kwanza inaonekana kama ni wewe ndo unahitaji ushauri!! lakini poa, kwa sababu mi naamini wanaume karibu wote kama sio wote wanapiga nyeto mida fulani!!kikawaida kupiga nyeto hakuna madhara kiafya labda kisaikolojia, utakuwa ujiamini unapofanya mapenzi na msichana!kikawaida inasemekana madaktari wanashauri kama mvulana hana msichana wa kufanya nae mapenzi au hata zile ndoto za usiku hazipoafadhali upige kidogo nyeto angalau mara 2 kwa wiki!!
mshauri rafiki yako kujiweka busy mara tu anapofikiria kupiga nyeto, labda anapokuwa peke yake aende akajimix na watu!!mi nilikuwa napiga ila si ya kupitiliza!!
 
wana jf naomba ushauri wenu ili niokoe maisha ya rafikiyangu kipenzi.ameniomba ushauri nikakosa jibu nikaona nilete maada hii hapa ubaoni,, ni kwamba amekuwa akipiga nyeto tangia mwaka1998!!!sometimes kwa siku anapiga bao3...chanzoni kwamba alimwona uncle wake akitaabika kwa ukimwi,,alipofariki akaweka nadhiri y kuacha mamboya waschana.amekaa bila girlfriend kwa muda mrefu mwishoakashindwa, akaona option ni kupiga nyeto mwanzoni mwa mwaka 1998!!! mpaka leo hii bwana huyu anapiga nyetoile mbaya.. kila akijaribu kuacha hawezi!!! anasema hawezi kukaa siku3 bila kupiga nyeto,, so anataka kujua nini madhara ya nyeto hasa ilodumu kwa muda mrefu?pia nini afanye ili aweze kuacha?NOTE: kuhusu mademu ameshindwa vmilia so anatiana na kupiga nyeto pia..
wana jf:nn mchangowenu kwa hayo?


halafu nasikia kuwa mtu akizoea kupiga nyeto hata mzigo wake unakuwa mdogo yaani unasinyaaa kwa haupati virutubisho sahihi.
Aibuuuuuuuu
 
halafu nasikia kuwa mtu akizoea kupiga nyeto hata mzigo wake unakuwa mdogo yaani unasinyaaa kwa haupati virutubisho sahihi.
Aibuuuuuuuu

shemeji bana una vijimambo!!, so hapo shemeji nadhani kwa mtizamo wangu ni kwamba unashauri tuwe tunamega nyama kwa nyama ili mizigo iwe mikubwa coz virutubisho si vitakuwa vingi?, eebana!.
asante nimikupata shem, now nakwenda practically! hahahaaaaa
 
we ni mzinzi tu...watu tumepiga nyetu last week tu... hatu lalamiki...!!
 
Tatizo la ngunga ni kuzoea kujiridhisha mwenyewe (lishaongelewa hapa kwenye mada kama hii)..sasa akipata demu inakuwa ni vigumu kumridhisha na hata kusikia utamu kama anavyojiburudisha mwenyewe!!

Kama jamaa walivyosema hapo juu, mwambie ajishughulishe na mambo mengine na aache kufikiria ngono kila saa.

Kiafya hakuna madhara ...aendelee tu kulikung'uta!!
 
Mnajua neno 'madhara ya kiafya' au mnasema tu? Hata saikolojia bora ni afya. Kwa hatua jamaa aliyofikia, afya iko doro.
 
Labda ndio njia pekee ya kujikinga na ukimwi, maana kama condom zenyewe ndio hivyo. Aendelee tuu
 
kwa ushauri mkuu,nyeto si nzuri,nimejaribu kuifanyia utafiti kwa watu wengi na matokeo yanayotoka yanaonyesha nyeto sio nzuri kiafya,kwanza nimegundua inatia ganzi kwenye akili i.e inapunguza uwezo wa akili kufikiri(jaribu kumchunguza jamaa uangalie uwezo wake uko vp), pili nyeto inajenga kutokujiamini kwa mtu,na hii inatokana na kua unafanya kitendo ambacho akili inakubali kua ni kinyume na taratibu za kimaumbile,tatu nyeto inapunguza nguvu za kiume,na hii inathibitishwa na wapigaji nyeto wenyewe jaribu muuliza hv sasa akiwa na mwnmke shoots zake ni ngapi?
 
Biashara ya kusingiziana jamani mwache. Kama tatizo si lako? Hatukuoni so kuwa huru. Nilitaka kukushauri utafute mmoja ila umeniwahi. Ujue bwanakaka, uke haubani kama kiganja. So hakyanani hutakaa uinjoi ngono maishani kama utaendelea na kiganja. Fanya yafuatayo. Anza kupunguza punyeto. Then kaa siku 2 bila kupiga. Then wk n.k huku ukimtafuta mwenza ili kuipa misuli ya uume kurelax. Ukifuata hayo utapona ila ukipuuza, utasimuliwa tu na watu raha ya uroda

Swadaktaaaaa.!!
 
Kitendo hiki cha mwanaume kujitosheleza kimapenzi kimekuwa kikiwatatiza wataalamu wengi, juu ya kufikia umoja wa hoja kuhusu madhara yampatayo mtu ajifanyiaye mchezo huo. Kuna baadhi ya wanasaikolojia akiwemo Muaustralia Wilhelm Reich wanaeleza katika makala zao kuwa hakuna madhara kwa mtu kujichua mwenyewe.

Lakini katika hali ya kawaida ushahidi mwingi uliotolewa na wahusika wa kitendo hicho umeonyesha kuwa, wanaume wafanyao mchezo huo, hukabiliwa hatimaye na maumivu ya kichwa na upungufu mkubwa wa nguvu za kiume sambamba na kupoteza msisimko wa kimahaba, hasa wakutanapo na wapenzi wao.

Licha ya tafsiri ya upigaji punyeto kuwalenga zaidi wanaume, lakini kitendo cha usagaji ambacho huwahusu wanawake nacho kinaingizwa katika maana sawa na ile ya mwanaume kujitosheleza mwenyewe, isipokuwa utofauti hupatikana katika zana na namna ya kujiridhisha.

Inatajwa katika makabrasha mengi ya watafiti kwamba, viwango vya upigaji punyeto hutofautiana, lakini vijana wenye umri wa miaka 18 – 22 wengi wao wakiwa ni wanafunzi wa shule na vyuo wameelezwa kufikia kiwango cha mara 4 kwa siku na wanaozidi umri huo kwa miaka minane hugota kwenye mara 8 – 10. (Wanaosoma shule za bweni zenye wanafunzi wa jinsia moja wanaongoza kwa kufanya kitendo hiki)

Kama utata wa watalaamu ulivyo katika kulitazama suala hili, ndivyo ilivyo kwa jamii, dini na makabila pia. Kuna baadhi ya dini zinakataza kabisa waumini wake kujichua kwa imani kuwa, umwagaji chini wa bengu za uzazi ni sawa na uuaji wa mtoto ambaye mwanzo wake ni mbegu hai.

Kwa mfano utamaduni wa kabila la Hopi huko Arizona na Namu, Wogeno pamoja na lile la Sambia nchini Guinea unakichukulia kitendo hicho kama njia halali kabisa ya kumaliza matamanio.

Lakini swali linabaki kuwa, je njia hii ni salama kiasi cha kuipa nafasi kuchukua umuhimu wa tendo asili la ndoa linalojumuisha jinsia mbili tofauti? Haya ndiyo makusudi ya mada hii.

Kwa haraka lazima jibu liwe hapana, kwani ukweli unabaki kuwa upigaji punyeto usiozingatia mipaka na elimu una madhara makubwa ya kisaikolojia, ambayo tayari wahusika wameshathibitisha kukutwa nayo kwa namna moja au nyingine.

Dunia ina ushahidi wa watu ambao walikuwa na nguvu za kiume kwa kiwango kikubwa, lakini walipojikita sana katika upigaji punyeto walijikuta wakikabili matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na hadi leo wameshindwa kupata ufumbuzi wa kuondokana na kasoro hiyo.

Katika hali ya kawaida kinacholeta shida ni nguvu zinazotumika wakati mtu anayejichua anapofikia kilele cha kujitosheleza, pamoja na zana zinazotumika kujichua.

Ifahamike kuwa kuna watu wanatumia mikono mikavu kujisaga, jambo ambalo huwafanya waharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mishipa iliyopo kwenye ubongo.

Uharibifu huu humfanya mwanaume aidha apoteze msisimko wa kujamiiana au aupate kwa kiwango cha chini sana na kumfanya ashindwe kuwa imara anapokutana na mwanamke, ambaye sehemu zake nyeti huwa ni laini tofauti na mikono aliyozoea kujichua nayo.

Jambo lingine la hatari linalomkabili mtu anayejichua ni upotevu wa hisia. Wakati wa kujichua kwa mfano, ili mwanaume afike kwenye kilele, lazima akuze hisia kwa kiwango cha juu mno, pengine kupita ukweli halisi atakaokutana nao pindi atakapokuwa na mwanamke faraghani.

Mpiga punyeto hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mwanamke mrembo, amvike utundu wa kimahaba, ampe manjonjo mpaka mwenyewe atosheke na kiwango. Kwa namna hii mwanaume mwenye mazoea ya kufanya mapenzi kwenye hisia na wanawake warembo ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi, atakapokutana na mwanamke wa wastani asiyekuwa mtundu kimapenzi, hawezi kuusisimua mwili na hivyo kujikuta uume wake ukishindwa kusimama kabisa au usimame kwa kiwango cha chini.

Madhara mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kiwango cha raha apatacho mwanaume mpiga punyeto. Kama nilivyosema hapo juu kuwa mwanaume anayepiga punyeto hukuza sana hisia, hivyo kwa kiasi hicho hicho ndicho anachoweza kupata raha anapofikia mshindo, kwa mantiki hiyo anapompata mwanamke halisi anaweza asisikie raha aliyozoea kuipata.

Kuna wanaume wengi ambao wameoa na wanafanya ngono na wake zao kila siku, lakini wakati huo huo wanajichua kujiridhisha zaidi, hili pia ni tatizo la kisaikolojia linaloweza kuleta upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume husika .

Madhara mengine ambayo mwanaume anayejichua mara nyingi kwa siku anaweza kukabiliana nayo ni kushindwa kuzalisha. Hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za kiume kwenye mfuko wake wa kizazi.

Kwa mujibu wa tafiti nyingi zilizofanywa ulimwenguni imebainika kuwa, wanaojichua kwa kiwango hatarishi hukabiliwa na tatizo la kushindwa kuacha. Hii inatokana na ulevi wa mazoea waliojizoeza katika maisha yao.

Pamoja na ugumu huo bado watalaam wanasema kwamba uwezekano wa mtu kuacha kufanya kitendo hicho ni mkubwa endapo tu mhusika atafanya tathimini juu ya madhara tuliyotaja na hatimaye kukichukia kitendo hicho kutoka moyoni mwake.

Baada ya kuliona suala hilo kama tatizo, mtu aliyezoea kujichua anatakiwa kuanza hatua ya kuacha kwa kupunguza taratibu kiwango cha kujichua kwa siku. Hii ina maana kuwa kama alikuwa akijichua kwa mara 5 basi apunguze hadi kufikia mara tatu au mbili kwa siku.

Wakati akiendelea na zoezi hilo, mwanaume aliyedhamiria kuliweka kando wazo la kujitosheleza, anatakiwa kutafuta mwanamke ambaye anakidhi mguso wa hisia za mapenzi ndani ya ubongo wake ili amsaidie kuondoa tamaa ya mwili.
Hata hivyo, ni vema pia kuweka mkazo wa nia katika kupingana na ushawishi wa nguvu za mwili ambao hushindana na maamuzi ya moyo. Katika kuzishinda tamaa inashauriwa mwili uchoshwe kwa kazi au mazoezi.

Mwanaume anayetaka kuacha tabia hiyo anashauriwa kuepukana na hali ya kuwa upweke na kuishi ndani ya fikra za kimapenzi mapenzi, ikiwemo masuala ya kusoma na kuangalia majarida ya ngono, kuzungumzia mambo ya mapenzi zaidi na kuacha utani na kimahaba na wanawake.

Lakini pamoja na hayo yote utafiti uliofanywa mwaka 2003 na timu ya watalaamu walioongozwa na Graham Giles kutoka Chuo cha The Cancer Council cha Australia, ulibaini kuwa wanawake wanaojisaga kwa kiwango cha mara moja hadi mbili kwa siku wako kwenye nafasi kubwa ya kuepukana na kansa ya tezi ya uke.

Na kwa upande wa wanaume ambao hawajichui kwa kiwango cha zaidi ya mara 4 kwa wiki wanaweza kunufaika na upigaji punyeto kwa kupunguza mfadhaiko, kuongeza msukumo wa damu pamoja na faida zote apatazo mtu akutanaye na mwanamke kimapenzi (soma kitabu changu cha Saikolojia na Maisha kinachozungumzia kwa kina tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na jinsi ya kujitibu).


Madhara mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kiwango cha raha apatacho mwanaume mpiga punyeto. Kama nilivyosema hapo awali kuwa mwanaume anayepiga punyeto hukuza sana hisia, hivyo kwa kiasi hicho hicho ndicho anachoweza kupata raha anapofikia mshindo. Kwa mantiki hiyo anapompata mwanamke halisi anaweza asisikie raha aliyozoea kuipata.

Kuna wanaume wengi ambao wameoa na wanafanya ngono na wake zao kila siku, lakini wakati huo huo wanajichua kwa lengo la kujiridhisha zaidi, hili pia ni tatizo la kisaikolojia linaloweza kuleta upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume husika na kuwafanya wasione umuhimu wa kuwa na wake.

Matatizo haya ni kwa uchache, lakini yapo mengine ya kiafya, ambayo ni pamoja na kuumwa na kichwa, mgongo na kupoteza nguvu za mwili, hasa kwa wale wanaojichua kwa zaidi ya mara tatu kwa siku.

Madhara mengine ambayo mwanaume anayejichua mara nyingi kwa siku anaweza kukabiliana nayo ni kushindwa kuzalisha, hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za kiume kwenye mfuko wake wa kizazi.

Kwa mujibu wa tafiti nyingi zilizofanywa ulimwenguni imebainika kuwa wanaojichua kwa kiwango hatarishi hukabiliwa na tatizo la kushindwa kuacha. Hii inatokana na ulevi wa mazoea waliojizoeza katika maisha yao.

Pamoja na ugumu huo bado wataalamu wanasema kwamba uwezekano wa mtu kuacha kufanya kitendo hicho ni mkumbwa endapo tu mhusika atafanya tathmini juu ya madhara tuliyotaja na hatimaye kukichukia kitendo hicho kutoka moyoni mwake.
Baada ya kuliona suala hilo kama tatizo mtu aliyezoea kujichua anatakiwa kuanza hatua ya kuacha kwa kupunguza taratibu kiwango cha kujichua kwa siku. Hii ina maana kuwa kama alikuwa akijichua mara 5 basi apunguze hadi kufikia mara tatu, mbili, moja, kwa siku na kuelekea kutofanya hivyo kabisa.

Wakati akiendelea na zoezi hilo, mwanaume aliyedhamiria kuliweka kando wazo la kujitosheleza, anatakiwa kutafuta mwanamke ambaye anakidhi mguso wa hisia za mapenzi ndani ya ubongo.

Hata hivyo, ni vema pia kuweka mkazo wa nia katika kupingana na ushawishi wa nguvu za mwili ambao hushindana na maamuzi ya moyo. Katika kuzishinda tamaa inashauriwa mwili uchoshwe kwa kazi au mazoezi.
Mwanaume anayetaka kuacha tabia hiyo anashauriwa kuepukana na hali ya kuwa upweke na kuacha kuamsha hisia za kimapenzi kwa kusoma na kuangalia majarida ya ngono, kuzungumzia mambo ya mapenzi zaidi.

Lakini pamoja na hayo yote utafiti uliofanywa mwaka 2003 na timu ya wataalamu walioongozwa na Graham Giles kutoka Chuo cha The Cancer Council cha Australia, ulibani kuwa wanawake wanaojisaga kwa kiwango cha mara moja hadi mbili kwa siku wako kwenye nafasi kubwa ya kuepukana na kansa ya tezi ya uke.

Na kwa upande wa wanaume ambao hawajichui kwa kiwango cha zaidi ya mara 4 kwa wiki wanaweza kupata faida sawa na zinazopatikana kwa mtu kufanya mapenzi.
Nakaribisha maswali kutoka kwa wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume, wanawake wasiohisi wakati wa tendo na wenye tatizo la kujichua.
 
Hakika Nakwambiya,
Moyoni kusikitikiya,
Mawazo ya Duniya,
Punyeto Niwaziya,

Rafiki yangu sikiya,
Punyeto sitofanyiya
Katu kwangu sitofagiliya
Uchafu sitoridya
Zamani nilifanyiya
Enzi za sekondari furahiya,

Sasa sitaki binti chunguliya
Siyo sababu punyeto jipigiya
Asilani sikitikiya,
Waumwa kuchunguliya
Sinalo punyeto muda jipigiya,
Uchafu jifurahiya,
Nakacha mabinti, maisha jipiganiya,
Punyeto nalichukiya
Katu sitojipigiya,

Rafiki wanikwaziya,
Binti naweza shughulikiya,
Sitaki shida jitafutiya,
Ngono sijafurahiya,
Ng'atuka, rafiki pitiya,

U mvivu kujisomeya,
wawaza ngono jirufahiya,
shahawa jimwagia,
Asilani punyeto jigiya,
Utulivu nimeamuwa
Ngono sitoshabikiya


NB; unaelewa? Siyo kila asiyependa kuchungulia uvunguni anapiga PUNYETO!
 
swali la mtoa mada alijajibiwa 'PUNYETO INA MADHARA'

ni kweli ina madhara na tayari kishapata madhara................... hayo ya kisaikolojia, yaani pamoja na kuoa bado anaendelea kwa siri bila kumuambia mkewe...............kwa maneno mengine kageuza mkono wake kuwa NYUMBA NDOGO yake!!!!!!!!!!!!!!!!!

tabia hii ikikithiri, madhara mengine ni pamoja na:

1. kupungua hamu ya kufaya mapenzi
2 kupungua nguvu za kiume kutokananko na kutojiamini
3 kuwachukia wanawake wote duniani
4 kujichukia mwenyewe
5 kuchukia ndugu zako
6 kutoamini wengine
7 kupungua kiwango cha self esteem
8 kupungua uchumi wako kwa kutopenda kufanya kazi
9 kujenga usugu kwenye kifundo (kichwa) cha uume na hivyo kuchelewa au kushindwa kabisa kufika kilelelni hata ukiwa na mwanmke halisi
10 kupenda kutazama picha kuliko kutazama watu halisi (yaanai unakuta anasisimka kwa picha za manato ama video) zaidi kuliko akiwa na mwanamke
11 kuharibu njia ya mkojo wa kuibana wakati manii yakitoka, hiyo inaweza kupasuka na kutengeneza usaha ama aina fulani ya kansa
12 kuchosha makende kwa kutight mishipa inayotokea huko kuunganisha na uume
13 nk. nk..............................
 
Punyeto haina madhara kabisaaaaaa endeleeni kudumisha penzi binafsi.
 
Ni Ubinafsi kwa kuwa tendo lilitakiwa kuwa la wawili wenye ndoa. Itapendeza sana kwa yeyote anayefanya aache hii.
 
ni kweli ina madhara na tayari kishapata madhara................... hayo ya kisaikolojia, yaani pamoja na kuoa bado anaendelea kwa siri bila kumuambia mkewe...............kwa maneno mengine kageuza mkono wake kuwa NYUMBA NDOGO yake!!!!!!!!!!!!!!!!!

tabia hii ikikithiri, madhara mengine ni pamoja na:

1. kupungua hamu ya kufaya mapenzi
2 kupungua nguvu za kiume kutokananko na kutojiamini
3 kuwachukia wanawake wote duniani
4 kujichukia mwenyewe
5 kuchukia ndugu zako
6 kutoamini wengine
7 kupungua kiwango cha self esteem
8 kupungua uchumi wako kwa kutopenda kufanya kazi
9 kujenga usugu kwenye kifundo (kichwa) cha uume na hivyo kuchelewa au kushindwa kabisa kufika kilelelni hata ukiwa na mwanmke halisi
10 kupenda kutazama picha kuliko kutazama watu halisi (yaanai unakuta anasisimka kwa picha za manato ama video) zaidi kuliko akiwa na mwanamke
11 kuharibu njia ya mkojo wa kuibana wakati manii yakitoka, hiyo inaweza kupasuka na kutengeneza usaha ama aina fulani ya kansa
12 kuchosha makende kwa kutight mishipa inayotokea huko kuunganisha na uume
13 nk. nk..............................


asante mukubwa
 
Achana na Nyeto mkuu, mbona mademu kibao tu kitaani?

Mademu kuwa wengi kitaa sio issue!! issue ni kutongoza.
Sidahni kama kumuimbisha Demu na akili zake(Ambaye sio Changu) mapaka ukamlale kama ni kazi ndogo.
Wengi wetu tunatumia vishawishi vya kuwakaribisha chawote, zero Pub nk.. Huko ndo tunajenga mazoea mpaka kitu kinaingia line.
Sasa wale ambao sio waumini wa zero Pub inakuaje? How do you start?
 
Duh mambo ya bording school enzi hizo za kupiga -"kwa niamba........" ha ha ha

tukiwa form two - siku moja kiziwi aliongea -- aaaaa - aaaaa -- bafuni na revora - hatariiii.....

(Revora - sabuni ya kuongea enzi hizo iliyokuwa marketable"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom