Revenge Inauma Usipime...!

sina hakika kama kajifunza kitu huyo mama.

nafikiri haumizwi na ukweli kwamba matendo yake ni maovu bali anaumizwa na habari ya mumewe kuleta mwanamke mwingine.
 
Mtaani kwangu yuko mama alikuwa kama huyo baada ya mzee kupata mdada anaeweza fanya kazi vizuri mama katolewa ndani kichwa kimevurugika anashinda anasali anaimba ovyo barabarani kama chizi, waliokuwa wanamsifu hawamtaki tena basi taabu
 
Updates..............

Nimepita Hospital Mama anaongea lakini kila akikumbuka BP inapanda amewekwa mapumziko

Note: Mzee amekwenda akamfukuza eti hataki akamuone sababu yeye ndo amemsababishia ugonjwa

Kama amemfukuza basi huyo mumewe kama ana akili nzuri aende kwa nyumba ndogo moja kwa moja, ahamie kabisa.
 
Kama amemfukuza basi huyo mumewe kama ana akili nzuri aende kwa nyumba ndogo moja kwa moja, ahamie kabisa.

Kaka, hilo jambo la small house halina msaada kwa mume ambao ni sustainable...

Angemtibia kwanza huyu mwanamke ili wamalizane, na baada ya hapo ikiwezekana avute kitu mupya....Kuendelea na double titles atakuwa kama wakulu wa CCM...It will not help at all!!

Babu DC!!
 
Naona Mama kajua hakuna kitakachoendelea ngoja atoke hosipitali tutajua hatma yake
 
ishia hapo hapo kakangu!
ndoa yangu ikifail haina maana yako itafail pia!
tengeneza ndoa yako jinsi unavyotaka iwe,ishi maisha yako ukiamini ndoa yako ni ya ushindi,makosa na udhaifu wa watu wengine si wako!
wewe ndiye unaamua uwe na ndoa ya aina gani
usijifunze kwa walioshindwa jifunze kwa walio shinda!
NDOA YAKO NI YA PEKEE! ipe thamani ya upekee huo!
uwe na amani na mkeo!furahia ndoa yako sasa na hata milele!
pokea changamoto za kindoa katika upekee wake sio kwa reference ya maisha ya watu!

yeh 100% true yani, no more to add............:ranger:
 
Aisee the thought of revenge is usually sweet.

Lkn wanasema pia what goes around comes around ...if its a circle!
 
mnaopiga kelele ya mwanaume kulia acheni jamani utamu wa mke anaujua MUME wacha hawara akimtumia hata ajui tena anaenda wapi ...loh
 
Back
Top Bottom