Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

Una kazi kubwa ya kumtetea huyo fisadi mhongo.

Kitendo cha Mhongo kukalia taarifa za uhujumu uchumi na tena akiwa waziri mwenye dhamana ni kosa kubwa sana.

Hiyo sms inadhibitisha unafiki wa mhongo, Mhongoo anastahili adhabu kali sana . maana anachohubiri na anachosimamia ni Mbingu na ardhi.!
I wish ningekuwa ninanufaika hadi useme namtetea. Au nikiamini unachoamini ndipo nitaonekana simtetei. Mbona watu mwajifanya malaika?
 
Mkuu hujui serikali yetu inafanya vipi kazi.... utakuwa uko UN au umejiajiri.... waziri akutumie msg uache kutekeleza? Hujipendi..... na pale yule mama asingesema kwamba alipewa maelekezo hayo yeye alikuwa ni jipu moja kwa moja na yawezekana hata asingepewa muda wa kuandika hiyo barua.... angefukuzwa palepale..... ni uungwana wa waziri mkuu kutaka kujua undani zaidi na mdo uziri wa kumpa mtu nafasi ya kujieleza....
Mkuu nadhani hujanisoma nilichoandika.
 
Nimetafakali. Kwamuda. Naungana. Namtoa mada. Kamakweli. Serekali inataka ikomemeshe. Madudu. Nimuhim. Kwawazili. Mkuuakamshauli. Rais. Amwajibishe uyo. Wazili. Ambae alituma. Sms. Inaonekana. Kwaakili. Yangu. Ndogo. Uyowazili. Anayajua. Madudu. Mengi. Yaliyopo. Apoo kwaiyo. Alitaka. Kuzuia. Iliwazili mkuu asjue. Chochote
 
wa011.jpg

Mbona utafikiri wako kwenye shamba la mtu!!? Naona migomba na fence utafikiri uko kijitonyama!!
 
.Huyo waziri....Ana makosa mawili, kutoa siri za ziara ya kushtukiza ya waziri mkuu. pili kushiriki katika njama ya kutaka kuficha uovu...wa hapo bandarini!
Huyo waziri ashughulikiwe...muda huu hatuogopi nchi kutikisika....tumejizatitti

huyo mtuma msg awe wa kwanza kunyongwa hadharani
 
Profesa Muwoongooo at work.

Soon ataondoshwa,

Maana kambip Alcohol.
Prof. Muhongo ni shida kwa serikali ya JPM. Utendaji kazi wake ni wa sms na anatuma maelekezo kwa watendaji na kuwanakili hadi madereva. Pia hakai ofisini muda mwingi ni safari za nje au mikoani. Wizara ya nishati kaivuruga vibaya kwa muda mfupi aliorudi, hakuna mtu mwenye morali ya kazi. Ni majungu kwa kwenda mbele na mpishi wake mkuu Maswi. Ameharibia kazi na kuhamisha watendaji wazuri kwa hila, sijui usalama wa taifa wako wapi. Wawekezaji hawana hamu nae kabisa. Leseni hazisainiwi kwa kuwa hataki kuziona. Hata mikataba haisainiwi. Kimsingi, Muhongo hamna kitu, akikaa KWENYE NAFASI HIYO kwa muda mrefu MAgu atakuja kujuta. Magu ondoa uozo huo, mtu asiyetunza siri. Kupitia ufisadi wake amenunua gari ya milioni 300 na amemjengea nyumba mkewe huku akijisifu ni msafi. Toa huyo haraka. Najaribu kuwasaidia usalama wa taifam mkibisha nendeni wenyewe muongee na watumishi wa wizara yake mtasikia mengi.
 
Back
Top Bottom