Rostam, Msabaha, Kikwete and Richmond - Yes I said it again!

No. No. No. No !!! HOJA ZAKO NDIO ZINA AGENDA ZA SIRI NDANI YAKE.... MIMI BADO NAKUHESHIMU SANA.....

Kasheshe.. ndio nasema useme hiyo agenda ya siri... maana kutupa madongo tu haitoshi. Iseme na kama ni kweli nitaiconfirm maana naona unajua zaidi kuhusu agenda zangu.
 
KJ.. nilisema "I think".. na wewe ukauliza "how do you know"! you make it too easy its not even fun!


I'll take your 'I think' as it shows that you are not sure of what you are talking about. However, you seemed to be very certain in your previous statements, see this one below.

yes I said it! RDC inahusiana na Msabaha, Kikwete, Rostam na familia ya kina Gire ambao ni wachangiaji wa kampeni za uchaguzi CCM (2005). Kupewa kwa mradi wa bomba la mafuta 2005 na miezi michache baadaye mradi wa majenereta ilikuwa ni shukrani ya CCM kwa michango ya kina Gire katika kampeni za Msabaha na Kikwete na pia kama nafasi ya kuvuna walipopanda hasa baada ya JK alipoingia madarakani kumchukua Msabaha na kumuweka kuwa Waziri wa Nishati na Madini.

so, now you know.
 
I'll take your 'I think' as it shows that you are not sure of what you are talking about. However, you seemed to be very certain in your previous statements, see this one below.

yes... angalia maneno yangu KJ... don't read more than you need to...
 
That was then, This is Now..... But where are we now???, Too Close but yet Too far, Too Close But no Cigars....

Cant we collect all these pieces of puzzles and get a picture of someone going LUPANGO??
 
That was then, This is Now..... But where are we now???, Too Close but yet Too far, Too Close But no Cigars....

Cant we collect all these pieces of puzzles and get a picture of someone going LUPANGO??

unajua wakati mwingine ukirudi nyuma na kuangalia tuliyoyasema unaweza kujikuta unatamani kunyofoa nywele; kwani ni kama tunacheza mdumange, mbele hatwendi, nyuma haturudi tumebakia kunesanesa tu!!
 
Vibaraka wote wanaonufaika na RA hata kwa kula makombo mezani kwake ndio wanaomtetea fisadi mkubwa RA. Pamoja na jitihada zao hizo, siku zaja na zipo mlangoni ambapo fisadi hilo na vibaraka wake watakapokurupushwa hapa nchini na kuacha mali zao wazifaidi wananchi.
 
jamaa yupo kimya anatusikilizia kama tukilegeza anmlipa shem wake, ila kama tukikomaa sana basi mdosi itakula kwake, naomba watanzania tusikubali wizi huu, waking'ang'ania kulipana, tuingie barabarani tueleze ulimwengu kuwa tanzania tunaibiwa na viongozi wetu.
 
Kitila is a man!! Tutasema mpaka tutachoka mafisadi wa aina ya Rostam wako wengi hapa nchini, na hatutaweza kuwafanya lolote mpaka Kikwete aamua kufanya jambo.NAONA TATIZO NI RAIS TU HUYU NDIYO ABANWE MPAKA BASI, HAWA WENGINE, HATA ROSTAM AU EL N.K WAKIFUNGWA LEO NA BADO WAKABAKI WENGINE HATUJAFANYA KITU. NAONA KAMA INTELLECTUALS, TUANGALIE SOURCE-MZIZI WA TATIZO TATIZO NI KIKWETEE

Kalenge

Kikwete si ndio mhusika mkuu sasa atafanya nini licha ya kukaa kimya ili mambo yafe yenyewe? Lakini nakubaliana nawe, tumbane yeye na baada ya hapo wafuate wafisadi wanzake.
 
Back
Top Bottom