Kwani magazeti si yameandikwa na watu kama akina mwanakijiji?
Kwanza kwenye highlights hapo juu panatosha kabisa kuwa Tanzania Richmond ni ROSTAM AZIZ...N hilo linatowa nafasi nzuri kabisa kupata mahali pa kuanzia uchunguzi.sawa kama ni utoto, lakini kwa kutuita watoto hakufanyi hoja zako kuwa na nguvu kama yule ndugu mwingine ambaye asipokubaliana na wengine anawaita wapumbavu! Rostam alikuwa na hisa kwenye RDC... he knows it na mtu yeyote ambaye angeamua kufuatilia suala hili lilipoanza 2006 angeona hivyo. Wengine tulishafanya uchunguzi mapema sana na kuestablish the following facts. (tafuta maswali yangu 10 kwa Mkurugenzi wa TAKUKURU kuhusu Richmond - 2006).
Sasa kama unasema maneno kama haya..Kwanini huamni kuwa hawa watu wanatosha kuendeleza uchunguzi kwa kuhojiwa?a. RDC iliingia nchini kwa ushirika wa Mhe. Msabaha (Mbunge - Waziri wa Madini)
b. RDC iliingia nchini kwa ushirika wa Jakaya Kikwete (Mbunge)
c. RDC (USA) wametoa mchango mkubwa katika kampeni ya Kikwete na Msabaha
Sijuwi huo ushemeji wao ulianza lini..Lakini unaweza kuona yeye RA ndiye bosi.d. Rostam Aziz ndiye mfanyabiashara aliyetengeneza mazingira ya wao RDC kujikita kwenye biashara hiyo ya energy. Yeye mwenyewe akiwa ni shemeji ya Kikwete.
.e. Naeem Gire waliingia na asilimia 75 ya RDC (tanzania) na asilimia 25 zilizobakia zikigawanywa miongoni mwa wahusika wakuu.
yes I said it! RDC inahusiana na Msabaha, Kikwete, Rostam na familia ya kina Gire ambao ni wachangiaji wa kampeni za uchaguzi CCM (2005). Kupewa kwa mradi wa bomba la mafuta 2005 na miezi michache baadaye mradi wa majenereta ilikuwa ni shukrani ya CCM kwa michango ya kina Gire katika kampeni za Msabaha na Kikwete na pia kama nafasi ya kuvuna walipopanda hasa baada ya JK alipoingia madarakani kumchukua Msabaha na kumuweka kuwa Waziri wa Nishati na Madini.
so, now you know
katika maneno hayo manne angalia mawili ya mwisho, halafu angalia swali lako uliloliuliza.. utaona ni wapi ulikosea.
Ukitoa hoja utajibiwa kwa hoja, ukiuliza swali ambalo wewe mwenyewe unaweza kulipatia jibu nitakusaidia kufanya hivyo kwani nikikupatia jibu moja kwa moja sitakuwa nimekusaidia. Ninapokuambia utafute jibu ni kwa sababu naamini kuwa ukichukua muda kidogo tu na wewe utalipata. Kwa sababu kama mimi nililipata nina uhakika na wewe ukiamua utaweza kulipata kwani ni public knowledge. Hivyo sitoi jibu si kwa sababu sitaki bali nataka nikuencourage utafute majibu.
the effect itakuwa ni ile ile, mimi kukupatia wewe jibu ambalo wewe mwenyewe unaweza pia kulipata.
Haitoshi tu kuuliza maswali, take time to research the answers. Unauliza maswali sahihi wakati mwingine the only thing is you don't want to put time to find the answers.
Jmushi.. sayari ya dunia inazunguka jua tu... na sisi sote tunazunguka jua pamoja nayo. Kuna maswali yako ambayo naweza kuyajibu kiurahisi lakini kuna mengine ningependa wewe utafutie majibu kwa sababu kwa kufanya hivyo utagundua mengi zaidi. Kuuliza tu maswali kwa sababu yanakujia kichwani kunataka mtu mwingine ajibu, sasa jaribu kutafuta majibu wewe mwenyewe pale uliposhindwa na hakuna jinsi basi unaomba msaada. Hivyo ndivyo tunajifunza.
Rais wetu angeachwa kwanza angalau kwa sasa. Vinginevyo, sakata hili halitaishia popote. Tukumbuke pia maneno ya MWALIMU; huwezi kumtikisa RAIS nchi isitikisike. CCM na Mkapa kwa kiasi kikubwa walichangia mno kumfikisha Kikwete kuomba mapesa ya kampeni kwa watu kama akina Gire, Karamagi, RA,...
Angeyarudishaje mapesa haya machafu? Ikulu hakuna biashara ndio maana zikaundwa hizi RICHMOND.
kasheshe, Recently You Have Been Very Personal With Me.. Do You Have Something You Really Want To Say... Just Go Ahead And Say It. Cheap Shots Ain't Doing Anything To Me.
However, ninaamini sehemu zote ambazo ana "something" zimezibwa kabisa huwezi kuzigusa, hizi Meremeta tunazoambiwa ni za jeshi, Chenge, huko EPA na BOT kwa ujumla, nina wasi wasi kuwa ana something huko,
kwa sababu Pinda anamuogopa somebody, nani huyu? Na kwa nini?
Kuna maswali ya msingi sana ya kumuuliza Mwakyembe ambayo hayakuulizwa, likiwemo hilo hapo juu kwa sababu watu walipagaishwa na hoja yake iliyomfanya Lowasa ajiuzulu.
Kwa kuwa sasa mpagaisho huo pengine umeisha tunahitahi kurudi kwenye hali yetu ya kawaida na ku-reflect tena more critically kwenye report ya Mwakyembe na kuona kama alijibu maswali ya msingi yaliyofanya kamati iundwe.
Binafsi sijawahi kuridhika na maelezo yake juu ya kwa nini hakumhoji Lowasa, ambaye at the end of the day ndiye alikuja kuonekana kwamba ndiye aliyekuwa player mkubwa na ultimate casuality kwenye sakata zima la Richmond. Mwakyembe anapaswa pia atueleze nafasi ya Rais Kikwete kwenye Richmond hasa kwa kuzingatia utetezi mzito ambao Rais Kikwete amewahi kuujenga juu ya kampuni hii ya kitapeli. Rais Kikwete aliwahi kututhibitishia watanzania, zaidi ya mara moja, kuwa kampuni ya Richmond ilikuwa ya uhakika na kwamba ingefanya kazi yake vizuri ndani ya muda uliopangwa. Sasa ilikuwaje maelezo muhimu kama haya hayakujikeza kwenye report ya Mwakyembe?
Ni kwa sababu ya hoja hizi mimi mwenzenu hushawishika kuamini kwamba report ya Mwakyembe ilitumika kama silaha ya kumalizana na kujengana kisiasa na wala haikuwa na lengo la kutafuta ukweli kuhusu kampuni Richmond. At the end of the day, ukweli utajulikana maana hata Mtikila amejificha miaka yote hii lakini leo hii shetani amemuumbua kweupe!
Hicho ndicho nilichosema nimenotice katika maelezo ya Rostam. Siyo kwamba hakuhusika, na hajawahi kukanusha hicho. Yeye anasema walichunguza na hawakuona jina lake. Vitu hivi ni viwili tofauti. Rostam hajawahi kukana kuhusika na Richmond na Dowans. Sikiliza tena majibu yake alipoulizwa hata jana.
Sasa, kama anachosema "mwanakijiji" ni utumbo kwanini watake ushahidi tena? Hivi nani mmiliki wa Richmond au Dowans? Kuna mtu anajua. Kamati ya Bunge ilishindwa kuonesha ni nani hasa mmiliki wa Richmond. Hebu nikukumbushishe kilichosemwa kuhusu Rostam kwenye ripoti ya Mwakyembe:
Na kamati hiyo hiyo teule inasema hivi:
Sasa kwa mfanyabiashara mzuri na msafi kama Rostam ambaye anasingiziwa tu mambo ya ufisadi, kufanya kazi na biashara na hata kushirikiana anuani na kampuni ya kifisadi ambayo ilishajulikana ni ya kifisadi hakumfanyi yeye fisadi? Inakuwaje kwa mfanyabiashara "msafi" ambaye familia yake imefanya biashara kuanzia 1852 kushindwa kuangalia uhalali wa kampuni anazofanya nazo biashara?
Je kweli Rostam hakuijua kabisa hii kampuni? Kwa ukaribu aliokuwa nao inapita akili kufikiria kuwa alikuwa hajui RDC ni nini au kuhusika na mambo yao.
Hakuna umbeya, Rostam alikuwa anahusika na Richmond, that is an established fact. Suala pekee ambalo halikuweza kuonekana (siyo kwamba halipo) ni kuwa halionekani.
sawa kama ni utoto, lakini kwa kutuita watoto hakufanyi hoja zako kuwa na nguvu kama yule ndugu mwingine ambaye asipokubaliana na wengine anawaita wapumbavu! Rostam alikuwa na hisa kwenye RDC... he knows it na mtu yeyote ambaye angeamua kufuatilia suala hili lilipoanza 2006 angeona hivyo. Wengine tulishafanya uchunguzi mapema sana na kuestablish the following facts. (tafuta maswali yangu 10 kwa Mkurugenzi wa TAKUKURU kuhusu Richmond - 2006).
a. RDC iliingia nchini kwa ushirika wa Mhe. Msabaha (Mbunge - Waziri wa Madini)
b. RDC iliingia nchini kwa ushirika wa Jakaya Kikwete (Mbunge)
c. RDC (USA) wametoa mchango mkubwa katika kampeni ya Kikwete na Msabaha
d. Rostam Aziz ndiye mfanyabiashara aliyetengeneza mazingira ya wao RDC kujikita kwenye biashara hiyo ya energy. Yeye mwenyewe akiwa ni shemeji ya Kikwete.
e. Naeem Gire waliingia na asilimia 75 ya RDC (tanzania) na asilimia 25 zilizobakia zikigawanywa miongoni mwa wahusika wakuu.
yes I said it! RDC inahusiana na Msabaha, Kikwete, Rostam na familia ya kina Gire ambao ni wachangiaji wa kampeni za uchaguzi CCM (2005). Kupewa kwa mradi wa bomba la mafuta 2005 na miezi michache baadaye mradi wa majenereta ilikuwa ni shukrani ya CCM kwa michango ya kina Gire katika kampeni za Msabaha na Kikwete na pia kama nafasi ya kuvuna walipopanda hasa baada ya JK alipoingia madarakani kumchukua Msabaha na kumuweka kuwa Waziri wa Nishati na Madini.
so, now you know.