BongoTz
JF-Expert Member
- Nov 3, 2006
- 272
- 3
- Thread starter
- #101
Hey, mimi sina chama wewe...lol... I'm just an Independent observer. So acha kuniunganisha na huyo Mkwere wako. Ukweli ni kwamba CHADEMA bado hawajajipanga vizuri. So unaweza ukahuzunika ama ukalia siku nzima, lakini huo ndo' ukweli halisi.Mpuuzi usitudanganye,Hatudanganyiki na mawazo yako mafupi.Unauhakika hatujajipanga,kwa taarifa yako tumejipanga na kama serikali itakuwa yamfano dunia nzima.Mwambieni kikwete Msimdanganye kama Kaunda alivyodanganywa mpaka dakika za mwisho ndivyo atakavyokuwa Mkwere wenu,mmeishiwa sera mpaka Mnatumia jeshi hata wewe usalama useless nasasa Umoja wa mataifa lazima uwatazame.