Congress ya Marekani imepitisha sheria ya kuwawekea wanadamu Radio Frequency Identication(RFID) chips.

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
15,859
20,714
Katika kitabu cha Ufunuo 13:11-18 tunaona jambo la kutisha sana. Katika scenario hii, tunaona mnyama akitoka katika nchi meaning among nations.

Tunaona kwamba huyu mnyama atawafanya wanadamu watiwe chapa katika mikono yao ya kuume na katika vipaji vya nyuso zao ili mtu yeyote asiweze kununua au kuuza isipokuwa kama ana chapa ya huyo mnyama au hesabu ya jina lake.

Kitabu cha ufunuo kinasema aliye na akili na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu hiyo ni mia sita sitini na sita(666).

Katika hali ya kushangaza, Congress ya Marekani imepitisha sheria ya kuwawekea wanadamu RFID chips.

Watch and listen to the following video. Does this make any sense to you and can you connect the dots?

 
Katika kitabu cha Ufunuo 13:11-18 tunaona jambo la kutisha sana.Katika scenario hii,tunaona mnyama akitoka katika nchi,meaning among nations.Tunaona kwamba huyu mnyama,atawafanya wanadamu watiwe chapa katika mikono yao ya kuume na katika vipaji vya nyuso zao,ili mtu yeyote asiweze kununua au kuuza,isipokuwa kama ana chapa ya huyo mnyama au hesabu ya jina lake.Kitabu cha ufunuo kinasema aliye na akili na aihesabu hesabu ya mnyama huyo;maana ni hesabu ya kibinadamu.Na hesabu hiyo ni mia sita sitini na sita(666).Katika hali ya kushangaza, Congress ya Marekani imepitisha sheria ya kuwawekea wanadamu RFID chips.Does this make any sense to you and can you connect the dots?

Hiyo sio 666
Huo ni utungu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio 666
Huo ni utungu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu what makes you believe that this is not 666 as described in the Bible, kwa kuwa nayo ni technology!Anyway,
sawa,hata kama sio 666,it could be a precusor to 666.Hebu angalia video ifuatayo.Hata hivyo mimi naamini kwamba hii ni 666 kufuatana na majira tuliyo nayo.Lakini hata kama sio 666 or even a precusor to 666,how about our privacy?

 
Watu unamhisi hisi tu unafikiri hicho kichip kinaweza kuwa 666, hats siku mna usifikirie hivyo maana 666 mtapata chapa ya huyo mnyama bila hata ya ninyi kujijua, 666 haiji kila mtu kama anavyofikiria hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo hayajaanza leo ni mda sasa wanafanya
Kwa Ulaya walilipinga sana na mjadala ulikuwepo lakini wanafanya bila ya mtu kujua na sio siri tena

Mnamo mwaka 1998 nilishuhudia mtoto akichomwa sindano kwenye kisigino wakisema ni chanjo.

Lakini ni kwamba hiyo ni chip ambayo watamfuatilia mtu huyo kwa kila anapokwenda kama wakimuhitaji.

Watamuhitaji kivipi?
Kama mtu huyo atajihusisha (atapokuwa) na crime yoyote atafuatiliwa na kukamatwa haraka zaidi.

Hawakuanza hapo tu
Siku hizi hata ukipata ajali ya gari kama reckless driver ni lazima wachukue swab test ya mate.
Na itaingia kwenye data

Yajayo yanatisha lakini

Sent from my SM using Tapatalk
 
Back
Top Bottom