Barua ya Wazi kwa Jakaya Kikwete: Hoja ya Kuchanganya Dini na Siasa

Ntasemakweli

Member
Aug 23, 2023
35
35
1. KIKWETE NI NANI

(I)KIONGOZI MAKINI NA MSATIMILIVU

Binafsi naamini kati ya viongozi walioacha alama iliyo tukuka mojawapo ni Dkt Jakaya Kikwete pamoja na sifa zake nyingi lakini ni miongoni mwa viongozi walio wahi kuthibitisha kuwa wasahimilivu sana katika kujenga hoja zao pale ambapo panakuwa na utatu wa maamuzi magumu. Dkt Kikwete aliwahi kuitwa Rais dhaifu, lakini hakuwahi kujibu neno . Aliwahi kudhihakiwa na kukebehiwa mara kadhaa lakini amekuwa ni mtu ambaye anakuwa focused kwenye lengo kuu katika kutatua au kusawazisha jambo husika.

Hapa namanisha kwamba Rais mstaafu huyu huwa hayumbishwi na mazingira ya nje pale ambapo anatafuta suluhu ya jambo lililo mbele yake.

Nikimnukuu meshimiwa Kikwete aliwahi kusema kwamba wakati mwingine anapokuwa anabezwa na kukejeliwa lakini cha kushangaza mwanae au wanae walimuuliza baba mbona huchukui hatua yoyote? Mhe Kikwete anasema Uraisi ni nafasi kubwa mno Ukiamua kuitumia vyovyote vile utaangamiza watu wengi. Pili alisema kuwa huwa anawaza hawa watu wana mama zao na jamaa zao nyuma yao wanaowategemea kwa hiyo wakati mwningine anaamua kukaa kimya sio kwamba hawezi kuwashughulikia ila anaamua kuacha kwa maslahi ya watu ambao maisha yao yanatemgemea kupitia kwa watu kama hao.

(II) KIONGOZI MZOEFU WA KUPATA MAJIBU NDANI YA CHANGAMTO KATIKA PANDE TOFAUTI

Kikwete ni baadhi ya viongozi waliopitia figisu nyingi mpaka anakuja kuwa Rais kuanzia alivyoteluliwa kuwa Mgombea Urais Mara ya kwanza.

Kikwete ni kiongozi mashuhuri ,mwenye uzoefu mkubwa sana naa siasa za kila aina na katika uigo mpana wa masuala ya kimataifa.

Kikwete amekuwa akitoa kauli za Mwisho ( game changer last card) katika mazingira tata. Wote tunakumbuka enzi za Kujiuzulu kwa Lowasa Uwaziri Mkuu. Tunakumbuka patashika nguo kuchanika wakati Marehemu Dkt. JPM anateuliwa kuwa Mgombea Urais, Mjdala wa Katiba pendekezwa ya tume ya Jaji Warioba na mengine mengi kama hayo. Ni bingwa hasa wa kuunganisha watu pale ambapo kuna kuwa na mipasuko au hali ya kutishia mipasuko.

Kwa uchache sana huo ni wasifu wa Dkt. Kikwete

2: CHANZO CHA VUGUVUGU LA MIJADALA YA UWEKEZAJI KATIKA BANDARI

Vuguvugu la uwekezaji Bandarini ni suala ambalo limekuja na limekuwa likikua na kuchukua sura mpya kulingana na jinsi mambo yanavoyendelea katika mijadala mbalimbali inayoendela au kusababishwa kuendelea nchini.

Kwa upande mmoja kutokupatikana na majibu ya kuridhisha kumepelekea jamii kuongezeka kusikiliza kelele hizi zinazoendelea kujua kulikoni. Kwa upande mwingine kuna picha ambayo inaaashiria kuna makundi ambayo wanajadili mkataba kwa hoja zake zilizo ndani ya Mkataba. Kuna wale ambao wanafunika hoja hizo kwa kutokuzijibu bali kuwafanya makundi yanayojadili hoja kwamba wanapinga uwekezaji.

Mijadala hii mingi imejikita katika mafungu mbalimbali ikiwa ni pamoja namafungu yanayojadili vufungu vya mkataba, makundi ambayo yanayojadili tija za mkataba, makundi ambayo yanajadili namna mkataba huu umepitishwa na serikali na Bunge na makundi na hata makundi yanayoutazama mkataba huu kwa jicho la Jamhuri ya Muungano.

Ni kwa kukosakana majibu ya kutosha ndio kumepelekea mijadala kuendelea kushika kasi na kwenda katika uelekeo ambao sasa ni hatari kwa afya mshikamano uliop ambao kwa kweli ni tunu iliyoletwa na wasaasis wa nchi hii wala si viongozi waliopo sasa ambao wanalinda tunu hii kiliyoojengwa miaka mingi.

3: MAKUNDI M BALIMBALI YANAYOSHIRIKI KATIKA MIJADALA HII YA BANDARI

Mijadala ya bandari imejadiliwa na serikali kwa kushirikisha na wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na Serikali yenyewe, Wataalaamu,Taasisi, Viongozi Mbalimbali Ikiwa ni Pamoja na Viongozi wa Dini, Wanasiasa, Bunge na hata wananchi walio kwenye mifumo Isiyo rasmi (Yaani Twtter Republic na mitandao mingine ya kijamii kama hiyo) na kupnauka mpaka kufikia kuingiza Mahakama katikakwenye mijadala hii kwa namna ilivyojitokeza

Mazingira yote haya ambapo jambo hili limekuwa likijadiliwa imeonyesha ni kwa namna gani watu wa nchi hii wanatakiwa kwanza kabisa kumshukuru Mh Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusus mazingira huru ya kuendesha mijadala hii katika angle zote hizo bila kukandamizwa wala kunyimwa uhuru wa watu kujieleza kwa uwazi.

Kwa maana nyingine mihimili yote mitatu ya dola imeingia moja kwa moja au kuingizwa kwenye mijadala hii kulingana na mazingira yanayoendelea. Pia ni dhahiri kama vyombo vya dola vingeingia mazima kwenye kudhibiti mijadala hii kwa kutumia nguvu kama ilviyozoeleka huko nyuma, ingeweza kupelekea mwagikaji damu usiokuwa na ulazima wala msingi. Lakini kutokuingia kwa dola kunaweza kulinda mshikamano?

4:HATARI YA MIJADALA NA UTATA UNAOJITOKEZA KUTISHIA MSHIKAMANO WA NCHI YETU.

Kwanza kabisa mheshimiwa Rais (Samia) anatkiwa kujua kabisa amani ya nchi yaivunjwi mabarabarani. Amani ya nchi inavunjikwa kwa hatua. Ni katika mlengo huo ukijaribu kuwasilliza hata waasis wetu hawajahwahi kuleta lughas za kulinda Amani mna mshikamano wetu kwa kutegemea labda nguvu ya Dolar badala ya hoja. Amani inaweza kuvunjika hatua kwa hatua. Cha kwanza ni kukosekana kwa msjikamano na kutokuaminiana, then kuanza kunyanyapaana (Kama alivyosema Kikwete). It a gradual change ambayo inaweza kuendelea hata kwa miaka 20. Au Zaidi. Ni kwa mtazamoa huo viongozi wetu wanaweza kuja na lugha zozote wakiamanini ili Mshikamano uvunjike itabidi watu waanze kufanya fujo au kuandamana barabarani ambapo watatumia dola (hiyo ni dhana potofu na ya kijinga kama wakifikiria kwa mtazamoa wa kijinga kiasi hicho) Amani haivunjikii barabarani inaanzia kwenye kunyayapaaana kinyume na misingi yetu ya katiba mwishowe kunatokea Makundi ambayo yatanufaika na huo unyaynyapaa na makundi mengine yatatengwa kutokana na huo unyanyanyapaa.

Kwa kuangalia mazingira tofauti tofauti ambayo yanajitokeza katika mijadala hii ni dhahiri pia kuna uwezekano wa uwepo wa hofu kadhaa ambazo kiuhalisia zimejificha au zimefichwa kwa kuzingatia ama kuwepo kwa nazingira fulani au kutokuwepo kwa mazingira fulani mathalani namna ya ushirikishwaji katika mijadala, uwazi wa wenye mamlaka, Muundo wa JMT na tamaduni zilizopo ndani yake.

Ni katika mazingira haya ya mijadala hii ambayo yamepelekea mambo mengi ambayo kimsingi yanaelekeza taifa kwenda katika uelekeo usio faa hata kama hawasemi ni dhahiri sasa kuna viashiria vya mpasuko kwa kuangali mwenendo wa mijadala na energy wanayokuwa wnaitoa wanaojadili huko katika maeneo mbalimbali. Hii inaonyesha kabisa dalili za kutishia mshikamano wa nchi yetu bila kujali kauli za mhe Rais kwamba hakuna wa kuvunja amani ya nchi hii wakati ni dhaihiri kabisa sasa watu wameanza kushambuliana kwa maneno kulingana na tamaduni zao na si hoja tena. Mpasuko si kitu cha physical. Ni kitu ambacho hakiwezi kushikika kwa mikono. Ni kujengeka kwa chuki na uhasama akilini na mioyoni kutoka katika makundi mbalimbali ndani ya nchi.

5: KIWKETE ANAINGIAJE HAPA?

(I) Je, Kikwete anaweza kuwakilisha Serikali au la?

Kwanza kabisa nipende watanzania wajue kabisa Rais Mstaafu ni mtu ambaye Serikali makini kwa namna yoyote wengependa kutumia busara zake na nasaha zake hasa katika kutatua au kulete ufumbuzi wa mambo mbalimbali magumu

Kimazingira ni ngumu kutenganisha Msimamo wa Kikwete kwa hoja zake za Kuchanganya dini na Siasa na Serikali kwa maana hata yeye mwenyewe alisha wahi kusema ikiwa Rais Samia atapata jambo la kumtuma amuite atakwenda, kama hatoitwa basi atakaa kijijini kwake Msogga. Kwa hiyo Popote Kikwete anapokwenda na kutoa mchango wowote wa mawazo au maoni sisi tulio nje hatuwezi moja kwa moja kutenganisha kama ameenda kwa nafasi yake binafsi au katumwa na Rais aliye madarakani Mhe Samia.

(II) Kuingia kwa hoja ya kikwete katika kutengeneza mazingira ambayo yanaweza kutishia mshikamano ya nchi
Kuna makundi ambayo yaliwasilisha hoja zao baada ya kushirikshwa na serikali jambo ambalo kila mtu analikubali kwamba liko sawa
Kutokana na mzingira tajwa hapo juu (kipengele namba 5) makundi ambayo hayaridhika na namna maoni yao yalivyopokelewa au kutokupewa majibu
Ni katika mazingira haya ambayo mijadala imekuwa imejikita katika kujadili hoja kulingana na kipengele namba 3 ambapo tunaona Mhe. Kikwete anavamia ulingo na kusema kwamba Watu wasichanganye Dini na Siasa kwa maana pana kwambanwalio katika dini wafanye Dini, na walio katika siasa wafanye siasa.

Dini ni Jukwaa la watu wenye Imani moja katika jujadili mambo yaliyo katika imani yao
Siasa ni Jukwaa ambalo watu walio katika jamii moja hutumia jukwaa hilo la Kisiasa katika kujadili mambo yao ya Kisiasa na kijamii
Sasa watu walio katika siasa ndio hao hao walio katika jamii ambamo ndani yake kuna wenye dini na walio na dini ya kutokuwa na dini
Ni kwa mtazamo huo serikali yetu sikivu imekuwa ikifanya kazi zake kwa karibu kabisa na kwa ushirikiano na taasisi za kidini na kisiasa katika kujenga mustakabiri wa taifa letu lenye amani utulivu na upendo bila kujali dini na wala kabila.

Kwa kuyaangalia yote haya ni dhahiri kabisa Dini na Siasa haziwezi kutenganishwa na zimekuwa katika kutekeleza majukumu yake kwa mtazamo huo.

(iii) Masawali ya Kujiuliza kuhusu Dhana ya Mhe. Kikwete ya kutenganisha dini na Siasa
  1. Je Hakujua kuwa mazingira ya chi hii, Dini na Siasa zimekuwa zikifanya kazi pamoja na serkali katika kushauriana, kurekebishana na kukosoana?
  2. Ikiwa anajua hivyo hapo (1)Je Swali lake lilimaanisha nini (au limebeba ujumbe gani) kwa kusema watu wasichanganye dini na Siasa
  3. Je alileta hoja hizi kwa nafasi yake binafsi au alitumwa na Mhe Rais Samia kipengele 5 (i)
  4. Kwa mtazamo wa swali 1 & 2 ikiwa ni kinyume chake, je Kikwete anajiondoaje kwenye utata unaojitokeza katika kipengele na 4 kuhusu kuanza kwa mijadala ya chuki kulingana na makundi mbalimbali
  5. Je Kikwete anajiondoaje kuhusu kuleta ombwe la kuhamisha mijadala kutoka kwenye kujadili hoja za mkataba kuhamia kwenye Udini kama invyoendelea sasa?
  6. Je ameona namna pekee ya kumsaidia Mhe. Samia kama ambavyo amekuwa akijinasibu ni kupanda mbegu ya Udini na chuki?

6. UJUMBE KWA MHE KIKWETE
  • Kikwete ni Kiongozi mazoefu, ambaye kwa uzoefu wake si rahisi mtu kuweza kuamini kwamba anaweza kuteleza ulimi kwa mambo nyeti na delicate kama mambo yanayoweza kupelekea uvunjifu wa mshikamano wa nchi yetu. Na kama hakuteleza je anajitengaje na mjijadala ya mtazamo wa kidini na chuki iliyoibuka punde tu alipotoa kauli yake yenye utata na kukinzani kwauelekeo wa mjadala wa bandari.
  • Kwa kugongana kwa hoja yake na maswali yaliyoulizwa inaweza kutufikirisha kwamba huenda Kikwete alikuwa na nia ovu ya kuingiza kwa maksudi mjadala wa Udini kwa kujidai anapinga udini jambo ambalo ni hatari, baya kabisa, bovu kuwahi kutendwa na viongozi wa nchi hii.
  • Suala sasa ni kwa nini watu wanachukia kundi fulani kwa nini wanachukia waarabu hoja za mkataba zimetupwa kando mbele ya macho yetu.
  • Kwa level ya mtu kama huyu (Kikwete) ambaye tulimuamini tukampa dhamana ya kuongoza nchi yetu miaka kumi leo anatengeneza mazingira tata na kupanda chuki ya waziwazi amabayo yanaweza kutumbukiza taifa letu katika matatizo makubwa mno, taifa ambalo limeasisiwa na kujengwa na viongozi makini, wazalendo wakubwa ambao kwa voyvote vile wasingejenga hoja katika uelekeo huu wa hatari kiasi hiki

MHe. KIKWETE
KWA HILI, HISTORIA HAITAKUSAHAU KAMWE, YOU HAVE SOILED YOUR LEGACY

Pia, soma
 
20230821_133253.jpg
 
Ulichoandika hakisomeki!
Ulichoandika wala hakieleweki!
Ulichoandika hakionyeshi taswira wala ni nini hasa ulichokilenga baina ya kumsifia Kikwete au kumuonya?

Kwa taarifa yako ...Kikwete ndie ring leader wa hii skendo!

Kikwete hajawahi kuwa kiongozi msafi kamwe!

Kuanzia kuingia Madarakani kwa mizengwe mpaka kutoka kwa ugomvi na Swahiba wake Lowassa!

Kikwete ndie chanzo cha ufisadi wa nchi hii ....

Full Stop!
 
Ujinga mtupu, kama kakutuma mwambie hafai
 
Nimejaribu kusoma Uzi wote, na wewe ukisoma utafuta hii comment!
Na huu ni mfano halisi ya wanapinga mkono mkataba meanwhile hawajausoma kama wanaoupinga bila ya kuusoma hawatafanana na wanaoukosoa na kutoa mapendekezo baada ya kuusoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom