Walikuwepo kabla ya Nyerere na Keneddy au hulijui hilo?
Napita manzese yani mpaka raha naona shell ya mafuta ya lake oil eti ni ya ridhiwan jamani nzuri kweli hili nimeambiwa imejengwa eneo maalum kwa soko la machinga manzese........
CHAMA
SENGEREMA
wakati mimi nasoma kwenye shule yetu tulikuwa na mwalimu wa kimarekani mmoja aliekuwa anafundisha maths basi ilipofika kipindi sha mtihani ya kidato cha nne walimu naona wakapewa mtihani huo huo walio fanya wanafunzi...huwezi amini mmarekani alipata 27 huku walimu wa kibongo aliepata marks za chini alipata 85..mmarekani akafukuzwa kwahiyo kikwete usiwaonekama ndiyo tiba ya matatizo yetu..
Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.
Ahsante Kikwete. Inanikumbusha wakati nasoma, enzi hizo, tulikuwa na Waalim kutoka Australia, India, Uingereza kwa uchache na mambo yallikuwa swaafi kabisa,
Hii ni fursa kubwa kwa Waalim wetu kujifundisha mbinu za wenzetu nasi kuwaonesha uwezo wetu nao wajifunze kutoka kwetu.
Haya wanafunzi, kazi kwenu na Mungu awasaidie muwe wanafunzi wazuri wa kuigwa na hawa Wamerekani wapeleke salaam njema kwao ili waje na wengine wanaosuasua.
Na hao waalimu wa Kimarekani waliletwa kutokana na safari za rais wa wakati huo? Maana ndilo hilo hawa majuha wanataka kutuaminisha kuwa bila Kikwete kuweka kiguu njiani tusingepata waalimu.wakati mimi nasoma kwenye shule yetu tulikuwa na mwalimu wa kimarekani mmoja aliekuwa anafundisha maths basi ilipofika kipindi sha mtihani ya kidato cha nne walimu naona wakapewa mtihani huo huo walio fanya wanafunzi...huwezi amini mmarekani alipata 27 huku walimu wa kibongo aliepata marks za chini alipata 85..mmarekani akafukuzwa kwahiyo kikwete usiwaonekama ndiyo tiba ya matatizo yetu..
Hapana. Usidanganye hapa. Peace Corps wameanzishwa na marehemu Kennedy. Ungeweza hata ku google kabla ya kuonyesha ujahili wako.
Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.
Ahsante Kikwete. Inanikumbusha wakati nasoma, enzi hizo, tulikuwa na Waalim kutoka Australia, India, Uingereza kwa uchache na mambo yallikuwa swaafi kabisa,
Hii ni fursa kubwa kwa Waalim wetu kujifundisha mbinu za wenzetu nasi kuwaonesha uwezo wetu nao wajifunze kutoka kwetu.
Haya wanafunzi, kazi kwenu na Mungu awasaidie muwe wanafunzi wazuri wa kuigwa na hawa Wamerekani wapeleke salaam njema kwao ili waje na wengine wanaosuasua.
mkigomakikwete fanya vitu vyako, mabarabara umejenga tele, leo tanzania imekuwa kama kijiji, kigoma to Dar ni masaa 12, kupitia daraja malagalasi.
Mfumo K tena? wacha matusi.
Na hao waalimu wa Kimarekani waliletwa kutokana na rais wa wakati huo? Maana ndilo hilo hawa majuha wanataka kutuaminisha kuwa bila Kikwete kuweka kiguu njiani tusingepata waalimu.
Hapana. Usisogeze goal post. Ulichosema ni kwamba peace corps walikuwepo kabla ya utawala wa Kennedy. Stick to the facts. Ni kweli waalimu wa Kimarekani walikuwepo enzi za ukoloni lakini wengi waliletwa na makanisa. Hata mimi nimefundishwa na Wamarekani walioletwa na kanisa lakini hawa hawakuwa peace corps. Kwa ujumla Waingereza hawakupenda kuajiri Wamarekani katika shule za serikali. Aliyekurupuka ni wewe. Teh, teh, teh!Ulichoshingdwa kuelewa kuwa Waalimu wa Kimerekani walikuwepo Tanzania hata kabla ya Nyerere na Kennedy kuwepo, sasa kama walikuwa hawaitwi peace corps walikuwa wanaitwa vingine, hilo sio tatizo. Soma vizuri, walikuwepo kabla ya Kennedy na Nyerere hapa tuaongelea waalimu na hao peace corps si waalimu pekee.
Nyerere mwenyewe kasomeshwa na Mwalimu wa Kimerekani au na yeye alikuwa wa peace corps?
Usikurupuke utachekwa.
Mwajiriwa wetu jk katuonyesha kuwa tunaweza kuwaajiri wazungu kutuendeshea shughuli zetu, basi tunajiandaa kutangaza nafasi ya kazi magogoni, tukimpata vonweiseka atatusaidia kutatua na kamgogoro ka ziwa nyasa. Tutamlipa vizuri, hatkuwa na vitrip vya kifujaji.
. . . . Kwa kila mtanzania!!!!!!!