Si hawa ndio wanasimamia halmashauri kama ya jiji la Dar, kuna maendeleo gani wanasimamia zaidi ya uchafu, giza, hata kuweka majina ya mitaa wameshindwa.Wana vyanzo gani vya pesa vinavyochangia pato la taifa kiasi cha kudai posho.Madabida alitaka madiwani nchi nzima wapeposho na kukopeshwa vyombo vya usafiri kwa maelezo kwamba ndiyo namna ya kuwafanya watekeleze majukumu yao vizuri ya kusimamia maendeleo kwenye maeneo yao
hata wagawa khanga na kofia nao wapewe posho si walikuwa katika kampeniMbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM) alikwenda mbali na kuelezea kushangazwa na mfumo wa kuwanyima posho madiwani ulivyo wakati walikuwa pamoja wakati wa kampeni
Hivi mafiga matatu ni sera ya nchiAlihoji iweje wakati wa kampeni wagombea wanatumia falsafa ya mafiga matatu; lakini baada ya uchaguzi figa la kwanza Rais, Serikali inalijali na figa la pili wabunge pia wanapewa posho nzuri lakini figa la tatu ambalo ni diwani linatelekezwa
Mimi nillidhani bajeti ispitishwe kama hakuna maelezo ya rada, Qatar kutuma jeshi la kuchukua wanyama, kama hakuna mkakati wa umeme, kama bajeti haitatenga kiasi cha kujenga wodi za wazazi, kama wanafunzi wataendelea kukaa chini n.kNaye Mbunge wa Kisesa, Luhanga Mpina (CCM) aliwahamasisha wabunge kutopitisha bajeti ya Waziri Mkuu, itakapowasilishwa bungeni keshokutwa, endapo hatatenga fedha kwa ajili ya malipo ya mishahara kwa madiwani
Ndio maana CDM wanasema posho za wabunge hazina maana, ahsante kutusaidia kwa hili.Mpina alisema hakuna sababu za msingi za kuifanya Serikali kushindwa kuwalipa mishahara madiwani huku ikifahamu kuwa madiwani ndio wasimamizi wa karibu zaidi wa shughuli za maendeleo katika ngazi za kata kuliko hata wabunge
Kwahiyo vikao 10 kwa mwezi ni sawa na mtaalamu aliyehitimu katika shahadaAkijibu maswali hayo ya wabunge, Naibu wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Aggrey Mwanry alisema mbali na posho ya Sh 120,000, diwani pia anapokea Sh 40,000 kama posho ya kikao
Sarakikya and Others: link pensions to minimum wages | Send to a friend |
Mkuu, ujitahidi kupanga vizuri andishi lako ili hoja yako ieleweke. Tumia vituo, paragraph, herufi kubwa, nk