Rais Magufuli: Suluhu ya Zanzibar ni Uchaguzi wa marudio

Mwingine kaandika Pumba eti sasa ikiundwa tume huru halafu Jecha nd'o mwenyekiti inakuwaje?

Hivi mtu unapoambiwa tume huru, unaelewa nini au unapoambiwa neno "huru" unaelewa nini?

Maoni yangu viongozi wa CUF wakubali kurudia uchaguzi kwa kuundwa tume huru ili wathibitishe ushindi wao katika sanduku la kura. Hii ndio njia pekee kwa CUF kudhibitisha ushindi wao na kuwaumbua CCM. Sioni sababu kwa CUF kuogopa kurudia uchaguzi kama wanajua walishinda uchaguzi bila uwepo wa tume huru, sasa chini ya tume huru kinachowafanya waogope ni kitu gani?
Njia rahisi ya kuprove walishinda uchaguzi ni kumalizia kutangazwa matokeo. Hiyo haina gharama na ndiyo njia halali. Hiyo ya kuprove kwa kurudia uchaguzi is unjustifiable. HAKI ITENDEKE!
 
Kwa faida ya wote mahafidhina ni genge la wanasiasa ambao kamwe hawakubali mwanasiasa yoyote atawale zanzibar isipokuwa yule aliyeshiriki kuleta mapinduzi ya kumwondoa sultani,hivyo hawaungi mkono kabisa mtanzania yoyote au mzanzibari yoyote mwenye asili ya kiarabu kutawala zenj,hivyo kwso wanakuona cuf kuwa ni vibaraka wa waarabu ambao wanataka kurudi kuitawala zenj kwa mlango wa nyuma

Mkuu umeeleza vizuri japo kwa ufupi, lakini kwa faida ya wengi hilo genge linatoka wapi ndani au nje ya CCM?
 
Makamba rudi ikulu ukamwandikie Magu hotuba,kwani jamaa anajikanyaga hovyo na asiruhusiwe kutoa hotubu isiyoandikwa
 
Makamba rudi ikulu ukamwandikie Magu hotuba,kwani jamaa anajikanyaga hovyo na asiruhusiwe kutoa hotubu isiyoandikwa
Akamkumbushe pia kuhusu vijana wake lini atawakumbuka ktk ufalme wake maana walimpigania kufa kupona
 
Njia rahisi ya kuprove walishinda uchaguzi ni kumalizia kutangazwa matokeo. Hiyo haina gharama na ndiyo njia halali. Hiyo ya kuprove kwa kurudia uchaguzi is unjustifiable. HAKI ITENDEKE!

Haki itendeke kwa kurudia uchaguzi chini ya tume huru. Haki haiwezi kutendeka kwa kutangaza matokeo batili yaliyoandaliwa na Seif.
 
Kama kweli cuf walishinda wana wasiwasi gani kurudia uchaguzi,waingie ulingoni wapambane sio kupiga kelele
 
Wanasiasa wanatuona majuha sana. Kama Rais anaona suluhu ni marudio ya uchaguzi, na tayari chama tawala na vingine vitashiriki, wasi wasi wa nini kuhusu CUF? Si aendelee tu na uchaguzi wa marudio bila CUF?

Pili, wako wapi akina Msekwa waliosema Rais hana mamlaka na Zanzibar?
Leo anaongea kwa mamlaka gani ambayo akina Msekwa hawayakuyaona?

Tatu, Rais anasema hali ya nchi ni salama na uchaguzi utafanyika kwa Amani.
Huyu tuliambiwa hana mamlaka na mambo ya Zanzibar, haya yanatoka wapi tena?

Kubwa Zaidi ni hili la Rais kualika watu nyumbani kwake na kisha 'kutohudhuria'.
Hili linazidi kutoa picha ambayo wao hawajui ni mbaya sana.

Hao mabalozi leo wanajiuliza , tangu uhuru linI haya yametokea na kwanini yanatokea sasa?

Tutaambiwa Rais hakuhudhuria kwasababu anabana matumizi.

Kwanini basi waziri aSiandae hafla pale Hyatt hotel! Tutaambiwa ni kubana matumizi.

Wakati tunaambiwa hayo, majuzi msafara wa mawaziri na viongozi ulikuwa Singida ukitumia rasilimali za Taifa kwa birthday ya CCM.

Uongozi wote wa kitaifa ulikuwepo pale, gharama zote za itifaki, ulinzi n.k. ni za Watanzania.
Kubana matumizi kuko wapi? Hivi mipasho ya Singida na ujio wa mabalozi kipi muhimu?

Tulisema ni suala la muda Watanzania wataona felia ! Tulidanganya?
'Kukimbia' mabalozi nako ni #Hapakazi!

Tendo la' kukimbia' mabalozi, si kufelia kidiplomasia bali kufeli kwa nchi

Lakini lazima tujiulize Zaidi, mkuu wetu kutotaka kukutana na wenzake lipo jambo! Kuna jambo!

Nyani Ngabu The Boss JokaKuu
 
Haki itendeke kwa kurudia uchaguzi chini ya tume huru. Haki haiwezi kutendeka kwa kutangaza matokeo batili yaliyoandaliwa na Seif.
Honestly, unasikitisha how you can pretend hamnazo wakati Mungu amekupa akili za kutosha. Hayo matokeo batili aliyoandaa Seif yako wapi? Dhuluma ina mwisho!
 
Hichi ndicho kilichokua kwenye hotuba ya Rais ?? Ndio maana huyo mzee kakimbia hiyo hafla
 
LEO Tena MAGUFULI Amepata Nafasi Ya KIKATIBA Kuingilia Mkwamo Huo Wa ZANZIBAR!!!?? SI Mlishasema Yeye Kwa Mujibu Wa Katiba Ya ZANZIBAR Hana Nafasi Ya Kutoa Solutions Ya Mkwamo Huo!!!?? SASA Kama Leo Amepewa Nafasi Hiyo, Why Awaite MABALOZI Wamlainishe Mh. SEIF KUKUBALI Kuingia Ktk UCHAGUZI Huo, Ambao Umepangwa Tarehe Yake!!! WAO Si Wafanye Tu UCHAGUZI Wao?? LAZIMA Hadi CUF Washiriki UCHAGUZI Huo!!??
 
Honestly, unasikitisha how you can pretend hamnazo wakati Mungu amekupa akili za kutosha. Hayo matokeo batili aliyoandaa Seif yako wapi? Dhuluma ina mwisho!

Matokeo batili yaliyoandaliwa na Seif yanatoka Pemba, ukweli unazungumza Pemba ndio kumechezwa rafu mbaya iliyopelekea uchaguzi kufutwa.
 
HIVI Hawa MABALOZI Si Ndio Wale Walioambiwa, Wasijihushe Na Siasa Nchini!!! TENA Balozi Wa Norway Na Nchi Yake Walikuwa Wakisemwa Mno!! JE, Hao Hawakualikwa!!!??
 
Honestly, unasikitisha how you can pretend hamnazo wakati Mungu amekupa akili za kutosha.Dhuluma ina mwisho!

Mkuu, ni kweli dhuluma ina mwisho na mwisho wa dhuluma ni kuundwa tume huru ya uchaguzi hata huku bara tunapigania kupata tume huru ya uchaguzi. Bila tume huru dhuluma kwa CCM haitakoma. Sasa kama Seif hataki kuingia kwenye uchaguzi chini ya tume huru je, anataka nini?
 
Matokeo batili yaliyoandaliwa na Seif yanatoka Pemba, ukweli unazungumza Pemba ndio kumechezwa rafu mbaya iliyopelekea uchaguzi kufutwa.
TOA Evidence Ktk Kuthibitisha Hayo Usemayo!!! Otherwise Futa Kauli!!! Tuambie Ni Pemba MAJIMBO GANI, VITUO Vipi Na SHEIA ZIPI!!?? NA Kulifanyika Kipi, Ambacho Kimepelekea Kufutwa Kwa MATOKEO Ya ZANZIBAR NZIMA!!! MAANA Suala La KUFUTWA MATOKEO Ya Uchaguzi Woote NCHI NZIMA, Sio Issue Ya Kipumbavu Zisizo Na Evidence!!! HIVYO Kama Hauna Ushaidi Wa Kuthibitisha Hilo Funga Choo Chako Cha Shimo, Kinatoa Harufu Mbaya Tu!!!
 
Magufuli kwa hili bola ungekaa kimya tu ..wakati mwingine unaweza kujishushia heshima kwa maneno yako ..au unaweza kuchukuliwa kama Vuvuzela Nape.
 
TOA Evidence Ktk Kuthibitisha Hayo Usemayo!!! Otherwise Futa Kauli!!! Tuambie Ni Pemba MAJIMBO GANI, VITUO Vipi Na SHEIA ZIPI!!?? NA Kulifanyika Kipi, Ambacho Kimepelekea Kufutwa Kwa MATOKEO Ya ZANZIBAR NZIMA!!! MAANA Suala La KUFUTWA MATOKEO Ya Uchaguzi Woote NCHI NZIMA, Sio Issue Ya Kipumbavu Zisizo Na Evidence!!! HIVYO Kama Hauna Ushaidi Wa Kuthibitisha Hilo Funga Choo Chako Cha Shimo, Kinatoa Harufu Mbaya Tu!!!

Kijana kama umeamua kuja na matusi basi siwezi kupoteza muda wangu kufanya majadiliano na wewe.
 
Back
Top Bottom