Nimeshakujibu. Wamarekani hawakuletwa na Muingereza hata siku moja. Waliletwa na makanisa kwenye shule za misheni.Soma vizuri post yanngu, walikuwepo wa kutoka nchi nyingi na si Merekani tu na waliletwa na Serikali ya Uingereza iliyokuwa inaendesha Tanganyika wakati huo.
Nakumbuka kuna wakati waliletwa waalimu kutoka Zanzibar, ulikuwepo? au hulijui hilo? Na akaletwa pia Mwaalim wa Mapolisi na Waingereza kutoka Zanzibar akiitwa Zeni Mjasiri, akaamuwa kubaki Dodoma mpaka kufa kwake, unalijuwa hilo?