Riziwani Kikwete pole sana

-Huyu dogo balaa, malori yake ya mizigo yanasimamiwa na DAVID MOSHA. Tunayajua yote. Freighliner 100 alizonunua marekani.

-Siku ya kihama mimi nitaenda kuchukua ile V8 anayotembelea. Tint
 
Hapo ndio anapotutatiza mkuu Pasco maana haeleweki yuko kundi gani !

Nadhani yuko kwenye kuwakilisha mawazo yake binafsi akisifia wote panapohitaji sifa na kukosoa panapohitaji kukosolewa
 
Kama siasa zenyewe ndizo hizi za kutishiana, angalieni msije kuwaponza hao mnaowategemea kuchukua nchi 2015, wazee wa kazi wasije wakawapotezea into thin air kabla ya 2015!. Si niliwawekea hapa kisio la chini la utawala wa CCM kwa nchi hii ni miaka 100!, hansini iliyomalizi na sasa bado 50 mingine!. Kumbukeni hamwezi kugombea kisu, mwenzako ameshika kwenye mpini, kabla kisu hujakishika, unaana kumtishia atakiona cha mtema kuni!, unajua anaweza kukasirika na kuamua sio tuu kukushikisha kwenye makali, bali kukukata nacho!.

Hakuna ubishi Chadema ndicho chama chenye matumaini makubwa sana kwa sasa, lakini watakaokiponza Chadema, ni watu wenye mawazo kama haya!, mtanisamehe kusema watu wenye mawazo kama haya, hawana akili timamu japo sio lazima mpaka waokote makopo!, hawa ndio ma hate preachers ambao Chadema inapaswa kuwashughulikia kwanza wasije wakakitibulia ushindi laini wanao uotea!.

Aisee leo ndo nimeprove kua Tanzania itaendelea kua Maskini kwa miaka 50 mingine

What is Development.?

Is the movement from one stage to another socially,economically,Politically nk

Hakutakua na maendeleo Nchini.... for 50years

CCM ilijisifia kua ni maendeleo ya Democracia kukubaliana na swaga la Vyama vingi leo hii una predict kua kuna miaka 50 mbele... hahahahahaha

From 1992 to 2012 ni miaka 20 ambayo CCM imeanza kupata sekeseke mie nawapa Decade moja tu CCM itaomba kubadili jina kwa Msajili wa Vyama mkuu.

Mkuu nilikua nakuheshimu sana ila Heshima yangu Imedrop Drastikali kwa kuwa na mawazo DHAIFU kiasi hicho.
 
Hivi wandugu hawa maraisi wengine waliopita hawakuwa/hawana watoto!!!!!!!??????????? Manake huyu riz1 too much now.... waswahili............mh!!
 
99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho

Hivi Una uhakika gani hiyo 2015 CCM hatagombea mkristo na Chadema kugombea muislam?

I'm just Curious!
 
Hatujafikia hapo mkuu. Lazima tuhubiri siasa zisizo za visasi na tulenge kupata 'smooth transition' kutoka kwa JK kwenda kwa mwingine. Kama alitoa maoni yake ktk mwelekeo huo, heshimu kuwa ni maoni yake. Kubwa ni 'kumthibitishia kuwa inawezekana mkuu wa nchi akatoka kaskazini'. Context pia ni muhimu: kama wakati ule mgombea mwenye nguvu alikuwa akitokea Kaskazin, tuseme Slaa, kusema Rais mwaka huu hatoki kaskazin, naona ni sawa tu. Udhaifu ktk hoja yako ni kuwa sioni uhusiano wa haya mambo matatu: Riz kusema hayo, Usalama wa Taifa na baada ya muhula wa JK kumalizika,

comment yako ni nzuri na umetoa busara nzuri
 
Hapo ndio anapotutatiza mkuu Pasco maana haeleweki yuko kundi gani !
Mani, hivi kila mtu ni lazima awe na kundi?. Mara ngapi nimesema humu jf kuwa sina chama!. Mimi nasimama kwenye ukweli!. Sio mshabiki wala mfuasi wa chama chochote ila ni mfuasi wa demokrasia ya kweli na ya haki!.
 
mkuu umeshuka kwenye ile ndege nyeupe? teh teh teh!
haya bana, ila kauli zako zina utata sana aisee. au ndo kujihami kwenyewe huko na utawala mpya?
 
Tumia akili yako kubwa kutufafanulia chanzo cha uamsho kupigwa juzi wakati wakijiandaa kuwaombea dua walopata matatizo kwenye Mv skagit,tumia akili yako pevu kutujulisha kwa nini southern of Sahara haitulii wakati burundi,Rwanda,Congo wote wa dini yako?unajua mauaji ya Kimbari uratibu ulifanyika kwenye nyumba yako ya ibada mikakati ikifanywa na wale wanaokusamehe dhambi kutokana na uwezo wako wa kulima mazo ya Biashara ( rejea Baganda kingdom) elimu yako kubwa imekufanya ushindwe kutambua Role ya kanisa kulifikisha hapa bara la Afrika,Rejea Kitabu cha Walter Rodney ( how euro under developed Africa) ujue mchango wa Dini yako kulifikisha hapa bara la Afrika kiuchumi,kisiasa na kijamaa,unajua msingi wa kuletewa dini yako ni kupata fursa ya kukutawala na kukunyonya? Acha kubagua na kudhalilisha waafrika wenzio huku ukijifaragua kwa dini za makombo?

Acha kua bias wewe uliyesoma ELIMU YA NGUMBARU,mbona hujazungumzia libya,egypt,syria,somalia na kwingineko kwingi mlioko waislamu watupu.
 
Riziwani mambo ya wakubwa hayo yatakusumbua kiongozi anatoka popote sio kusini au kaskazini au magharibi au mashariki wewe vipi?
 
Hivi Una uhakika gani hiyo 2015 CCM hatagombea mkristo na Chadema kugombea muislam?

I'm just Curious!
Nafikiri ujanielewa mimi sihitaji asimamishwe muislam Ndio nimpigie kura ninachozungumzia mimi mlengo wa pro CDM hapa JF wanavyowaona WAislam Kama useless flani ivi ...Kiasi hata CDM wasimamishe muislam hawataaminika
 
Sichagui mtukulingana nadini yake ingekua ivyo bs WAislam wote wangekua wanakipigia cuf maana kiliitwa chama cha kislam.lakini kwa CDM wafuasi wake Ndio wanawakimbiza WAislam kwakuwakashifu hapa JF Kama watu wasokua na maana katika jamii yawatanzania

Mkuu mmechonganishwa na wanaowatetea mafisadi humu wenye kujiita waislam,kwanza what's the difference btn cuf and ccm?Hata humu ndani ni ngumu kuwatofautisha,however kama ulivyosema hapo awali,kuwa hukuwa na shida miaka miwili iliyopita huko chuoni,hadi ulipoingia hapa jf na kukutana na wachangiaji wenye maneno ya kashfa kuhusu dini yako,basi pia ujuwe umeangalia upande mmoja na hujajuwa kuwa haya yote yameanza lini,sasa humu watu wanaitana nguruwe nk.

Fuatilia historia humu,kuna watu walijiunga lakini madhumuni yao naona yatakuwa yamefanikiwa kwa watu kama wewe kama ni kweli they've changed your heart,mara nyingi nilijiweka pembeni kwenye mijadala kama hiyo,however ikafikia pahala ikawa ngumu kupinga jambo la kiongozi mwenye dini flani,ule umoja uliokuwemo humu dhidi ya mafisadi mbele ya macho ya wengi wetu umeyeyuka kama barafu jangwani.Na sasa angalia hata hii thread,wenye kumtetea mtoto wa rais ni watu wa aina gani?na hoja tayari hapa zimebadilika na kuwa udini,ofcourse na ukanda,mambo ambayo yamekuwa yakishabikiwa na hao wenye kuwatetea mafisadi kwa misingi ya dini,naona wanafanikiwa,however kumbuka nchi inatafunwa.
 
Hata ccm ikishindwa sio tatizo kwangu ninachojaribu kuonyesha hawa wafuasi wa CDM wasiwakashifu watu ambao nao ni wapiga kura hata Kama watu hatupigi kura kwa misingi ya dini au wewe unaona WAislam hata wasipo vote for CDM wa ka switch kwengine u think CDM watawin !?

Iwe ni kwaajili ya kupata kura au katika maisha ya kawaida, ubaguzi wowote ule, hasa wa kidini ni fikra batili kabisa ambazo ziwezi kuzipatia neno linalofaa. Kama mtu anaungwa mkono au kutoungwa mkono, yote hayo ni vema yasifanywe katika misingi ya kidini.

Jambo jingine la tahadhari ni kuwa inabidi tuwe werevu. Maana isije ikawa vile vile ni mbinu ya watu fulani hapa JF, kuwasema vibaya waislam kwa lengo la kuitenga CHADEMA na waislam. Maana kauli nyingine zinazotelewa hapa JF, ni vigumu sana kufikiria kuwa zinatolewa na wafuasi wa CHADEMA wenye nia ya kupata kura ya kila Mtanzania.

Mimi nadhani, kati ya watu ambao walistahili kupigwa ban, tena ban ya muda mrefu ni wale wote wenye lugha za kudharau imani za watu wengine tofauti na za kwao. Ni jambo muhimu sana kwetu, kwa namna yoyote ile ya utofauti wa fikra za kisiasa, tofauti hizo zisitupeleke kwenye migawanyiko inayopalilia udini. Kila mara najiuliza, mkristo anayefuata imani yake inamhusu na kumdhuru vipi muislam? Au Muislam anayefuata mafundisho ya dini yake bila ya kumgusa mkristo au mpagani, inamdhuru nini mkristo? Shida inakuja pale watu wanapofikiria kuwa ni halali watu wote wafuate kile unachoamini wewe.
 
Nafikiri ujanielewa mimi sihitaji asimamishwe muislam Ndio nimpigie kura ninachozungumzia mimi mlengo wa pro CDM hapa JF wanavyowaona WAislam Kama useless flani ivi ...Kiasi hata CDM wasimamishe muislam hawataaminika

Usikubali mtu mpumbavu, anayeendekeza udini akubadilishi fikra kiasi kwamba na wewe ukaingia kwenye udini. Mwanamapinduzi wa kweli hupigana dhidi ya uovu bila kusalimu amri kirahisi hivyo.

Kama unaamini CHADEMA lilikuwa chaguo lako, na baadhi ya watu wakafanya jitihada ya kukuondoka katika chaguo lako, usinyong'onyee badala yake sasa ongeza nguvu ili ukuwaondoe wadini wote ndani ya CHADEMA.

Tusiwafanye waovu kuwa washindi, na sisi wenye hekima tukasalimu amri kwa wendawazimu wa kupalilia dini.
 
99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho

wewe sio muwakilishi wa waisilamu wote bwana..na usitumie nafsi yako kuwakilisha mawazo ya waislam...waislam sasa hivi wengi wanaanza pata uelewa...usipotoshe uma pliz,Stay put
 
Watu mnapenda kuendekeza udini!! Looh!! Mada yamhusu Riz1, lakini tayari mmeifanya kuwa issue ya ile dini ya haki na ya wengi! Haifai hiyo, acheni kuchanganya mambo!

99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho
 
wewe sio muwakilishi wa waisilamu wote bwana..na usitumie nafsi yako kuwakilisha mawazo ya waislam...waislam sasa hivi wengi wanaanza pata uelewa...usipotoshe uma pliz,Stay put

We unachekesha kweli alokwambia WAislam hawakua na uwelewa hapo kitambo nani!mimi sio muwakilishi wa WAislam lakini WAislam wote wenyeakili timamu wanaumizwa na pro CDM walioko humu kwa kuwakashifu na imani Yao kwaiyo wakitoka humu wanawaambia nawengine Kama Huna habari Ndio iyo nakwambia .waambie na pro CDM wezio waache kuwakashifu muslim wanapeana habari wakitoka humu JF hata wasoingia wanajua yanayoendelea hapa
 
Back
Top Bottom