YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,907
Sijawah ona maagizo ya kiofisi yakitolewa kwa sms
Hujawahi itwa hata kwenye kikao kuwa unahitajika MUDA wa kikao umeanza kwa SMS? Au ukiwa kikaoni ukaletewa meseji ya kikazi ukatoa maelekezo kwa SMS?
Kama hujawahi na una simu ya mkononi uliyopewa na ofisi irudishe haraka wamempa mtu anayeitumia kwa mawasiliano na hawara zake badala ya mawasiliano ya kiofisi