Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
yaani mie hapo kwa mwanamke kulala nje ya nyumba yake bila maelezo/taarifa kwa mume wake ndipo paliponishangaza,huyo mwanaume kama ni uvumilivu wake umepitiliza kikomo, haiwezekani aisee.nimekumic my dearest..mzima wewe?
Ngoja tusubiri ila huu ugomvi ni wa muda kidogo sio wa leo
Usikute nae wakusingiziwa magume gume bana hayafai kuitwa binadamu
Ndugu zangu hapa kuna tatizo kubwa sana...Huyo mama alishajua kuwa anaishi na mwanamke mwenzake na ndiyo maana alifikia hatua ya kufanya hayo mambo ya hovyo!
Na pia kitendo cha huyo mtu anayeitwa mwanamume kutochukua hatua kinatia shaka zaidi...Eti limeishia kulia lia....kwani ni toto dogo kwamba likilia baba yake atakuja kuwachapa waliomchokoza?? HEBU ONA UJINGA WAKE HAPA....
Mie naamini huyo siyo mwanamue...na niko tayari jamaa akafanyiwe test inayoitwa karyotyping ili muone ukweli kuwa amebeba XX chromosomes badala ya XY tulizobeba wenzake!!
Babu DC!!