Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,307
mbona mwepesi kusahau? Kumbe huwa mnaropoka na kuyasahau hapo hapo.Mkutano wa lini alisema hivyo?
mbona mwepesi kusahau? Kumbe huwa mnaropoka na kuyasahau hapo hapo.Mkutano wa lini alisema hivyo?
wewe sio muwakilishi wa waisilamu wote bwana..na usitumie nafsi yako kuwakilisha mawazo ya waislam...waislam sasa hivi wengi wanaanza pata uelewa...usipotoshe uma pliz,Stay put
Riziwani Kikwete ule mkutano uloanzisha kule bagamoyo na ukasema rais hawezi kutoka kaskazini Maneno hayo yatakutokea puani unajua Kikwete akitoka madarakani wapambe wako wote hutawaona tena watakuwa na Rais Mwingine ambaye hata Kikwete atakuwa shocked.
Ndio maana yake!.Pasco Mkuu, mbona sikuelewi (sio hueleweki) - Juu kwenye red umesema kwa kisio lako bado miaka 50 mengine ya CCM kutawala, hapa chini unasema CCM imeshachokwa, unataka kusema kuwa CCM itaendelea kutawala hata baada ya kuchokwa kwa sababu ya kukamata mpini?
Hatujafikia hapo mkuu. Lazima tuhubiri siasa zisizo za visasi na tulenge kupata 'smooth transition' kutoka kwa JK kwenda kwa mwingine. Kama alitoa maoni yake ktk mwelekeo huo, heshimu kuwa ni maoni yake. Kubwa ni 'kumthibitishia kuwa inawezekana mkuu wa nchi akatoka kaskazini'. Context pia ni muhimu: kama wakati ule mgombea mwenye nguvu alikuwa akitokea Kaskazin, tuseme Slaa, kusema Rais mwaka huu hatoki kaskazin, naona ni sawa tu. Udhaifu ktk hoja yako ni kuwa sioni uhusiano wa haya mambo matatu: Riz kusema hayo, Usalama wa Taifa na baada ya muhula wa JK kumalizika,
Kumbe huyu dogo alisema kuwa raisi hawezi kutoka kaskazini sasa imekula kwake sijuiatajificha wapi, maana lazima atueleze fedha zoote hizo kazipata wapi???
Songoro
Acha kubagua na kudhalilisha waafrika wenzio huku ukijifaragua kwa dini za makombo?
99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho
mkuu umeshuka kwenye ile ndege nyeupe? teh teh teh!
haya bana, ila kauli zako zina utata sana aisee. au ndo kujihami kwenyewe huko na utawala mpya?
Mie nime'earmark' ntakachochukua kwa Riz'1' pale Kikwete's CCMitakapoondoka.Kama siasa zenyewe ndizo hizi za kutishiana, angalieni msije kuwaponza hao mnaowategemea kuchukua nchi 2015, wazee wa kazi wasije wakawapotezea into thin air kabla ya 2015!. Si niliwawekea hapa kisio la chini la utawala wa CCM kwa nchi hii ni miaka 100!, hansini iliyomalizi na sasa bado 50 mingine!. Kumbukeni hamwezi kugombea kisu, mwenzako ameshika kwenye mpini, kabla kisu hujakishika, unaana kumtishia atakiona cha mtema kuni!, unajua anaweza kukasirika na kuamua sio tuu kukushikisha kwenye makali, bali kukukata nacho!.
Hakuna ubishi Chadema ndicho chama chenye matumaini makubwa sana kwa sasa, lakini watakaokiponza Chadema, ni watu wenye mawazo kama haya!, mtanisamehe kusema watu wenye mawazo kama haya, hawana akili timamu japo sio lazima mpaka waokote makopo!, hawa ndio ma hate preachers ambao Chadema inapaswa kuwashughulikia kwanza wasije wakakitibulia ushindi laini wanao uotea!.
halafu huyu jamaa ana katatizo kakusahau aisee. anakawaida ya kukimbia kivuli chake.Mgosi umemuona ehe maana haeleweki !
Mkuu unaposema waislam wanaanza kupata uelewa hii ni dharau ingine mtu akikusahisha ndio ataonekana mdini mie napenda kukwambia tu waislam ni waelewa na wanajitambua...tukosoane kwa hoja sio kwa imani za dini zetu hakuna ambaye anayejua ni mbora mbele ya mungu...dharau na kejeli za kidini ndio zinatufanya tuwe mbali mbali hatuwezi kuwa pamoja kuibana serikali kwenye mambo yetu ya msingi na huu ndio mtaji mkubwa wa CCM kututawala.
Kuna kejeli humu JF zilikuwepo kipindi cha nyuma tunashukuru Invisible kwa kupambana kulikuwa na ID's kazi yao kuukejeli uslam na waislam halafu hizo hizo ID's unazikuta zinaitetea Chadema tumeitwa majina mengi sana mpaka mtu unapata hasira unatoa lugha chafu unaishia kupigwa ban...lakini inatia moyo hizo ID's nyingi zimepigwa life ban.
Tumia akili yako kubwa kutufafanulia chanzo cha uamsho kupigwa juzi wakati wakijiandaa kuwaombea dua walopata matatizo kwenye Mv skagit,tumia akili yako pevu kutujulisha kwa nini southern of Sahara haitulii wakati burundi,Rwanda,Congo wote wa dini yako?unajua mauaji ya Kimbari uratibu ulifanyika kwenye nyumba yako ya ibada mikakati ikifanywa na wale wanaokusamehe dhambi kutokana na uwezo wako wa kulima mazo ya Biashara ( rejea Baganda kingdom) elimu yako kubwa imekufanya ushindwe kutambua Role ya kanisa kulifikisha hapa bara la Afrika,Rejea Kitabu cha Walter Rodney ( how euro under developed Africa) ujue mchango wa Dini yako kulifikisha hapa bara la Afrika kiuchumi,kisiasa na kijamaa,unajua msingi wa kuletewa dini yako ni kupata fursa ya kukutawala na kukunyonya? Acha kubagua na kudhalilisha waafrika wenzio huku ukijifaragua kwa dini za makombo?
Acha kuleta mambo yako ya kujiona cdm ni chama cha wakristo tu umeanza kunitoa hata mimi kwenye cdm mana naona unaongea kama vile cdm ni chama cha kanisa waislam hawatakiwi, rekebisha lugha yako inaonekana we ni ccm umetumwa kututenga! kicha chako hakiko sawa.Mkuu Siera, nakuunga mkono kuwa unapotarajia kuomba kura, usiwe mbaguzi wa kumbagua mpiga kura yeyote, ila kwa vile pia sio Waislamu wote watapiga kura kwa misingi ya udini, wako wale waliochoshwa na hali ilivyo sasa hivyo watapigia kura mabadiliko ya kweli regardless ni dini gani!. "Kafiri akufaaye sii Islamu asiyekufaa"1, hivyo kama ni Chadema kushinda, itashinda tuu bila kura yoyote ya makuwadi wa udini!. Tuseme itokee makuwadi wote wa udini wakipigie CUF, watakaozigawana kura zao ni CCM na CUF tuu!, Chadema bado itashinda kwa ushindi laini na mwembamba lakini ni ushindi!. Kama ingepata na kura za Waislamu, then ingeshinda kwa ushindi wa kishindo!.
Hata ccm ikishindwa sio tatizo kwangu ninachojaribu kuonyesha hawa wafuasi wa CDM wasiwakashifu watu ambao nao ni wapiga kura hata Kama watu hatupigi kura kwa misingi ya dini au wewe unaona WAislam hata wasipo vote for CDM wa ka switch kwengine u think CDM watawin !?