Raha ya Ubazazi/Cheating!... (?)

Nina swali;
Hivi response utakayoonyesha pale unaposalitiwa na GF/BF ni sawa na pale unaposalitiwa na wife/husband?

Nauliza hivi sababu kabla sijaoa nilishaachana na maGF kadhaa pale nilipothibitisha wamenisaliti. Tena haikuwa kaz kumwambia mtu 'basi, kuanzia leo tusijuane tena'. Lakini sasa huwa nafikiria kwa mfano ikitokea siku wife akacheat na nikagundua, hivi itakuwa rahis kumwambia tusijuane? Kwa haraka nahisi itakuwa ngumu, unless awe sugu. Tena nahis akicheat wife, moto mkubwa zaidi nitauwasha kwa huyo aliyecheat naye...

unaweza fanya hivi kama amebakwa, lakini kama cheating, si walikubaliana? deal na wako maana ndo kakusaliti
 
Kabla hujaingia kwenye ndoa inabidi ujiulize je ntaweza kumvumilia mwenzangu na mapungufu yake yote?
Ukijibu ndio, basi oa, akikusaliti rudia swali ulilojiuliza kabla ya kuingia kwenye ndoa'Je ntaweza kumvumilia mwenzangu na mapungufu yake yote"?

Kiongozi, binafsi ninawezavumilia mapungufu yote lkn hapo kwenye cheating, mmmh! Ni ngumu kumesa! Kumbe ndo maana siku hizi watu wanakwepa hiyo mikataba!
 
Ni kweli lakini unaweza kuta aliyecheat naye anajua kabisa ana mume/mke, lakini akamshawishi. Si dharau hiyo. Kwa mfano mimi mtu akilala na mke wangu nitahisi kama kalala na mimi.. hivyo ajiandae kupambana na moto wake...

Huyo wako inatakiwa asishawishike kabisa chini ya mazingira yoyote yale. Kwa hiyo akishawishiwa kukuibia na yeye akashawishika tayari hapo hafai huyo.

Kwa hiyo utaona kuwa onus ya kukataa au kukubali iko kwa huyo mwenzako. Kwa sababu kama kashawishiwa na huyu basi kuna uwezekano mkubwa sana wa yeye kushawishiwa na yule na mkajikuta mnarudi kwenye square one. Sasa utawawashia moto wangapi?

Kwangu mimi ni ujuha kumwashia moto huyo mwingine. Moto uwashe kwa wako aliyeamua kukusaliti.
 
unaweza fanya hivi kama amebakwa, lakini kama cheating, si walikubaliana? deal na wako maana ndo kakusaliti

If all the people would have this idea, then I would believe that cheating is fight-able...! But normally we fight to those who are not our partners...! Otherwise, bravo, and keep it up, because your enemy is your partner.
 
Mkuu, tanguliza maombi hayo mambo yasikukute katika ndoa yako. Inauma sana iwapo utajua mkeo anamegwa nje !!
Na iwapo utajua usichukue hilo jambo kwa papara na hasira maana unaweza kuua bure!! Tanguliza tena maombi mbele jinsi ya kulitatua hilo tatizo !!

Wakuu hio mambo inauma sana na inahitaji moyo kukabiliana nayo !!!
 
Morally, cheating zote zinalingana...tofauti inakua ni jinsi ya kukabiliana na maamuzi ya baada ya hizo cheating...kwamba kawekeza kiasi gani katika huo uhusiano?? Ndoa? Watoto? Muda? Fedha? n.k.
 
Morally, cheating zote zinalingalina...tofauti inakua ni jinsi ya kukabiliana na maamuzi ya baada ya hizo cheating...kwamba kawekeza kiasi gani katika huo uhusiano?? Ndoa? Watoto? Muda? Fedha? n.k.

Kwangu mimi 'cheating' haina mjadala. Nikijua demu wangu kamegwa nje..uhusiano wetu kwishnehi. Haijalishi muda, fedha, watoto, wala kingine chochote.

Siwezi kabisa kudhalilishwa uanamume wangu na mwanamke kwa kuniibia na mwanamume mwingine.
 
In the same wavelenght..........tatizo ni maumivu ya baada ya hapo....!
 
kabla hujaingia kwenye ndoa inabidi ujiulize je ntaweza kumvumilia mwenzangu na mapungufu yake yote?
Ukijibu ndio, basi oa, akikusaliti rudia swali ulilojiuliza kabla ya kuingia kwenye ndoa'je ntaweza kumvumilia mwenzangu na mapungufu yake yote"?

msumari tosha!!
 
Amwachaye mkewe (mumewe?) kwa sababu yo yote isipokuwa uzinzi, afanya uzinzi. Uzito wa kosa la uzinzi unajionyesha hata katika vitabu vya dini.
 
kama kweli unampenda huwezi kumtimua. ila kama unafikiria mwingine. wala haitakua shida. ila nitoe angalizo. usihukumu ili nawe usije ukahukumiwa. watu wengi ni waongo sana wanadanganya wako single! kumbe wame owa/olewa. ila ukimfuma jirani yako! kata kichwa!!!. bali akiwa mgeni, wala usimsemee maneno mabaya. kwa vile huenda akawa hajui kama ni mali ya mtu. sii unajua tena tunaoa au kuolewa na watu tusio fahamiana vema. inawezekana uli jibinafsishia mali za umma kaka.
 
inatakiwaga uanza na mhucka wako coz aliamua mwenyewe kwa tamaa zake.....

Sure! muulize ni nini hasa kilichopelekea yeye kucheat! Kwa upande wangu nadhani maamuzi yangu yanaweza kuwa makubwa sana sababu najitahidi sana nisimchet Wife ila itapotokea kanicheat NA NIMEGUNDUA HILO kwangu si vigumu kusema kwa heri ingawa ni mkristo na tumefunga ndoa kanisani, tuliapa kuwa waaminifu kwa kila mmoja na si kuwa eti mmoja atapocheat msamehe!!:mad2:. Ulimwengu huu si wa kuchetiana bwana kama kuna mapungufu katika chakula yenu ya kikubwa ZUNGUMZENI.
 
Kwangu mimi 'cheating' haina mjadala. Nikijua demu wangu kamegwa nje..uhusiano wetu kwishnehi. Haijalishi muda, fedha, watoto, wala kingine chochote.

Siwezi kabisa kudhalilishwa uanamume wangu na mwanamke kwa kuniibia na mwanamume mwingine.

Nakubaliana na wewe kabisa cheating haina mjadala kwa kuwa ni makubaliano ya wawili, these are the things which you cannot tolerate kabisa ni kama vile umedhalilishwa na kuonekana you are not men enough or you are just one minute man
 
Nina swali;
Hivi response utakayoonyesha pale unaposalitiwa na GF/BF ni sawa na pale unaposalitiwa na wife/husband?

Nauliza hivi sababu kabla sijaoa nilishaachana na maGF kadhaa pale nilipothibitisha wamenisaliti. Tena haikuwa kaz kumwambia mtu 'basi, kuanzia leo tusijuane tena'. Lakini sasa huwa nafikiria kwa mfano ikitokea siku wife akacheat na nikagundua, hivi itakuwa rahis kumwambia tusijuane? Kwa haraka nahisi itakuwa ngumu, unless awe sugu. Tena nahis akicheat wife, moto mkubwa zaidi nitauwasha kwa huyo aliyecheat naye...

Inauma sana unapogundua kuwa mwenza wako amecheat, Mimi naamini kuwa mtu ukimpenda kwa dhati huwezi kucheat ,Na inapofikia hapo huwa na ninaamini kuwa hapo Hamna Love Tena.

Cheating is Cheating,awe BF/GF,MUME /MKE,Rafiki,mtu yeyote.Kaitka vitu nisivyopenda ni kuwa-cheated kwa namna yeyote ile na ndio maana huwa najizuia nisi-cheat wengine.

Hii ndio silaha muhimu katika maisha ,usimfanyie mtu kitu usichopenda kufanyiwa.

Huyo wako inatakiwa asishawishike kabisa chini ya mazingira yoyote yale. Kwa hiyo akishawishiwa kukuibia na yeye akashawishika tayari hapo hafai huyo.

Kwa hiyo utaona kuwa onus ya kukataa au kukubali iko kwa huyo mwenzako. Kwa sababu kama kashawishiwa na huyu basi kuna uwezekano mkubwa sana wa yeye kushawishiwa na yule na mkajikuta mnarudi kwenye square one. Sasa utawawashia moto wangapi?

Kwangu mimi ni ujuha kumwashia moto huyo mwingine. Moto uwashe kwa wako aliyeamua kukusaliti.

Ngabu hapo umenena vema, Yule mwingine hana kosa kwako, Kama mtu wako anatambua kuwa anatakiwa kuwa na wewe tu na bado akashawishika kwa mtu mwingine sio sawa, Huyo Hafai kuwa naye ,na hasa unapomkubali awe wa kwako wa siku zote maanayake wengine umewaweka kando na kumfanya yeye kuwa wa Kwanza ,Heshima ambayo umempa yeye anaikataa!! hapo hakuna sababu ya kuwa naye.

Hapa ukipata tatizo hili inabidi kujiuliza ni kwa nini mwenzako anacheat huenda haumridhishi ndio maana katafuta mtu wa kumridhisha.
 
Ni kweli lakini unaweza kuta aliyecheat naye anajua kabisa ana mume/mke, lakini akamshawishi. Si dharau hiyo. Kwa mfano mimi mtu akilala na mke wangu nitahisi kama kalala na mimi.. hivyo ajiandae kupambana na moto wake...

hapo ndipo mnapokosea, mke wako kwa tamaa zake kashawishiwa na akashawihika na hiko itendo, so amefanya akiwa na akili zake timamu...mie wakati wote nitaanza na mr! nikipambana na mwanamke mwenzangu nitapambana nao wnagapi? mana kama ni tabia yake bac kila kukicha mie nitakuwa ngumi mkononi, so ni bora kupambana na mhucka.
 
Hapa ukipata tatizo hili inabidi kujiuliza ni kwa nini mwenzako anacheat huenda haumridhishi ndio maana katafuta mtu wa kumridhisha.

hii kauli inanitiaga kichefuchefu sana, na inasemwaga sana na watu ambao bado hawajaoa/olewa, hebu waingie ndani waone na wao jamani.
 
Sure! muulize ni nini hasa kilichopelekea yeye kucheat! Kwa upande wangu nadhani maamuzi yangu yanaweza kuwa makubwa sana sababu najitahidi sana nisimchet Wife ila itapotokea kanicheat NA NIMEGUNDUA HILO kwangu si vigumu kusema kwa heri ingawa ni mkristo na tumefunga ndoa kanisani, tuliapa kuwa waaminifu kwa kila mmoja na si kuwa eti mmoja atapocheat msamehe!!:mad2:. Ulimwengu huu si wa kuchetiana bwana kama kuna mapungufu katika chakula yenu ya kikubwa ZUNGUMZENI.

hakunaga sababu ya maana ya mtu ku cheat zaidi ya tamaa tu, kikubwa ulichoongea ni hapo red....cheating inaumiza sana tena sana ni bac tu binadamu wagumu.
 
hakunaga sababu ya maana ya mtu ku cheat zaidi ya tamaa tu, kikubwa ulichoongea ni hapo red....cheating inaumiza sana tena sana ni bac tu binadamu wagumu.

mmmh!Nyamayao ulishawahi kuwa cheated?????
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom