Sababu Za Kupinga Utengenezaji Wa Coin Ya Tsh 500 Nchi Tanzania Sasa

Ni kwamba wanauchumi wapo,na ushauri wao hauwapendezi wanasiasa. Wanasiasa ndio waamuzi wakuu hata kama ni jambo la kuathiri uchumi au uhai wa nchi.
 
Hakika inaniuma sana kuona nchi yangu yenye kila aina ya rasilimali misitu, madini, maji, mlima mrefu kuliko yote afrika, gesi, wanyama wa kila aina bado tunaburuzwa kiuchumi na nchi kama kenya!!!!! Tanzania ni zaidi ya JAHANAMU.
 
Sasa ndg yangu, mbona mambo yako nje nje hapo? Hata kama kusoma huwezi basi hataicha huoni? (Natania though). Kuwepo kwa sarafu zenye thamani kubwa(tarakimu) ni dalili ya kuporomoka vibaya kwa uchumi. Marekani bado wana noti ya dola tano, Kenya-hawa wa hapo jirani tu- wana noti ya shilingi ishirini zao(ambayo ni sawa na tshs4000/-) sasa huku tunakoelekea ni jahanam kbaisa ya uchumi. Google viashiria vya kuporomoka kwa uchumi halafu utaona.
 
Mkuu Fakhi jumaa Kenya tunaweza kusema wametuzidi kiuchumi nchi ambayo tumeizidi kiuchumi Malawi noti yao kubwa ni kwacha 1000 ambayo ni karibu sawa na Tsh 4000 yaani hapo ndipo kichwa kinapouma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom