Waziri Mwijage amteua Dkt. Ludovick Manege kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo na Mizani(WMA)

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
UTEUZI: Serikali kupitia Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage imemteua Dkt Ludovick Manege Kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo na Mizani(WMA)

> Kabla ya uteuzi huo Dkt. Ludovick Manege alikuwa akikaimu nafasi hiyo

IMG_20180707_143448.jpg
 
Back
Top Bottom