Revenge Inauma Usipime...!

Hahahahaha................!!
Yaani hapo akizinduka akiuliza ilikuaje? kuna nini? unamsimulia tena kila kitu ili zimie tena hahahaha.................!!
Akizinduka tu unamuambia....mpo wawili teh teh teh anazimia.......
...........!!1

Kimbweka mubaya wewe...............
 
DA mnaishi wapi huko kuna chief taking care of the people's personal affairs, lol
Mie mtu akifanyiwa revenge huwa nachekelea. Mpe pole yangu huyo mama. Sasa ndo atahangaika na moyo wa jamaa ushatulia.

yaani mie hapo kwa mwanamke kulala nje ya nyumba yake bila maelezo/taarifa kwa mume wake ndipo paliponishangaza,huyo mwanaume kama ni uvumilivu wake umepitiliza kikomo, haiwezekani aisee.nimekumic my dearest..mzima wewe?
 
Nakwambia ni balaa tupu si unajua nyumba ziko karibu karibu?? Hiyo bluu hiyo sijui umepotelea wapi aisee
 
Hahahaaaa! Mke alitishia Kujamba!!!! Mume kaamua Kuharisha kabisaaaa! LOL! Zombiiii limejikomboa!!!!!
 
Mwanamke anapokuwa ndiye kajulikana ameanza kucheat, in most cases reactions za mwanaume zinasababisha ndoa inaishia pabaya. Tumuombe Mungu aendelee kuwajalia wake zetu moyo wa uvumilivu, ili wasireact hivyo pale wanapogundua waume zao tumecheat...
 
yaani mie hapo kwa mwanamke kulala nje ya nyumba yake bila maelezo/taarifa kwa mume wake ndipo paliponishangaza,huyo mwanaume kama ni uvumilivu wake umepitiliza kikomo, haiwezekani aisee.nimekumic my dearest..mzima wewe?
Tabia hizi nimeziona sana kwa wanawake wenye fedha/kipato kikubwa kuliko mwanaume mambo yote ya nyumbani anamaliza mwanamke hivyo basi mwanamke anaonekana kichwa cha familia anamkalia juu mwanaume anabaki kuwa mwoga ananywea anakuwa ***** kabisa zezeta
 
Mwanamke anapokuwa ndiye kajulikana ameanza kucheat, in most cases reactions za mwanaume zinasababisha ndoa inaishia pabaya. Tumuombe Mungu aendelee kuwajalia wake zetu moyo wa uvumilivu, ili wasireact hivyo pale wanapogundua waume zao tumecheat...

I agree with you 100%
 
Mwanamke mwema hujenga nyumba yake na mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Tabia hizi nimeziona sana kwa wanawake wenye fedha/kipato kikubwa kuliko mwanaume mambo yote ya nyumbani anamaliza mwanamke hivyo basi mwanamke anaonekana kichwa cha familia anamkalia juu mwanaume anabaki kuwa mwoga ananywea anakuwa ***** kabisa zezeta

Huyu hana pesa yoyote ile basi tu umalaya wake utarudije asubuhi kwa mumeo?? Huoni haya
 
Back
Top Bottom