Rais Magufuli: Suluhu ya Zanzibar ni Uchaguzi wa marudio

Ila kwakuwa wazanzibar ni wanafiki acha wapashwe moto kidogo ndo watakuwa wamoja.
wanakaa kwao wanapanga yao baadae anatokea NYANI mmoja anaanza kujikomba anawageuka wenzake,acha dhambi iwatafune
Tuelezee nini kimetokea Zanzibar? Inawezekana hujui nini kinazungumzwa au nini kimetokea huko.

Wewe unazungumzia uchaguzi wa Zanzibar? Au unazungumzia "unafiki wa wazanzibari"?
 
wewe ndiyo unajua sana?kwani hujui kuwa kufuta uchaguzi ulio na hati safi kwa majimbo yote ya pemba maana yake ni kupokea maelezo kutoka nje ya tume?na hujui kufanya hivyo ni kitendo cha unafiki ambacho ni sura sawa ma mtu mmoja kuwa na sura mbili?
Hujui waliofanya hivyo walikubali kuwa uchaguzi ulikwenda sawa kwa kutoa uthibitisho wa vyeti na hao hao wakavisaliti na vyeti vyao?upande mmoja unakuwa mtu upande wa pili mnyama?
we ndiyo unajiona unajua sana?na viswali vyako vya chekechea?
 
Toa sababu na ushahidi. Wacha mhemko.
Huwezi, kaa kimya. Wacha uchekechea wako.
Haya jaribu tena, leta ushahidi na sababu zinazoingia akilini,wacha sababu za utoto/kitoto kama alizotoa Jecha.
 
Huna kichwa kikubwa,hata ukipewa sababu zikiwa sawa na idadi ya vitabu ulivyosoma na ufafanuliwe na walimu wote waliokufundisha HUTAELEWA
 
Huna kichwa kikubwa,hata ukipewa sababu zikiwa sawa na idadi ya vitabu ulivyosoma na ufafanuliwe na walimu wote waliokufundisha HUTAELEWA
Usikimbie, toa sababu na ushahidi.
Soma post #143 hapo juu.
 
Ha ha ha,nilikuambia huna kichwa kikubwa,hata maana ya neno"hiyo hapo juu"umeshindwa kulielewa.
Nilisema"HUTANIELEWA" na kweli hukuelewa.
wewe hata uwekewe maprofessor mia "HUTAELEWA"
 
Sababu ni hiyo ya hapo juu,na nililolitegemea ndiyo lililotokea
Wewe eleza, nani alituma JWTZ kuzuia matokeo ya uchaguzi yasikamilishwe kutangazwa?
Najua kwa unafiki uliouvaa hutaweza kujibu, utamumunya maneno. Au wewe hujui chanzo cha mkwamo Zanzibar ni huo uingiliaji kati wa JWTZ na Polisi kumteka Makamu Mwenyekiti wa ZEC ili matokeo yaliyokuwa yanaiondoa CCM madarakani yasitangazwe?
Unakuja na sababu za kujitungia na kupindisha ukweli halafu unasema una akili kubwa?

CCM walifanya kubaka demokrasia huku waangalizi wa uchaguzi wa ndani na kimataifa, waandishi wa habari na kamera zao zikiwa Bwawani, kituo cha kutangazia matokeo. CCM walifanikiwa kumficha Jecha na alipoibuka baada ya military lock down ya Bwawani alitoa tamko batili ambalo halina kichwa wala miguu ili kukiokoa chama chake.

Katafute watoto wa chekechea ,uwaimbie "nyimbo " yako huenda watakuelewa na kukupigia makofi.
 
Mapinduzi daima,hata seif mwenyewe anajua hawezi kuwa raisi.nyie mnaotaka awe rais mnambebesha mzigo ambao hauwezi kamwe.
 
wewe ndiyo unajua sana?kwani hujui kuwa kufuta uchaguzi ulio na hati safi kwa majimbo yote ya pemba maana yake ni kupokea maelezo kutoka nje ya tume?na hujui kufanya hivyo ni kitendo cha unafiki ambacho ni sura sawa ma mtu mmoja kuwa na sura mbili?
Hujui waliofanya hivyo walikubali kuwa uchaguzi ulikwenda sawa kwa kutoa uthibitisho wa vyeti na hao hao wakavisaliti na vyeti vyao?upande mmoja unakuwa mtu upande wa pili mnyama?
we ndiyo unajiona unajua sana?na viswali vyako vya chekechea?
Sababu ni hiyo ya hapo juu,na nililolitegemea ndiyo lililotokea
Huna kichwa kikubwa,hata ukipewa sababu zikiwa sawa na idadi ya vitabu ulivyosoma na ufafanuliwe na walimu wote waliokufundisha HUTAELEWA
Nimekusoma na nimegundua unaogopa kuanika ukweli. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Kwa nini unabania ukweli? Wapo wengi ambao hawatakuelewa.
Wape ukweli, ukweli uwapige usoni, machoni na moyoni ili wanapotafuta usingizi,ukweli uwe unawacheka. usizunguke wala usizungushe maneno.
CCM wametengeza utamaduni wa woga kwa wadanganyika(wananchi). Usikubali hilo.
 
hamna mtawala anayetaka kutawaliwa tena na vyama vya hovyo hovyo.maneno ya rais wa nchi-tuna safari ndefu kuwa na fikra pevu kama taifa
 
Kama ulichokisema ndiyo msimamo rasmi wa 'nyinyi' watawala.

Sasa kuna haja gani ya Taifa letu kuendeleza unafiki wa kujiita kuwa ipo kwenye mfumo wa vyama vingi wakati katika hali halisi tunaendelea kuwa katika mfumo wa chama kimoja?!

Kwa kuwa inaonekana hakuna uwezekano wa Tume zetu za uchaguzi za 'Sisiem' kuweza kuthubutu kumtangaza mgombea mwingine nje ya CCM kuwa ameshinda kiti cha Urais, hata kama itatokea watanzania wote wawe wamempigia kura kwenye sanduku la kura!

Ndiyo maana dunia nzima hivi sasa inatushangaa kupita kiasi, kwa kuwa Jumuiya ya kimataifa ilituma waangalizi wao na ikashuhudia uchaguzi huo ukiendeshwa kwa uhuru na haki.

Vile vile waangalizi hao wakashuhudia matokeo kwenye majimbo yote 54 ya Unguja na Pemba yakibandikwa kwenye vituo vya kupigia kura.

Vile vile Umma wa watanzania na Jumuiya ya kimataifa ikashuhudia pia wasimamizi wa uchaguzi wakiwakabidhi hadi vyeti vya ushindi, Wawakilishi kwenye Baraza.

Lakini pia waangalizi hao kutoka nje na ndani ya nchi walimshuhudia pia huyo huyo Jecha akitangaza matokeo kwa siku 2 mfululizo ambspo alikuwa keshakamilisha kutangaza matokeo kwenye majimbo 31 kati ya jumla ya majimbo 54 ya Unguja na Pemba, ambapo ni zaidi ya nusu.

Ndipo ghafla kwa mshangao mkubwa huyo Jecha akaibukia ZBC ambapo taarifa yake yake ambayo ilikuwa recorded ikasomwa kwenye kituo hicho cha luninga cha Umma/CCM, tena bila kuambatana na makamishna wenzie wa ZEC!

Bado hiyo serikali ya CCM inaufanya Umma wote wa watanzania kama 'vichekechea' na kuwadanganya kuwa uchaguzi ule ulifutwa na Tume ya uchaguzi wa Zanzibar.

Inajulikana wazi kuwa aliyefuta uchaguzi huo ni a single person called Jecha.

Hata hivyo hata kama uchaguzi huo ungefutwa na ZEC kwa maana ya composition ya makamishna wa hiyo ZEC, bado tamko hilo lingekuwa batili kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 na sheria ya uchaguzi ya Zanzibar.
 
January 2001 wakati wa CUF walipo azumia kufanya maandamano ya amani kupinga ubakaji wa demicrasia.Mkapa aliagiza atakae lets fyoko fyoko abamizwe na viongozi wote wa cuf wamalizwe. Huu ndio ulikua uamuzi wake...kila kitu kilitayarishwa kuanzia polisi ffu jeshi na janhaweed wa zanzubar. Iliamuliwa wamalizwe...Cuf waliendelea na matayarisho yao na kusisitiza watafanya maandamano nchi nzima...wiki moja kabla ya maandamano Mkapa akaindoka nchini na kuacha maagizo yake yatekelezwe.
Makamu wa Rais Dr Omar Ali Juma mzigo ule ulimuekemea yeye..damu nzito kuliko maji aliona yalokusudiwa yatawaathiri waislam wenzake na wapemba wenzake na nchi inaweza kuingia kwenye mauaji ya kutisha...akaamua kumpelekea ujumbe mzito hasimu wake Maalim Seif kupitia secretary wa Makamo wa rais Ali Nabwa...na kumtaka Maalim afute maandamano yake kwani shari kubwa umepangwa ikiwa pamoja na kumdhuru yeye.
Cuf na Maalim wakakaidi. Dr Omar akamtafuta tena kumwambia yamekusudiwa machafu dhidi yako nakuomba kama nduguyo tuache siasa pembeni msifanye maandamano..
Baada ya mashauriano ndio Maalim akashauriwa aondike nchi asiwepo.leo tungezungumza mengine
Ali Nabwa ameyaeleza haya kwa kina ...
Leo Dr Omar hayupo tena aliepusha shari kubwa...naona kuna shari kubwa inakuja...tumuombe Allah atuepushe nayo...
Waloamrisha kufuta uchaguzi wamefanya makusudi ili visiwa vile vitokomee kwenye bahari...
Je hili alilofanya Dr. Omar Juma ndio lilipelekea arudishwe ardhini mapema?
Unasema Mkapa ni mafiaso kiasi hiki?
 
Tulisema watakwama kutokana na kutokuwa na sababu za mashiko
Balozi na mwanadiplomasia Cisco anasema 'Sherry Party' ni utaratibu uliopo hasa kwa commonwealth
Ni muda Rais anakutana na mabalozi kueleza sera za nje ......
Msemaji wa Ikulu anasema Rais alikuwa nje ya Dar es Salaam

Yaani anataka tuamini hafala hiyo ni dharura na haikuwa imepangwa

Lakini pia anatueleza kuwa Rais wetu hana mshika Kalenda

Kwamba Rais hajui nini kitatokea kesho au keshokutwa kiasi kwamba hakujua kuna hafla na mabalozi. Rais hana diary!

Hii ni aibu sana na tukisema serikali Inafeli baadhi yetu wanakereka! KUFELI ndiko huku
Wala hili si jipya, wengine tuliliona mapema sana! Felia ipo wazi haihitaji ramli

Hawana sababu na wanajua wamechemka.
Dk Augustine Mahiga amemtetea Rais John Magufuli kwa kutohudhuria hafla ya mwaka ya mabalozi akisema alikuwa Singida"
Dk Mahiga alitoa ufafanuzi huo kwa waandishi wa habari jana baada ya kuulizwa sababu za Rais kushindwa kuhudhuria hafla hiyo, lakini maelezo hayo yalichanganya zaidi, kwa kuwa hafla hiyo ya mabalozi ilifanyika Februari 8 wakati kilele cha sherehe za CCM kilikuwa Februari 6. Kuhusu tofauti hiyo ya siku, Dk Mahiga alisema baada ya sherehe ya Singida, Rais alipitia kwenye ziara ambayo hata hivyo hakuifafanua.

Link Dk Mahiga ajibu kwa nini Rais JPM hakuonekana sherehe ya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom