Rostam, Msabaha, Kikwete and Richmond - Yes I said it again!

Kinepi analia kwa uchungu tena sana.

Kikwete, Lowasa, Rostam, Msabaha, Mohamed Saleh etc ndio waliotupiga mchanga wa macho. kwenye hii kashfa ya richmunduli niliwahi kumtaja kikwete na ushiriki wake nikatolewa macho. Hatuwezi zima moto na kupata dawa ya haya maradhi ufisadi-wizi bila kumning'iniza kikwete mbele ya sheria na kundi lake.

Gire alitumika kufanikisha deal.

Vile vile kwahili lazima tumlaumu mwakiembe kwa kumkingia kifua Kikwete na kuacha baadhi ya ushahidi muhimu sana kwenye hili soo. Alituhadaa washikadau. Mtaalamu ni msomi anayetumia usomi wake wote kulilitea taifa lake maendeleo, Mwakiembe aliacha utaalamu akafuata siasa, ndio maana mafisadi yanatusumbua na kapuyuka hovyo.

Rostam Ni ingini ya mafisadi mchezo mzima alicheza yeye, anatulitea kiburi cha uraia wake wa iran, anatuibia halafu anatutukana.
Kikwete unatuangamiza, Rostom fisadi.

"A man who won't die for something is not fit to live. "
 
Mkandara, Tanzania haina miti mitakatifu, miti yote yaweza kukatwa. Ni kwa sababu hatujaikata miti inayojidhania mitakatifu ndio maana watu wanadhania kuwa haikatwi.
 
Oo yeah, kuna member mmoja wa hii forum aliendesha maili nyingi sana na kuzifuata nyumbani kwangu anazo sasa hivi, aliniahidi kuwa atazifanyia copies sasa akizirudisha kuna member mwingine aliye karibu yangu ameahidi kuziweka hapa nikimpa, kwa hiyo ninasubiri akizirudisha,

Otherwise, ninaheshima kubwa sana na Msabaha jinsi alivyoji-conduct katika mjadala mzima ndani ya hizi video, na hasa alipofikia mahali akajiuzulu kwa kweli maneno aliyoyasema ni very responsible na sikutegemea kuwa kuna kiongozi wa Tanzania anaweza kusema hivyo wakati anajiuzulu uwaziri kwani alibeba mzigo 100% bila maneno ya ujanja ujanja, kama Karamagi na Lowassa.

Na hasa Lowassa, ambaye bado hakuwa anakubali ukweli ingawa alijiuzulu, kwa kweli the atmosphere ni clear kuwa alifanya vile kuzima majadiliano zaidi on this ishu, that is my take kwa kuangalia mjadala mzima ni Msabaha peke yake anayekubali responsibility yake 100%.

Halafu role za Daraja na Sykes, bado hazijawekwa wazi kwenye hii deal kwa sababu hawa wanahusika sana tena kwa karibu sana!
 
Credibility ya JF ni kuwa na uwezo wa kuthibitisha yaandikwayo. Lakini toka topic hii ilivyoanzishwa inaonekana wazi kwamba ni majungu yanayopikwa dhidi ya Rais Jakaya, mwenye ushaidi wa Jakaya kuhusika ni muhimu atuletee ama la ingekuwa ni busara kuifunga topic hii kwani haina ukweli.
 
Kidatu... ushahidi gani nimekuambia kina Gire wamechangia kampeni ya Kikwete na Msabaha, na kama mwezi Aprili 2005 ushahidi ulionekana wa kampeni ya Kikwete kupokea Shs. Bilioni 2 (dollar milioni 2) toka Omani. Unataka tuseme nini? tukuletee risiti? kama tunawazushia si wakanushe!
 
Kwahiyo MKJJ Kama unasema Gire alitowa pesa za kampeni..Je hilo lina tofauti gani na suala la EPA?
Kwani pesa za kampeni anakabidhiwa Rais ama mwenyekiti wa Kampeni?
Naomba unitajie nani alikuwa campaign manager na huyo lazima ndiye aliyepokea pesa zote kuanzia za EPA na za Gire.
Kwani hata pesa za EPA JK alipewa DIRECTLY?
 
Mashahidi wawili, Ndugu Daniel Yona na Mhe. Rostam Aziz, (Mb) walipelekewa hati za kuitwa mbele ya Kamati Teule lakini hawakufika kwa maelezo kwamba walikuwa nje ya nchi.....

Mhe. Rostam Aziz alitakiwa atoe maelezo kuhusu uhusiano wake na Kampuni za Richmond Development Company LLC na Dowans Holdings S.A baada ya mashahidi zaidi ya watano kumtaja kuwa ana uhusiano nazo. Aidha, alitakiwa na Kamati Teule aeleze kwanini anwani ya posta na anwani ya barua pepe ya kampuni yake ya Caspian Construction Company Ltd inatumiwa na Dowans Holdings S.A. Kamati Teule ilipata majina ya baadhi ya wafanyakazi wa Caspian ambao pia wanaitumikia Dowans Holdings S.A.

Sasa kama haya si MAZINGAOMBWE..Hao kina ROSTAM MBONA TUNAWASIKIA HUKO MAKANISANI NA KEMPISK WAO NA CLOUDS FM?

KWANINI HAWAKUFIKA MBELE YA KAMATI TEULE?

Halafu kuna watu wanataka kuwatetea hapa?

Nyie watu mbona mna FIKRA MAKENGEZA?

SASA MWIZI AKIKAMATWA AMA KUTAJWA NA YEYE HAOJIWI KWA VILE ANADAI YEYE SI MWIZI?!

NA ETI HATA WANADIRIKI KUSEMA MWENYE USHAHIDI AFUNGUWE MASHATAKA?

HII NCHI NI YA NANI?

Sasa hata kama walikuwa nje ya nchi kwani bado hawajarudi?

Kwanini hawajibu BUNGENI?

Ni wazi wamekwepa na walivyo na roho mbaya wamemtega jamaa yao JK na wako radhi waende wote na maji ama hata Taifa liingie kwenye VURUGU!

JK amewapa free ride sana tu!

Na hii yote ni USHKAJI!

Sasa kwanini wasijibu maswali ya msingi kama hawa watu hawana dharau?

Yani kweli wao wanajiita viongozi wetu na kutufanyia haya yote?

Kwanini hawa watu hawana huruma kabisa?

NA AMA HATA UTU NA UBINADAMU?

HAWA WATU NI WATANZANIA WENZETU KWELI HAWA?

Ama ni kweli wanaamini kuwa sisi watanzania ni WAJINGA KIASI HICHO?

Kwanini walikwepa kuhojiwa na hawataki kujibu maswali ya msingi na badala yake wanataka tumwage damu?

Na mimi nawaambia watanzania...Kabla hamjamwaga damu dhidi yenu...Ni bora mfikirie mara mbili...Kwani mafisadi wanatumia siasa na kumbe ukweli ni kuwa wametudharau kiasi cha kutosha na kweli sasa imefikia MWISHO!

KUVUMILIA TENA NI SHIDA!

Haiwezekani tuendelee kuishi na kushuhudia haya!
 
Mkjj Bado Nasubiri Jibu Kuhusu Mazingira Ya Fedha Za Gire Na Zile Za Epa Katika utumikaji wake Kwenye Kampeni Ya JK.
Pls.
 
Kwahiyo MKJJ Kama unasema Gire alitowa pesa za kampeni..Je hilo lina tofauti gani na suala la EPA?
Kwani pesa za kampeni anakabidhiwa Rais ama mwenyekiti wa Kampeni?
Naomba unitajie nani alikuwa campaign manager na huyo lazima ndiye aliyepokea pesa zote kuanzia za EPA na za Gire.
Kwani hata pesa za EPA JK alipewa DIRECTLY?

Ungekuwa unatulia kuconcentrate kwa swali moja ungejikuta unapata majibu wewe mwenyewe. Usiishie kuuliza tu, tafuta majibu. maswali mengine wala huhitaji kuuliza kwani ukichukua muda kutafuta majibu utayapata na hivyo utaondoa haja ya kuyauliza.
 
Ubarikiwe ndugu mushi kwa kuona point yangu.
 
Ungekuwa unatulia kuconcentrate kwa swali moja ungejikuta unapata majibu wewe mwenyewe. Usiishie kuuliza tu, tafuta majibu. maswali mengine wala huhitaji kuuliza kwani ukichukua muda kutafuta majibu utayapata na hivyo utaondoa haja ya kuyauliza.

Sasa hilo si jibu kwa mtu mwenye kusema unajibu hoja kwa hoja.

Tena nimesema pls lakini umeonyesha kutojali.

Sasa..Ni hivi...Wewe umesema Gire amabaye tayari sheria za nchi zilishavunjwa kwakuwa yeye alikuwa ni SOLE OWNER WA RICHMOND NA KWAMBA ALITOWA DOLARS KWASABABU YA KAMPENI YA JK NA MSABAHA!

Hizo pesa nani aliomba na kusema zinahitajika kwenye kampeni?

Hao hao waliochota pesa za EPA waliitumia fursa hiyo hiyo ili kutega watu!

Sasa Mwanakijiji wewe unaamini kuwa pesa za EPA hazikutosha na JK akaomba za ziada ili ziende kwenye kampeni?

Ushiriki wake kwenye michango ya kampeni ni UPI?

Na wewe ukakiri kuwa una ushahidi na ukadiriki kusema kuwa kama mtu anataka risiti aseme.

Sasa kama pesa za EPA nazo zilienda kwenye kampeni na si directly kwa JK..Then ni kivipi na hizo ziwe tofauti na za EPA?

Na kama ni kweli SHERIA ILISHAVUNJWA TOKA MWANZO KABISA NA HATA LOWASSA MWENYEWE KUUONA UBATILI WA KAMPUNI YENYEWE...KWANINI ALIUACHA UENDELEE?

Ama hujuwi kuwa wanamtandao ni wanamtandao na HAIJALISHI PESA SOURCE YAKE NI IPI?

Mazingira yanaonyesha kabisa kuwa hao wakina Lowassa ni MAFISADI WALIOFANYA UFISADI NA KUMSHAURI JK VIBAYA NA SASA WALIENDELEA NA MCHEZO ULE ULE WA KUTEGENA...KWANI MKAPA HANA MKONO?
 
Kidatu... ushahidi gani nimekuambia kina Gire wamechangia kampeni ya Kikwete na Msabaha, na kama mwezi Aprili 2005 ushahidi ulionekana wa kampeni ya Kikwete kupokea Shs. Bilioni 2 (dollar milioni 2) toka Omani. Unataka tuseme nini? tukuletee risiti? kama tunawazushia si wakanushe!
Na kwasababu umesema hivyo..Basi tunaomba risti za dola milioni mbili!

NB:Kwahiyo hapo pia inaonyesha madai yako ni kuwa hizo dola milioni mbili zilikuwa panga la JK NA MSABAHA!
VIPI KUHUSU PANGA LA ROSAMA NA LOWASA?
 
Sasa hilo si jibu kwa mtu mwenye kusema unajibu hoja kwa hoja.

Ukitoa hoja utajibiwa kwa hoja, ukiuliza swali ambalo wewe mwenyewe unaweza kulipatia jibu nitakusaidia kufanya hivyo kwani nikikupatia jibu moja kwa moja sitakuwa nimekusaidia. Ninapokuambia utafute jibu ni kwa sababu naamini kuwa ukichukua muda kidogo tu na wewe utalipata. Kwa sababu kama mimi nililipata nina uhakika na wewe ukiamua utaweza kulipata kwani ni public knowledge. Hivyo sitoi jibu si kwa sababu sitaki bali nataka nikuencourage utafute majibu.

Tena nimesema pls lakini umeonyesha kutojali.

the effect itakuwa ni ile ile, mimi kukupatia wewe jibu ambalo wewe mwenyewe unaweza pia kulipata.

Sasa..Ni hivi...Wewe umesema Gire amabaye tayari sheria za nchi zilishavunjwa kwakuwa yeye alikuwa ni SOLE OWNER WA RICHMOND NA KWAMBA ALITOWA DOLARS KWASABABU YA KAMPENI YA JK NA MSABAHA!

Hizo pesa nani aliomba na kusema zinahitajika kwenye kampeni?

Hao hao waliochota pesa za EPA waliitumia fursa hiyo hiyo ili kutega watu!

Sasa Mwanakijiji wewe unaamini kuwa pesa za EPA hazikutosha na JK akaomba za ziada ili ziende kwenye kampeni?

Ushiriki wake kwenye michango ya kampeni ni UPI?

Na wewe ukakiri kuwa una ushahidi na ukadiriki kusema kuwa kama mtu anataka risiti aseme.

Sasa kama pesa za EPA nazo zilienda kwenye kampeni na si directly kwa JK..Then ni kivipi na hizo ziwe tofauti na za EPA?

Na kama ni kweli SHERIA ILISHAVUNJWA TOKA MWANZO KABISA NA HATA LOWASSA MWENYEWE KUUONA UBATILI WA KAMPUNI YENYEWE...KWANINI ALIUACHA UENDELEE?

Ama hujuwi kuwa wanamtandao ni wanamtandao na HAIJALISHI PESA SOURCE YAKE NI IPI?

Mazingira yanaonyesha kabisa kuwa hao wakina Lowassa ni MAFISADI WALIOFANYA UFISADI NA KUMSHAURI JK VIBAYA NA SASA WALIENDELEA NA MCHEZO ULE ULE WA KUTEGENA...KWANI MKAPA HANA MKONO?

Haitoshi tu kuuliza maswali, take time to research the answers. Unauliza maswali sahihi wakati mwingine the only thing is you don't want to put time to find the answers.
 
Na kwasababu umesema hivyo..Basi tunaomba risti za dola milioni mbili!

NB:Kwahiyo hapo pia inaonyesha madai yako ni kuwa hizo dola milioni mbili zilikuwa panga la JK NA MSABAHA!
VIPI KUHUSU PANGA LA ROSAMA NA LOWASA?

jifunze kuangalia mtu amesema nini na uelewe mtu ameuliza nini. Nimesema nina risiti? angalia nilikuwa najibu nini kabla hujaanza kunikomalia nitoe risiti ya dola milioni mbili. Hivi ni vigumu sana kueleweeka?
 
Back
Top Bottom