Jamani tuache ushabiki na kutofuatilia haya Makala kutoka kwenye magezeti
Kuhusu microchip ni kuwa inaitwa RFID (Radio frequency Identification) amabyo inawekwa kwenye mwili wako kwa ajili ya mambo yafuatayo
* Kwanza kabisa ni utambuzi wa vitu vyako ambayo vipo kwenye dikitali mfano bank cards, National Id ,public transport card, Library card na card nyimgine ambazo kumbukumbu zako zimehifadhiwa
* Urahisi wa kupatikana
* Mfano Passport, IDs na leseni ya kuendesha gari au mitambo –unaweza kutambuliwa na wakaguzi bila hat ww kuonyesha chochote kupitia hiyo microchip ambayo imepandikizwa mwilini mwako so kama umetekwa wanaweza kujua ulipo kwa kutumia hizo details zako ambazo zitakuwa zinalink na mawasiliano ya wana usalama popote kama viwanja vya ndege,au kwa kutumia mifumo ya utambusi wanayotumia askari wetu wanapokukuandikia faini barabarani
* Club membership access control
* Hii ni kuwa free kwenye club ambayo wewe ni member unaingia bila kusubiria kwenye foleni maana unaweza kufungua milango na mageti bila kuweka chochote kama namba au kuscratch kama kadi ww ukifika inafunguka na pia inakupa uweze kwa kucontrol vifaa vingi kwa electronic
*
*
* Inaweza kkuweka kumbuka kuhusu habari zako za afya mfano dawa unazotumia na taarifa zote kuhusu afya na kulink ya vitu ambavyo vinaweza kukumbusha mfano simu
* Pamoja na mambo mengine ya kucotrol vitu vya electronic
Kubwa Zaidi ni kuwa hiyo microchip kazi yake kubwa ni link taarifa zako kwenye vitu mbalimbali .Technology ukua kila siku,Kazi ya microchip ni kama transponder kuditect location na position ya MTU,kitu,mnyama,kifaa,nk then kupitia RFID taarifa utumwa kwenye satellite, kupitia vifaa vingine ndipo picha na sauti unaswa na kwenda kuhifadhiwa kwenye saver ya kampuni husika uliyoingia nayo mkataba wa ulinzi wa mali, au kifaa chako,au taarifa za afya yako au mnyama.Ni nzuri kwa ufuatiliaji wa taarifa za mifugo yako kupitia simu nyumbani unawezajua taarifa za afya ya wanyama wako,gharama utegemea na aina ya chip,kama ni visible au invisible.Za mwilini uwekwa kwa njia ya sindano au kufanyiwa operation ndogo juu ya ngozi kwenye kiungo upendacho.Zipo chip za aina nyingi sana kuanzia saizi ya punje ya mtama,nk hadi zile kubwa unazoweka kwenye simu,TV,bag,laptop,kwenye Magari,nk.Chips Hazina uhusiano na chapa 666,chapa ya mnyama iko kinabii zaidi spiritual sio physical.