Riziwani Kikwete pole sana

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
Riziwani Kikwete ule mkutano uloanzisha kule Bagamoyo na ukasema rais hawezi kutoka kaskazini Maneno hayo yatakutokea puani unajua Kikwete akitoka madarakani wapambe wako wote hutawaona tena watakuwa na Rais Mwingine ambaye hata Kikwete atakuwa shocked.
 
Ccm itoke madarakani?why, kuna nini hadi jambo kama hili litokee. Navojua CCM itatawala milele.
Call your enemy what you are, and always tell exacact opposite of the truth.
 
Hatujafikia hapo mkuu. Lazima tuhubiri siasa zisizo za visasi na tulenge kupata 'smooth transition' kutoka kwa JK kwenda kwa mwingine.

Kama alitoa maoni yake ktk mwelekeo huo, heshimu kuwa ni maoni yake. Kubwa ni 'kumthibitishia kuwa inawezekana mkuu wa nchi akatoka kaskazini'.

Context pia ni muhimu: kama wakati ule mgombea mwenye nguvu alikuwa akitokea Kaskazin, tuseme Slaa, kusema Rais mwaka huu hatoki kaskazin, naona ni sawa tu.

Udhaifu katika hoja yako ni kuwa sioni uhusiano wa haya mambo matatu: Riz kusema hayo, Usalama wa Taifa na baada ya muhula wa JK kumalizika,
 


Wakuu, labda mimi sijui kusoma, mtoa mada ni wapi amesema yeye anawakilisha mawazo ya CHADEMA?
Au ndiyo mnakuwa wale wale wa kuona kila anayekosoa mienendo ya serikali ya CCM, viongozi wake au watu walio karibu na serikali hiyo, ni CHADEMA??!!?

Yaani hii nchi imekuwa vituko sasa, mtu yeyote anayeikosoa serikali na viongozi wake, sasa ni CHADEMA!! Kazi ipo!
 
Kama siasa zenyewe ndizo hizi za kutishiana, angalieni msije kuwaponza hao mnaowategemea kuchukua nchi 2015, wazee wa kazi wasije wakawapotezea into thin air kabla ya 2015!. Si niliwawekea hapa kisio la chini la utawala wa CCM kwa nchi hii ni miaka 100!, hansini iliyomalizi na sasa bado 50 mingine!. Kumbukeni hamwezi kugombea kisu, mwenzako ameshika kwenye mpini, kabla kisu hujakishika, unaana kumtishia atakiona cha mtema kuni!, unajua anaweza kukasirika na kuamua sio tuu kukushikisha kwenye makali, bali kukukata nacho!.

Hakuna ubishi Chadema ndicho chama chenye matumaini makubwa sana kwa sasa, lakini watakaokiponza Chadema, ni watu wenye mawazo kama haya!, mtanisamehe kusema watu wenye mawazo kama haya, hawana akili timamu japo sio lazima mpaka waokote makopo!, hawa ndio ma hate preachers ambao Chadema inapaswa kuwashughulikia kwanza wasije wakakitibulia ushindi laini wanao uotea!.
 
kama siasa zenyewe ndizo hizi za kutishiana, angalieni msije kuwaponza hao mnaowategemea kuchukua nchi 2015, wazee wa kazi wasije wakawapotezea into thin air kabla ya 2015!. Si niliwawekea hapa kisio la chini la utawala wa ccm kwa nchi hii ni miaka 100!, hansini iliyomalizi na sasa bado 50 mingine!. Kumbukeni hamwezi kugombea kisu, mwenzako ameshika kwenye mpini, kabla kisu hujakishika, unaana kumtishia atakiona cha mtema kuni!, unajua anaweza kukasirika na kuamua sio tuu kukushikisha kwenye makali, bali kukukata nacho!.

Hakuna ubishi chadema ndicho chama chenye matumaini makubwa sana kwa sasa, lakini watakaokiponza chadema, ni watu wenye mawazo kama haya!, mtanisamehe kusema watu wenye mawazo kama haya, hawana akili timamu japo sio lazima mpaka waokote makopo!, hawa ndio ma hate preachers ambao chadema inapaswa kuwashughulikia kwanza wasije wakakitibulia ushindi laini wanao uotea!.

.
ndio wale wale lazima utawajua wakikutana
 
99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho
 
Ni hatari zaidi maofisini ambako kila anayelalamikia uozo na ubadhirifu anaonekana ni chadema.mimi nachoka kabisa jamani duuuh!utafikiri chadema ni wengi kuliko CCM! nahisi hata mwanaCCM akikosoa chama chake naye anaonekana chadema! inawezekana chadema kinapewa uwezo ambao hakina na hiyo itakuwa mtaji mzuri kwao kushinda 2015.
 
99% ya muslim they won't vote for cdm 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona waislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....i'm muslim and i'm proud 2 be muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu waislam ni wafuasi wa cdm so inaniwia vigumu kuelewa malengo yao ....wakati niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa cdm kama miaka miwili nyuma .baada ya kuijua jf nikawajua vizuri wafuasi wa cdm wana tapishwa na waislam nimepoteza hamnacho

: Bora ya ccm mafisadi kuliko chadema wadini
 
Hatuombei lakini maudhui ya uzi huu yana mantiki. Tuangalie historia na uzoefu wa nchi zingine.
 
99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho
Mkuu Siera, pole sana for you change of heart!, kwa vile hatupigi kura kwa misingi ya udini kwa vile hatutafuti Kadhi!, Kama CCM imechokwa, hata wewe na wenzio wote msipoipigia Chadema, bado ndio itakayopita!, unadhani wenzako ni wapiga kura?. CCM imeshachokwa kanda ya Kaskazini, kanda ya Ziwa dalili sio nzuri!, hizo kanda mbili tuu, zikii back Chadema, hata wote mliobakia muichague CCM, bado matokeo yatakuwa CCM Out!. Nakushauri boda jitayarishe kisaikolojia kukubali "the innevitable" mara tuu yatakapokuwa yale uliyodhani hayawi!.
 
mkuu siera, pole sana for you change of heart!, kwa vile hatupigi kura kwa misingi ya udini kwa vile hatutafuti kadhi!, kama ccm imechokwa, hata wewe na wenzio wote msipoipigia chadema, bado ndio itakayopita!, unadhani wenzako ni wapiga kura?. Ccm imeshachokwa kanda ya kaskazini, kanda ya ziwa dalili sio nzuri!, hizo kanda mbili tuu, zikii back chadema, hata wote mliobakia muichague ccm, bado matokeo yatakuwa ccm out!. Nakushauri boda jitayarishe kisaikolojia kukubali "the innevitable" mara tuu yatakapokuwa yale uliyodhani hayawi!.

pasco karibu anahamia chadema
 
Mkuu Siera, pole sana for you change of heart!, kwa vile hatupigi kura kwa misingi ya udini kwa vile hatutafuti Kadhi!, Kama CCM imechokwa, hata wewe na wenzio wote msipoipigia Chadema, bado ndio itakayopita!, unadhani wenzako ni wapiga kura?. CCM imeshachokwa kanda ya Kaskazini, kanda ya Ziwa dalili sio nzuri!, hizo kanda mbili tuu, zikii back Chadema, hata wote mliobakia muichague CCM, bado matokeo yatakuwa CCM Out!. Nakushauri boda jitayarishe kisaikolojia kukubali "the innevitable" mara tuu yatakapokuwa yale uliyodhani hayawi!.
Hata ccm ikishindwa sio tatizo kwangu ninachojaribu kuonyesha hawa wafuasi wa CDM wasiwakashifu watu ambao nao ni wapiga kura hata Kama watu hatupigi kura kwa misingi ya dini au wewe unaona WAislam hata wasipo vote for CDM wa ka switch kwengine u think CDM watawin !?
 
Umesikia cdm tumelalamika kuwa tumeibiwa? unawezaje kujua mambo ya nyumbani mwa jirani yako ili hali wao wenyewe hawajakuambia kama ulikuwa hujui kuwa wewe ni mno basi leo tambua hilo wanachadema hawajalalamika wewe ccm una lalamika au nawe ni Mwigulu Nchemba wa kuchovya kumsemea Mh. Selasini?

Nyie si misukule mtalalamika nini na mmeshakuwa brain washed.
 
Back
Top Bottom