kuna siku utakuwa mpole sana

Ukiwa malaya sana kuna siku utakipa kilichopo kwenye huo umalaya(ukimwi)

Ukiwa mchimbaji wa madini na ukavumilia ipo siku utatoka na chochote kama sio kuishia humo humo na shimo lako kuwa kaburi lako

Ukiwa muongeaji sana ipo siku utakuwa mc wa harusi ama mlopokaji

Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga

Maisha hayawi maisha bila kuishi
 
Allah Ikrimak wa Ikrim jamii'a l'muslimin.

Thanks a lot.

Nitoke kidogo kwenye Mada.....Ramadan Mubarak!!Kama hukuwahi kujua,au vile sikukiri hadharani...Niliipenda sana JF by then sababu ya michango yako,ukichagizwa na Marwa na Malaria Sugu!!..Mke wangu aliikupenda sana,mpaka leo namuita FaizaFoxy as utani,lakini umepotea sana Mama...LOVE youuuuuuuu!!
 
Tunatengeneza mazingira ya watu fulani kuwa miungu watu na kujitengenezea magenge yao hatari ya kihalifu. Kama alivyosema Mzee Mwanakijiji "tukikubali upuuzi tusilie upuuzi ukitukuta!". Kwa wale waliosoma historia, hata J. Edgar Hoover wa FBI (Marekani) alianza hivi hivi..
 
Wakuu,

Rai yangu; huyu bwana Said ilipaswa apigwe risasi eneo ambalo lingempoteza kabisa maisha, ila kwa kuwa akijafanyika hicho, basi jitihada zifanywe za kumuondoa tu duniani ili tuepushe madhara makubwa huku uraiani.
...Unafahamiana na Mwigulu? -hebu jaribu kuwasiliana naye. hata ukitaka bomu la kurusha kwa mkono utapata.
 
Back
Top Bottom