Raha ya Ubazazi/Cheating!... (?)

cheating haina msamaha .

mtu anakaa anapanga taratibu kisha useme alishawishiwa?! kwani yeye hana akili hata akubali kushawishiwa?
 
jamani najua kuwa cheating inaumiza sana haswa kwa wanaume unaposikia mkeo ameku-cheat uwa inaumiza sana na wengi wanasema kuwa watamwacha mke anaye-cheat ila ingawa kosa la uzinzi linaruhusu kuacha mke hata kidini ya kikristo ila tuangalie na sisi wanaume je uwa tuna-cheat na tukikamatwa mke aombe talaka? maana wengi wetu tuna-cheat ila ikitokea kwa m/mke kucheat naona kama inaonekana kuumiza zaidi kuliko mwanaume kucheat
 
Dah kweli bwana maana baadaye ndio kuja kupata ugonjwa wa mawazo kutokula na mabo mengine cheating bwana inauma sana I know how it feels I have been there
 
hii kauli inanitiaga kichefuchefu sana, na inasemwaga sana na watu ambao bado hawajaoa/olewa, hebu waingie ndani waone na wao jamani.

Hata mimi hiyo kauli bwana watu wameishaifanya kama wimbo wa taifa sijui kwanini watu wanafikiria hivyo
 
cheating haina msamaha .

mtu anakaa anapanga taratibu kisha useme alishawishiwa?! kwani yeye hana akili hata akubali kushawishiwa?

hapo ina maanisha ikakutokea mfano wewe hutasamehe?.....lakini ndoa ngumu bwana khaa.
 
nyamayao kwa kweli kosa hilo simsamehe ..........aki cheat, namfungisha virago haraka sana.

ila kila mtu na moyo wake na namna unavyoweza kuhimili mikiki, ukiweza kusamehe na kusahau na kuwa isiathiri maisha yenu ya kila siku ....poa tu.
 
Gaijin tayari umeshaolewa wewe?
 
nyamayao kwa kweli kosa hilo simsamehe ..........aki cheat, namfungisha virago haraka sana.

ila kila mtu na moyo wake na namna unavyoweza kuhimili mikiki, ukiweza kusamehe na kusahau na kuwa isiathiri maisha yenu ya kila siku ....poa tu.

kama ni kufukazana tu kwa style hii, ndoa nyingi zingekuwa zimeshatokomea!
 
hakunaga sababu ya maana ya mtu ku cheat zaidi ya tamaa tu, kikubwa ulichoongea ni hapo red....cheating inaumiza sana tena sana ni bac tu binadamu wagumu.

cheating haina msamaha .

mtu anakaa anapanga taratibu kisha useme alishawishiwa?! kwani yeye hana akili hata akubali kushawishiwa?

Nyie wasichana wawili.... Nimetoka mbali huko kwa ajili ya kuja kuwapinga kwenye haya maandiko yenu...

Mnaishi dunia ya wapi nyie?
 
na inawezekana ingekuwa dawa kwa watu kuacha ku cheat wakijua kuwa ni kufukuzwa tu!

Gaijin...inategemeana na ufukuzaji wenyewe, nyumba umemkuta nayo mwanaume kufukuza hapo inakuwa ngumu, na ile ya kwetu ya kusema cjui nitaonekanaje na jamii cjui hivi na vile khaa...mie mwenyewe ukiniuliza niliwezaje kusamehe na kuendelea na maisha hata cna jibu.
 
hapa tatizo linakuja jamii ishakubali hii mwanamme awe anam cheat mwanamke ..........utaambiwa stahamili! wakati mwanamke aki cheat jamii haimuelewi hata kidogo!

lili kurekebisha maadili kwenye jamii, wengine inabidi wakubali tu kujitolea muhanga.................aki-cheat namtimua, potelea mbali jamii itasemaje!
 
Tatizo wengi huwa wanao au kuolewa kwa kutumiza wajibu kuwa na mm sasa nimeoa au nimeolewa ngoma ipo kwenye kuishi sasa ndo hapo patamu balaaa.
 
hapa tatizo linakuja jamii ishakubali hii mwanamme awe anam cheat mwanamke ..........utaambiwa stahamili! wakati mwanamke aki cheat jamii haimuelewi hata kidogo!

lili kurekebisha maadili kwenye jamii, wengine inabidi wakubali tu kujitolea muhanga.................aki-cheat namtimua, potelea mbali jamii itasemaje!

mie wazo la jamii halipogo kichwani mwangu kabisa,naishi nipendavyo, lakini baada ya hiko kitendo nikijifikiria nilisameheje sameheje huwa cpati picha kabisa, cjui ilikuwaje kabisa, na hakuamini kama kweli naweza lisamahe.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom