Chemtrail
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 827
- 442
Mtume Yohana ndiye aliyeandika kitabu cha Ufunuo na katika kitabu hicho alitaja alama ya mnyama,namba 666.Katika kitabu hicho sura ya 13 msitari wa 16-18 tunasoma maneno haya,"Naye afanya wote,wakubwa kwa wadogo,matajiri na maskini,huru na watumwa kupokea alama mkono wa kulia au kwenye paji la uso,ili kila mtu asiweze kununua au kuuza mpaka awe na alama au jina la huyo mnyama au namba yake.Hapa ndipo penye hekima.Mwenye ufahamu na aitafute namba ya huyo mnyama kwa kuwa ni namba ya kibinadamu:Namba yake ni 666."
Alama au namba ya huyo mnyama(roho inayomuwakilisha Shetani) itakuwa ni utambulisho katika mfumo wa kifedha ambao huyo mnyama au Mpinga Kristo atauunda katika kipindi cha miaka saba ya utawala wake.Ataitumia hiyo alama au namba kudhibiti mifumo yote ya maisha ya wanadamu.
Ili kuweza kufanya hivyo,itakuwa lazima kwa kila mtu kuwekewa ka-chip(RFID- Radio Frequency Identification) chini ya ngozi kwenye mkono wa kulia au paji la uso.Kachipu hako katakuwa na taarifa nyingi kuhusiana na kila mtu binafsi.Kwa sasa tekinolojia hii ipo kuweza kufanikisha shuhuli hii,na watu wengi Marekani,Sweden,Australia wameshawekewa. Kila atakayewekewa RFID itakuwa lazima kuapa kiapo cha utii kwa Mpinga Kristo kwa kumkubali kwamba yeye ndiye Mungu,na ndio maana wote watakaopokea alama ya huyo mnyama watapata hukumu ya milele(Uf.14:9-11).
RFID ni tekinolojia ya data ambayo inatumia vichipu vidogo.Vichipu hivi vinaweza kutumika kufuatilia mienendo ya mtu akiwa mbali.
Makampuni makubwa duniani kwa sasa yanataka kubadilisha bar codes kwa mfumo huu wa RFID au "spy chips",ikiwa na maana kwamba kila kitu duniani na yeyote aliyenacho anaweza kufuatiliwa kutoka mbali.
Kampuni ya VeryChip, ndiyo kampuni iliyotengeneza kichipu cha RFID kwa ajili ya matumizi kwa wanadamu.Kampuni hii kwa sasa inatumia kila sababu za uwongo ili tekinolojia hii itumike kwa wanadamu wote.Sababu hizo zinaonekana nzuri,lakini nyuma ya pazia kuna nia ovu ya kum-control mwanadamu 100%.
Endelea kusoma mwenyewe kwenye link ifuatayo:http://rapturewatcher.WordPress.com...t-know-about-the-mark-of-the-beast-rfid-chip/
Uamuzi unao mwenyewe,kupokea RFID au kutopokea, nimekuonya mapema.
Soma pia
http://nationalreport.net/rfid-chip-now-being-issued-in-hanna-wyoming-as-part-of-new-obamacare-plan/ au Google "RFID Chip Now Being Issued In Hanna Wyoming As Part Of New Obamacare Plan."