Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
Nina swali;
Hivi response utakayoonyesha pale unaposalitiwa na GF/BF ni sawa na pale unaposalitiwa na wife/husband?
Nauliza hivi sababu kabla sijaoa nilishaachana na maGF kadhaa pale nilipothibitisha wamenisaliti. Tena haikuwa kaz kumwambia mtu 'basi, kuanzia leo tusijuane tena'. Lakini sasa huwa nafikiria kwa mfano ikitokea siku wife akacheat na nikagundua, hivi itakuwa rahis kumwambia tusijuane? Kwa haraka nahisi itakuwa ngumu, unless awe sugu. Tena nahis akicheat wife, moto mkubwa zaidi nitauwasha kwa huyo aliyecheat naye...
unaweza fanya hivi kama amebakwa, lakini kama cheating, si walikubaliana? deal na wako maana ndo kakusaliti