Tusikushangae wewe uliyeko Maternity Ward na hutoki tangu 8th March 2008!!!
pole zake mtenda akitendewa huisi kaonewa.......sipati picha hiyo nyumba itakuwa katika hali gani baada ya huyo mama kupona......baba asiporudi siku 2 na mama naye anaishia zake kwa siku 2 watoto wanabaki na mdada daaahhh
Hata mimi namshangaaga Asprin, huko maternity ward sijui huwa anafanya nini kila siku. Nakwakuwa Asprin yuko hapo hosp maternity ward, mi naomba atoke aende kwenye ward ya mgonjwa wetu atupe data kama amezinduka au la! Manake hadi Dena aje aende jioni ni mbali sana aise
Sioni kama wataendelea tena kweli??? Sijui nitaleta update.............
hata mie naona itakuwa ngumu.........vinginevyo wakae wazungumze na kukubali kusameheana na kuamua kujenga familia yao kitu ambacho ni kigumu kwa sie binadamu.....tutasubiri kuona kitakachojiri
Ndo matatizo haya ya kuotafuta mchumba kwenye madanguropole zake mtenda akitendewa huisi kaonewa.......sipati picha hiyo nyumba itakuwa katika hali gani baada ya huyo mama kupona......baba asiporudi siku 2 na mama naye anaishia zake kwa siku 2 watoto wanabaki na mdada daaahhh
Jamaa amemmimbisha mara ngapi huyo mwanamke?Na kweli Ram maana hali ni tete
Usikute nae wakusingiziwa magume gume bana hayafai kuitwa binadamuMara moja..............
Ndio sasa sijui akitoka hospital itakuwaje maana alionyesha kuchanganyikiwa kabisa...............mpaka kwenda kushitaki kwa Chief sio mchezo...................
Sio lazima ubebe laptop Asprin Ipad zinafanyakazi 24/7 mbona waniangusha tumeondoka around 0612am ameamka lakini hajapata nguvu sana