Riziwani Kikwete pole sana

Ilimradi alizungumza kwenye mkutano wa chama na Mukama hakukanusha nadhani alikuwa sahihi.Je,kwa kauli hiyo hakuna siasa za ubaguzi wa kikanda ndani ya ccm?
 
tatizo lenu elimu ndogo kila jambo linalofanyika mnaota kubaguliwa na kuonewa angalia zbr watu wako katikakati ya msiba mnaanzisha vurugu mnataka wafe wangapi zaidi tofauti na waliokufa melini? Na zbr ni nyie watupu somalia nako ni nyie watupu lakini hapakaliki au nako wako chadema wako? Fikiria vizuri imani yako kama uko njia sahihi au uko kwenye njia ya kuleta matatizo kwa jamii na dunia nzima

Tumia akili yako kubwa kutufafanulia chanzo cha uamsho kupigwa juzi wakati wakijiandaa kuwaombea dua walopata matatizo kwenye Mv skagit,tumia akili yako pevu kutujulisha kwa nini southern of Sahara haitulii wakati burundi,Rwanda,Congo wote wa dini yako?unajua mauaji ya Kimbari uratibu ulifanyika kwenye nyumba yako ya ibada mikakati ikifanywa na wale wanaokusamehe dhambi kutokana na uwezo wako wa kulima mazo ya Biashara ( rejea Baganda kingdom) elimu yako kubwa imekufanya ushindwe kutambua Role ya kanisa kulifikisha hapa bara la Afrika,Rejea Kitabu cha Walter Rodney ( how euro under developed Africa) ujue mchango wa Dini yako kulifikisha hapa bara la Afrika kiuchumi,kisiasa na kijamaa,unajua msingi wa kuletewa dini yako ni kupata fursa ya kukutawala na kukunyonya? Acha kubagua na kudhalilisha waafrika wenzio huku ukijifaragua kwa dini za makombo?
 
Kweli process ya evolution bado haijafika mwisho. Hii thread ni mfano wa jinsi evolution inavyoendelea!!! Evolution of JF minds! Again, I miss the pre-2010 JF...
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Inawezekana mleta mada ni mwana-CCM, na pia akawa muislam? Hivi unaamini tatizo la CCM ni CHADEMA?
 
Kweli process ya evolution bado haijafika mwisho. Hii thread ni mfano wa jinsi evolution inavyoendelea!!! Evolution of JF minds! Again, I miss the pre-2010 JF...

Kiongozi, mijadala imekuwa vuluvulu, hakuna mpangilio kabisa. Inasikitisha.
 
99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho
Kwani wewe ni msemaji wa waislam hapa nchini? Mbona wao kwa wao huwa hakubaliani hata katika mambo yao ya msingi, iweje wewe uje uwasemee hapa?
 
Riziwani Kikwete ule mkutano uloanzisha kule bagamoyo na ukasema rais hawezi kutoka kaskazini Maneno hayo yatakutokea puani unajua Kikwete akitoka madarakani wapambe wako wote hutawaona tena watakuwa na Rais Mwingine ambaye hata Kikwete atakuwa shocked.
Kumbe huyu dogo alisema kuwa raisi hawezi kutoka kaskazini sasa imekula kwake sijuiatajificha wapi, maana lazima atueleze fedha zoote hizo kazipata wapi???

99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho

Mkuu Siera naona umeingia kwenye mtego wa CCM wa kueneza propaganda zao za udini dhidi ya Chadema. Watu wanaoanzisha thread za kuwaponada Waislamu hapa jamvini ni kikundi maalumu hapo Lumumba ambao hawana kazi nyingine zaidi kUtunga nyuzi hizi, watu hawa wengine ni Waislamu pia na wanafanya hivyo kwa malengo ya kisiasa kuigombanisha Chadema na Waislamu na wewe umekuwa mhanga wa kampeni hizi chafu. Unajua haingii akilini kwa chama ambacho kina tafuta kuungwa mkono na umma wa watanzania ili kipate ridhaa ya kushika dola halafu kianze kuawatusi wapigakura wake ni uongo uliotukuka, huu ni sawa na ule uzushi wa meseji feki zinazodaiwa kuandikwa na Mnyika kumtishia maisha Mwigulu, haingii akilini kabisa kwa Mnyika kutumia simu yake ambayo namba yake imesajiliwa kutuma meseji za kutishia kuua, ni taahira tu anayeweza kuamini upuuzi huu, lakini cha ajabu AG anashabikia ujinga huu.Mkakati huu wa kijinga kabisa kuwekeza kutunga uzushi kwenye mitandao hauna faida kubwa zaidi ya kuwanaSa watu wachche wenye ushabiki wa kidini, kwanza ni watanzania wachache wana fursa ya kuingia kwenye hii mitandao, ndiyo maana Chadema hawahangaiki sana na huu uzushi sana sana wao wamewekeza kuwafuata wapiga kura huko huko waliko na kuwapa elimu ya uraia jAmbo ambalo CCM kwa sasa wanashindwa kulifanya baada ya kuchokwa na wapiga kura.
 
Hata ccm ikishindwa sio tatizo kwangu ninachojaribu kuonyesha hawa wafuasi wa CDM wasiwakashifu watu ambao nao ni wapiga kura hata Kama watu hatupigi kura kwa misingi ya dini au wewe unaona WAislam hata wasipo vote for CDM wa ka switch kwengine u think CDM watawin !?
Mkuu Siera, nakuunga mkono kuwa unapotarajia kuomba kura, usiwe mbaguzi wa kumbagua mpiga kura yeyote, ila kwa vile pia sio Waislamu wote watapiga kura kwa misingi ya udini, wako wale waliochoshwa na hali ilivyo sasa hivyo watapigia kura mabadiliko ya kweli regardless ni dini gani!. "Kafiri akufaaye sii Islamu asiyekufaa"1, hivyo kama ni Chadema kushinda, itashinda tuu bila kura yoyote ya makuwadi wa udini!. Tuseme itokee makuwadi wote wa udini wakipigie CUF, watakaozigawana kura zao ni CCM na CUF tuu!, Chadema bado itashinda kwa ushindi laini na mwembamba lakini ni ushindi!. Kama ingepata na kura za Waislamu, then ingeshinda kwa ushindi wa kishindo!.
 
  • Thanks
Reactions: CAY
99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho

Kwa hiyo unataka kutuambia CCM watasimamisha mwislamu?Na wakisimamisha mkritu je?Ushauri wa bure,chagua mtu kulingana na sera zake ,siyo kuangalia udini!
 
Si niliwawekea hapa kisio la chini la utawala wa CCM kwa nchi hii ni miaka 100!, hansini iliyomalizi na sasa bado 50 mingine!.

CCM imeshachokwa kanda ya Kaskazini, kanda ya Ziwa dalili sio nzuri!, hizo kanda mbili tuu, zikii back Chadema, hata wote mliobakia muichague CCM, bado matokeo yatakuwa CCM Out!.
Pasco Mkuu, mbona sikuelewi (sio hueleweki) - Juu kwenye red umesema kwa kisio lako bado miaka 50 mengine ya CCM kutawala, hapa chini unasema CCM imeshachokwa, unataka kusema kuwa CCM itaendelea kutawala hata baada ya kuchokwa kwa sababu ya kukamata mpini?

Pengine nimefanya haraka kuchangia bila ya kufanya utafiti.
Mleta mada (@mjaka Join Date; 4th July) baada ya kumwaga
sumu yake, hakuingia tenga. Kumbe ni walewale wenye kapu la IDs
 
Riziwani Kikwete ule mkutano uloanzisha kule bagamoyo na ukasema rais hawezi kutoka kaskazini Maneno hayo yatakutokea puani unajua Kikwete akitoka madarakani wapambe wako wote hutawaona tena watakuwa na Rais Mwingine ambaye hata Kikwete atakuwa shocked.

tafadhali tumia kichwa kufikiri sio kuhifadhi nywele
 
Kwa hiyo unataka kutuambia CCM watasimamisha mwislamu?Na wakisimamisha mkritu je?Ushauri wa bure,chagua mtu kulingana na sera zake ,siyo kuangalia udini!

Sichagui mtukulingana nadini yake ingekua ivyo bs WAislam wote wangekua wanakipigia cuf maana kiliitwa chama cha kislam.lakini kwa CDM wafuasi wake Ndio wanawakimbiza WAislam kwakuwakashifu hapa JF Kama watu wasokua na maana katika jamii yawatanzania
 
Hatujafikia hapo mkuu. Lazima tuhubiri siasa zisizo za visasi na tulenge kupata 'smooth transition' kutoka kwa JK kwenda kwa mwingine. Kama alitoa maoni yake ktk mwelekeo huo, heshimu kuwa ni maoni yake. Kubwa ni 'kumthibitishia kuwa inawezekana mkuu wa nchi akatoka kaskazini'. Context pia ni muhimu: kama wakati ule mgombea mwenye nguvu alikuwa akitokea Kaskazin, tuseme Slaa, kusema Rais mwaka huu hatoki kaskazin, naona ni sawa tu. Udhaifu ktk hoja yako ni kuwa sioni uhusiano wa haya mambo matatu: Riz kusema hayo, Usalama wa Taifa na baada ya muhula wa JK kumalizika,

Tutafikia hapo lini?
 
99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho
Umefanya sampling correctly brother? Je maswali ya utafiti? Umetumia muda gani kuhoji watu? Je ni survey, case study, ethnographic study au ni??
 
Pasco Mkuu, mbona sikuelewi (sio hueleweki) - Juu kwenye red umesema kwa kisio lako bado miaka 50 mengine ya CCM kutawala, hapa chini unasema CCM imeshachokwa, unataka kusema kuwa CCM itaendelea kutawala hata baada ya kuchokwa kwa sababu ya kukamata mpini?

Pengine nimefanya haraka kuchangia bila ya kufanya utafiti.
Mleta mada (@mjaka Join Date; 4th July) baada ya kumwaga
sumu yake, hakuingia tenga. Kumbe ni walewale wenye kapu la IDs

Hapo ndio anapotutatiza mkuu Pasco maana haeleweki yuko kundi gani !
 
Kuna baadhi ya Pro-Chadema JF sio watu makini ni wa kuwasamehe mungu kawapa vichwa kwa ajili ya kufikiri wao wanafugia nywele...
 
Back
Top Bottom