Unajua kwenye mapenzi na upendo hakuna atakayekushauri wewe deep down ndio unajua kiasi gani unapenda..., lakini tatizo mtu mwingine anapoona upendo wako kwake upo deep anatake advantage na anatake your love for granted
Kwahiyo hakuna faida ya kukaa na mtu kama hauna raha na anakupa karaha.., ni bora uwe single na ujijengee maisha yako peke yako sababu huo ni mzigo and he will affect you mentally na sababu ya kukosa raha hata physically utakuwa affected..,
Kama kweli anafanya yote hayo hapo juu achana nae hata kama unampenda..., time is the best healer.., with time utamsahau, Pia probably unakosa opportunities za kupata mwingine sababu watu wanajua upo involved.., lakini utakaporudi kuwa single hopefully utapata someone you deserve
Unayoyasema ni kweli.
Nadhani si lazima kuanza mahusiano baada ya mahusiano ya kwanza kukushinda, na pia inakuwa ngumu kama mwanamke tayari yuko beyond 40s.
Je kuamua kuendelea kuishi nyumba moja na huyo cheaters kwa ajili ya watoto, I mean watoto wapate malezi ya baba na mama, inaweza kuwork? Yaani kuendelea kuishi under the same roof ila kila mtu awe na time yake, hakuna kuulizana ulikuwa wapi, una mpango gani, ulilala wapi, huyo unayeongea nae kwenye simu ni nani etc, is this practical?
Ninavyojua mimi, unaminifu wa wanawake ni ule uwezo wao mkubwa wa kuficha infidelity yao. Yaani mwanaume hadi unakufa hutaona dalili yoyote kuwa mkeo anakusaliti na hutojua kabisa kama watoto ulionao si wako biologically.Hivi kwanini wanawake siku zote wanadai kuwa wao ni waaminifu sana katika ndoa! Kama wangekuwa waaminifu kihivyo, mbona tunasikia kila siku huyu mama kazaa na fulani, mara huyu anatembea na huyu. Isitoshe si mara nyingi utamtongoza mwanamke wa mtu akatae hasa kama yuko mbali na mme wake eg. kwenye semina au mikutano! So uaminifu ni suala la mtu binafsi siyo gender!