Radio Frequency Identification (RFID)

jamiif

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
2,413
990
wakuu kuna hii ishu ya RFID ambapo Bunge au Seneti ya Marekani imepitisha mswada wa afya wa Obama kuwa sheria na utaanza kutumika tarehe 13/03/2013. Mswada huu utawataka Waamerika wote
kupandikizwa chip yaani kifaa (kibanzi/upapi) kinachotumia mionzi ya redio kwa utambulisho (Radio Frequency Identification-RFID) ili kuweza kupata huduma za afya. Kifaa hiki kitapandikizwa kwenye paji la uso au mkononi.

wakuu kuna hoja kuhusiana na chip hiyo kuwa ni mambo ya kishetani na namba 666 huwemo katika chip hizo....wakuu naomba wenye taarifa zaidi ya ishu watujuze..
asanteni.
 
aminia napenda watu kama wewe mtusaidie kutujuza mambo maana mimi nimeisikia juu juu tu..ebu tujuze mkuu upatapo info! maana hii dunia tunakoelekea mh!!
Duh. Ngoja nichimbe kwenye source zangu.
 
download

download

mnaona mambo hayo wakuu...bila chip hiyo hupati huduma yeyote..
 
If you have a cellphone, you are already chipped. If they try to jam something into my body, that I am against, I am sorry, I will not comply, Period.
 
sasa hutakuwa na access na huduma yeyote muhimu kwako unayoihitaji....yaani hali si shwari na wameanza marekani huku nako tutafuata tu...Mungu awe nasi kwa kweli!
If you have a cellphone, you are already chipped. If they try to jam something into my body, that I am against, I am sorry, I will not comply, Period.
 
Habari wana jamvi,nadhani kwa wafuatiliaji wa hiyo teknolojia nchi ya india ndio imekuwa ya kwanza kuwapandikizia wananchi wake toka january na wanaplana mwakani wawe wamewawekea wananchi wao wote,tukirudi ktk uhalisia Mungu ndiye mwenye uwezo pekee wa kuona kila mtu alipo na anachofikiri,ndio maana anaitwa omnipotent,maana yake yupo kila mahali,na anajua unachofikiri.na shetani kwa muda wote anataka kufanana na Mungu,shetani kwa taarifa tu ujue hayupo kila mahali,akiwa kenya ujue tanzania hayupo,ukisoma katika kitabu cha ayubu shetani alipokutana na Mungu ,akaulizwa unatokea wapi?shetani akajibu natoka kuzunguka huku na huku,xo huwezi muuliza mtu anatokea wapi kama uwepo wake upo kila mahali,turudi ktk mark of the beast,hii main purpose ni kuwamonitor watu ili wajue mtu yupo wapi ana matatizo gani kiafya,ana pesa ngapi bank na uwezo huo shetani hana ambaye anao ni Mungu,hiyo ndio alama ya mnyama, ambapo shetani atamsimamisha global leader ambaye ataimplement hiyo mark na atapewa uwezo mkubwa na shetani,na huyo mtu yupo tayari duniani ambaye anaitwa mpinga kristo,na kama ni mfatiliaji wa habari umesikia european union wanataka kumchagua kiongozi ambaye atatawala europe na watampatia uwezo wa kijeshi na mamlaka zaidi ya rais wa marekani.sasa hv muangalie hii vita itakayokuja ya israel na iran na mataifa ya kiarabu atakayeenda kusaini mkataba wa amani israel ndiye atakyekuwa ni mpinga kristo na hapo ndipo mwanzo wa miaka 7 ya dhiki kuu.
 
Dah, asante sana kwa kutujuza mkuu...

Hii ndiyo dajal system, mfumo wa kishetani, Quran takatifu imeeleza hayo toka zamani. Mfumo huu wa kicompyuta unaweza kwenda mbali zaidi, Brain ya mwanadamu inaweza kuwa controled by computer.
 
Si lazima brain kuwa controled 100% lakini athari kubwa itatokea, nguvu za kimfumo zinaweza kukupoteza mwelekeo na kujipeleka sehemu unayotakiwa.
 
Mfumo huu ni mahsus kwa ajili ya kupunguza idadi ya watu duniani hasa waafrika ambao ni watu masikini, wanaamini kuwa watu masikini si lazima sana kuishi. Once u are already in system, it is a case of clicked to die.
 
Wakuu yaliyoelezwa na Great Visionare ndiyo ukweli halisi na ndivyo ilivyo,either tunataka au hatutaki RFID ni maandalizi ya mpinga kristo.Hivyo kikubwa ni kuwa tayari kwa kumpokea Kristo Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yetu.
 
dunia inaelekea ukingoni sasa jamani...hali inatisha..
 
Du haya mambo nayaogopa mpaka nasikia masaburi yanatetemeka.
mkuun pole sana, umenichekesha sana, ila ukiitafakari hii mambo imekaa kishetani sana mie hii kitu hata wafanyeje nikiwa na akili zangu timamu sitakubali kuwekewa.
 
Uko sawa mkuu,hiyo chip wala msije kubali kuwekewa katika paji la uso ama mkononi sababu utakuwa ummeshajiunganisha na mtandao wa kuzimu

mkuun pole sana, umenichekesha sana, ila ukiitafakari hii mambo imekaa kishetani sana mie hii kitu hata wafanyeje nikiwa na akili zangu timamu sitakubali kuwekewa.
 
Du haya mambo nayaogopa mpaka nasikia masaburi yanatetemeka.

Mkuu sio masaburi tu yaan tunaungana na kuzim bila hiari maana hata mishahara tutalipwa kwa utaratibu huohuo. Inatisha mkuu we acha tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom