Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,331
- 8,254
Katika jambo ambalo nimeshangaa ni hili la kuongeza nauli za daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600.
Maana yake ni kwamba sarafu moja pekee ya Tsh haiwezi kulipia nauli ya daladala kutoka kituo kimoja hadi kingine. Si hivyo tu kutumia sarafu ya Tsh 500 kwenye nauli inapunguza kuombaomba chenji.
Hili swala halipo sawa viongozi tuwe tunawaza kabla ya kuanzisha vitu, mbona tumeishusha thamani Tsh 500 kiasi hicho? Ilitakiwa miatano iwe nauli ya kulipia mpaka mwisho wa kituo bila kujali umbali.
Ukienda nchi ya China, unazunguka na basi mpaka mwisho wa kituo kwa Tsh 330 - 360 tu, unalipia sarafu ya RMB 1 tu.