Revenge Inauma Usipime...!

huwezi juq thamani yq ulichonacho mpaka ukipoteze....mpe pole huyo mwanamke, ila dah na nyie majirani wapana mpaka mnajuamambo ya nyumba za wenzenu....
 
huwezi juq thamani yq ulichonacho mpaka ukipoteze....mpe pole huyo mwanamke, ila dah na nyie majirani wapana mpaka mnajuamambo ya nyumba za wenzenu....

Kuna vitu vingine havifichiki BT sasa wewe umeamka uko nje unafua unamwona jirani yako ndo anarudi asubuhi anaingia bafuni kuoga na kutoka tena utaficha macho eti usione....................Na unakuta Baba wa watu hana mtu wa kumsaidia mtoto mgonjwa anakuja kukuamsha umsaidie wewe na mumeo hapo tena kuna haja ya kuuliza???
 
kuna wanawake wamekosa adabu kwenye ndoa zao jamani ...wewe acha tu
siku mbili analala nje analala wapi?
na huyo mwanaume ana moyo jamani
k imekwidwa siku mbili huko nje ikirudi bado anaililia?
kuna wanaume wavumilivu jamani!
 
kuna wanawake wamekosa adabu kwenye ndoa zao jamani ...wewe acha tu
siku mbili analala nje analala wapi?
na huyo mwanaume ana moyo jamani
k imekwidwa siku mbili huko nje ikirudi bado anaililia?
kuna wanaume wavumilivu jamani!

Hapo sasa unalala nje halafu asubuhi unarudi mimacho mikavuuuu hata haya hana
 
Enzi za lyatonga, alikua anatoa siku saba kama mke akienda kulalamika kwake....cheza na kiraracha.....


DA mnaishi wapi huko kuna chief taking care of the people's personal affairs, lol
Mie mtu akifanyiwa revenge huwa nachekelea. Mpe pole yangu huyo mama. Sasa ndo atahangaika na moyo wa jamaa ushatulia.
 
Keshapata wa kumtoa uzuzu sasa, mama analo hilo, ndo keshaambiwa wako wawili, mbona atazimia sana mwaka huu

Hahahahaha................!!
Yaani hapo akizinduka akiuliza ilikuaje? kuna nini? unamsimulia tena kila kitu ili zimie tena hahahaha.................!!
Akizinduka tu unamuambia....mpo wawili teh teh teh anazimia..................!!1
 
Back
Top Bottom