jamiif
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 2,413
- 990
wakuu kuna hii ishu ya RFID ambapo Bunge au Seneti ya Marekani imepitisha mswada wa afya wa Obama kuwa sheria na utaanza kutumika tarehe 13/03/2013. Mswada huu utawataka Waamerika wote
kupandikizwa chip yaani kifaa (kibanzi/upapi) kinachotumia mionzi ya redio kwa utambulisho (Radio Frequency Identification-RFID) ili kuweza kupata huduma za afya. Kifaa hiki kitapandikizwa kwenye paji la uso au mkononi.
wakuu kuna hoja kuhusiana na chip hiyo kuwa ni mambo ya kishetani na namba 666 huwemo katika chip hizo....wakuu naomba wenye taarifa zaidi ya ishu watujuze..
asanteni.