zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
- Thread starter
- #61
Kama hayo ndio mafanikio umeyaona inabidi tukupeleke milembe tukapime brain huenda akili ina hitirafu!
Hayo ni baadhi ya mafanikio, kuweza kuwapata waalimu wa sayansi kutoka nchi iliyopia hatua kubwa kisayansi ni mafanikio makubwa sana hata kwa uchache wake. Ni punguani tu ambae anaweza kuyabeza hayo.
Fikiri kama watatawanywa shule 47 zenye wanafunzi 100 tu wa sayansi kila moja, ni wangapi watafaidika hapo?
Halafu unasema sio mafanikio? unaskitisha sana. Kwako labda mafanikio ni kukopa na kujengea hawara pesa za chama.